Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

the period at the beginning of adolescence when the sex glands become functional and the secondary sexual characteristics emerge!

samahani mkuu, una umri gani vile?

Nina 30+!!!!!!!!!
 
Teh teh mkuu umenikumbusha mbali, enzi hizo baskeli tunaziita njenje, sijui siku hizi wanaziitaje?

Mkuu sijui hata wanaziitaje hawa watoto!!!!
 
Ni vizuri zaidi ikkiwa wote ni sealed sababu mta explore kwa pamoja na kujua your pleasures huku wote mkigain momentum sambamba
ikiwa mmoja tu ni learner wakati mwenzake ni kungwi tayari shida inakuja sababu keshazoea kupata vitu vya raha kwa flani bila klazimika kutoa maelezo mengi so atabaki kwenye ndoa sababu ya ile status tu inayompatia ya kua mama flani au mume wa flani lakini mambo ya raha anajua atayapata kuleee
hata wakiwa wazoedu wawili bado inaeza isiwe suluhisho sababu humo ndani kila mtu na mauzoefu ya aina yake kwa mfano ( hii mifano nasema japo ni vitu ambavyo sivipendi kabisa lakini vipo duniani huku) binti kazoea raha kamili ni jamaa zake wanapoenda chuvini sasa kakutana na mzoefu Eiyer ambaye the idea tu ya kwenda uvinza inakaribia kumtapisha hapo sidhani kama exp ya eiyer itakua na msaada sana..., au jamaa kashozea kilele cha raha ni bj na huku mwenzake Karucee ameandaa mbinu kama kumi hivi za kuavoidi tu hilo zoezi hapo napo exp ya Karucee haina msaada sana au mtu alozea pande zote iwe jamaa anapga kotekote au binti kazoea kumaliziwa na section B huku mwenzake hilo jambo ni abomination napo exp zao hazina msaada lakini mkiwa wote mnaanza mtapata exp za raha zinazoendana.
I repeat sealed ndio pango mzima ila ni ngumu tu kuzikuta..., mind u ukiwa umepania sana wakakushtukia wanakuekea za guan zhou unajisifu kumbe pembeni wanakucheka tu so heri turidhike tu na what the soko in our lifetime has to offer na kujitahidi kupata watakaokua sahihi kuanzia sasa onwards
Cc: Lara1 aliyebadilika japo mtazamo tu (kivue kiatu from her was rally amazing)

Duhhhhhhhh!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kuuuuumbeeee...............wewe ni bikraaa!
ngoja nifikirie...............!!!

Natumai kwa sasa tayari umeshafikiria...lol!
Naomba majibu ya kufikiri kwako tasavali...lol!
 
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!

Lara1, utafurahi kaka yako akioa mwanamke aliyeolewa/aliyezaa na mwanamume mwingine? Nani anataka kuoa matapishi ya wenzako! Kuwa mkweli binti!!
 
Back
Top Bottom