sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Kwanini unapenda used bana?
Ni usumbufu gani anakuwa nao mwanaume used?
Hahahaaa hilo ndo takwa langu...
Vigezo na masharti kuzingatiwa...
Kwanini unapenda used bana?
Ni usumbufu gani anakuwa nao mwanaume used?
Kwahiyo kama mtu ni bikra asitarajie kupata huduma kwako kirahisieee!!!!!!
Uchovu unaondoka tena kwa wiki moja tu!!!!
Unajua mipango siyo matumizi....mambo yanaweza badilika so...naweza nisimsumbue.....
Ikiwa hvyo basi huo uchovu utakuwa siyo kilema tena.......tatizo moja litakuwa limetatuka....
nini kinaendelea hapa baba paroko......wasema maneno makubwa jamani
wito hakuna tena siku hizi
Kuna kujua kutembea na kuna kujua namna ya kutembea kwa usahihi!!!!!!!
Majeraha ya meno kwa sana au siyo?
namuona baba paroko na sister wanapeana uzoefu.
acha kabisa nina makovu mawili kisa mabikra.