Chum Kane
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 1,148
- 952
Siyo kuponda kila mtu ana matakwa yake...kama wew usivyopenda used tunaweza sema sizitaki mbichi hizi....
Bikra ina heshima yake....kama wewe mtumba piga kimya tuendelee kukumega taratibu.
Siyo kuponda kila mtu ana matakwa yake...kama wew usivyopenda used tunaweza sema sizitaki mbichi hizi....
Ni vizuri zaidi ikkiwa wote ni sealed sababu mta explore kwa pamoja na kujua your pleasures huku wote mkigain momentum sambambaHebu tupe mafaida yake
CC: snowhite !!
...mkuu naomba uniruhusu nishangae kwanza...
mkuu niliko bold umemaanisha kweli??
but wewe ni new version, I hope so, kitu kipyaaaaaaa
Bikra ina heshima yake....kama wewe mtumba piga kimya tuendelee kukumega taratibu.
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Wewe mawazo yako je?
kama motto hongera aiseeHahaa...siyo kweli yani mimi hadi nina mtoto si mchezo....
kama motto hongera aisee
mshamba anapojifunza ujanja ni bora ya mjanja aliyeuchoka ujanja!!
Highly experienced ndio kila kitu!!!!!!!!!!! Vinginevo the all activity gets boring! Ila tusisahau kuna QUICK LEARNERS!!!!!!!
Tucwe wavivu kufundishana,kurekebishana na kuvumiliana,usisubiri mtu akufundishie mpenzi wako namna ya kukufurahisha. Wewe ndo mwenye jukumu hilo zaidi.
Hivi mwanaume huwa bikra?
7. Je ukimtoa Bikira mtu kuna agano lolote?
bikra hahaha umenichekesha sana hivi kumbe bado kuna bikra siku hizi aiseee au za kichina?
imebidi tu nikuongezee like!
ingia pm utaiona!