^^
Unajua kuna wakati nakubaliana na usemi kuwa Binadamu hana jema
^^
Huamini nini?
Au umepata bikra?
...mkuu leo ndo nimegundua mambo mengi sana, kwanza nimepata majibu ya kwanini nzi hupenda vinavyonuka, pili sababu ya watu wengi kutoka nje ya ndoa maana jasiri haachi asili and vice versa,tatu asili ya moyo wa hatia kwa mwanadamu afanyapo jambo lililo nje ya vile anapaswa haupo tena...! hiii kwangu ni kama research ya moja ya vyanzo vya migogoro ya ndoa...
Mkuu kwani hicho ulichokiquote hujakielewa?
Mimi sijawahi kuvua kyupi ya mwanamke kabisa....lol!
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Mkuu hapo kwenye bold ndio nini hicho?
Kuna mautamu mengi
Wewe unayazungumzia yapi?
Ya ugali wa udaga au wali wa nazi?
Its like mwajiri analetewa mfanyakazi ambapo mmoja ni fresh from school na mwingine ana uzoefu mrefu kazini,,,,,bila shaka atachagua mzoefu,,ingawa kuna exception pia.Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
^^
Unajua kuna wakati nakubaliana na usemi kuwa Binadamu hana jema
^^
Hao wenye uzoefu wanakuwa wamepata wapi kama hawakufundishwa, kwanini usiwe miongoni mwa walimu ili na wengine wajivunie kupata wenye uzoefu kama wewe unavyofurahia.Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!