minawe
Member
- May 29, 2013
- 88
- 55
vipi tena mkuu mbona waguna tuDuhhhhhhhh!!!!!!!!
vipi tena mkuu mbona waguna tuDuhhhhhhhh!!!!!!!!
Wantia kihoro ujue...lol!
Mkuu Kaizer kila siku nakuambia niachie kigoli DEMBA lakini wewe unakomaa, sasa namwaga mboga na ugali vyote kwa pamoja. cc:tinna cute
Wote mkiwa bikra sawa...lakini mmoja akiwa bikra inakuwa shida....
Na ukimkubali bikra basi umvumilie na ukubali yote.....
Ni kweli ili kuepusha lawama bora mfananeMnatakiwa kuwa brand new wote, kama ni used, basi wote used! Vinginevyo lawama hazitaisha.
Hadi lini??
Hebu acha kunitesa bana....lol!!
je ulishawahi kuona mtu ambaye hajawahi kunywa maji ya baridi , huwa anasema yanaunguza na huwa hayanywi sana , je ni kweli yanaunguza? ni kitu gani kinamsibu mdomoni? je ataacha kabisa kutumia? au ndiyo atapenda kuliko maji yote aliyokunywa?. hapo nafikiri highly experience itafuataHighly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Tatizo mwanadamu haridhiki, ikinyesha anataka jua, likiwaka anaomba mvua. Ki ukweli Bikra ndiyo mambo yote maana hutasumbuka na Maex. Ndiyo maana najitahidi nikae Bikra na wakati wa kuoa nioe Bikra kama sintoolewa naye BikraHighly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Kuna asiependa raha????
Hebu nipe raha mtoto wa mwanamke mwenzio ....lol!!!