Jogoo hakuwika kwa miezi 3

Jogoo hakuwika kwa miezi 3

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Moja ya stori ambazo mpaka leo nikisimulia mtu, hawezi kuniamini.

Kuna kipindi, nilihamishiwa mkoani Lindi kikazi..

Ila before that, nilikuwa nikiishi mbeya ambako sema ukweli nilikumbwa na mauza uza ya kichawi.

Aisee.. Sitaki kurudia kusimulia ila kama unataka kusoma pitia hapa👇

Sasa baada ya kupata kazi nyingine, nilijikuta yaani kama nina chronic fatigue ambayo hata sikujua chanzo chake ni kipi...

Yaani ile kazi ya mkoani Lindi, nilijikuta nafanya kama mzoga, alaf sasa cha kushangaza crew yote ya kazi walikuwa wa nafikiri niko okay tu, maana sikuwahi onesha unyonge wala dalili ya kuchoka..

Sasa kimbembe kingine ilikuwa ni changamoto ambayo mwanzo nilidhani kwa sababu labda nimebadili mazingira, kumbe sijui ilikuwa ni dumba au Mungu alikuwa ananilinda maana huenda ningejikuta naingia kwenye mambo mabaya

Ilikuwa hivi..

Kwanza kabisa ile crew ambayo tulikuwa nao, walikuwa ni watu wa mademu sana, yaani kila siku ni stori za kuchapa mademu tu, ila mimi kwa vile mgeni nilikuwa nawaambia aisee mimi mgeni, ngoja nimzoee kwanza..

Kumbe aisee, toka nimefika lindi sikuwahi kushuhudia jogoo wangu anawika! Yaani hata ile asubuhi... Hakuna, kitu... Sasa nikawa najiuliza ni yale yale ya mbeya yanaji rudia kwa namna tofauti?

Aisee umeenda week, Hola, week ya pili mpka mwezi hakuna, wazee hali ya Uoga na fedheha vikawa vinaniingia!

Sikuwaji kuonesha unyonge wala kusema kuwa muhogo wa jang'omb3 asimami. Nilikua as if niko poa tu..

Sasa baada ya ule mwezi kupita, hofu nayo Nikaanza kunipanda, ila kuna scenario ilikuwa nikilala Unaota ndoto zile za kuchafua shuka.. So nikawa najua it's not a problem, ila labda tu ni stress, ila hata kama mbona hata kama una stress ikipita pisi tu imevaa mpasuo upaja huo, mshale unatuna?

Aisee, sasa ile hali ya hofu haikutoka, na nilikuwa nasingizia nikiulizwa umekula demu? Sometimes nasingizia nimekula wakati najua, kabisa nahofia nisije anikwa jogoo hawiki.

Basi bwana, hali si hali, kuna siku jamaa yangu kapata pisi mbili alaf moja anajua nilikuwa naitamani, maana alikuwa wanafunzi.. Si unajua kule Lindi mtoto wa sekondary, tayari ni chakula tena safi kabisa? Basi bwana mpka akanionea na namba... Kulikuwa na bar moja nzuri akanipa na location..

Basi bwana, nimetoka job hivi... Mimi kufika geto nikasema ngoja kwanza nicheki video za kikubwa nivute hisia.. Navuta wapi, Navuta wapi, hakuna kabisa... Nikasema sasa hapa siendi...

Nioazima simu...

Oyaa, kesho yake nikasema sababu, ila jamaa akaanza kutia wasi wasi, Nitakuwa na shida kabisa.. 😂 Anyways, ila baadae nimekuja kujua yule mtoto wa kuitwa(FEI toto) ambaye ninge kwenda kumla anakitembeza balaa.. So huenda ningetoka na gono ama ngoma kabisa..

So, muda umeenda nakwambia ilikuwa Unaota tu ndoto, ila jogoo mchana kweupe hawiki.

Mpka mwiezi 3 baadae inapita na ninahamishiwa Dsm, ilikuwa Hola...

Sasa cha kushangaza, nipo kwenye gari tu, kulikuwa na konda kavaa sketi ya mpasuo(wale wadada wa mabus) aisee alinifanya nikose amani maana nilikuwa siti ya mbele(jogoo alikuwa anawika mpaka anatoa mchuzi)..

Basi bwana baada ya kutoka mkoa wa lindi ile hali ikawa nimefika ukomo kabisa..

Hii incident mpka wa leo huwa inaniacha matarani sana, sometimes nahisi ilikuwa mpango wa Mungu labda... Japo mm sio mfuasi wa miujiza, ila kuna mambo yameshatokea kwenye maisha ambayo huwa nikifikiria mpaka leo nakosa majibu.. Na hili niloshea leo likiwemo.

Kingine, ile sehemu ilikuwa ni kuna malaya na wanawake wanaojiuza kila kona, kwa hiyo huenda ningeingia mtegoni ningelipotea kabisa. Ni jambo ambalo lilinitatiza ila pia ilikuwa kama protection kwangu.

Kuna mtu ana ushuhuda kama wangu?

Ilishakukuta jogoo hawiki??
 

downloadfile-2.gif
 
Kijana🤣🤣🤣 nisikilize hapo Uzi wa kesho alfajiri upo, una lalaga SAA ngapi? 🤣🤣🤣🤣 Au uko club mkuu si unajua weekend hii kijana🍻
Am not a club person.. Sipendelei kelele kabisa. Nipo nimechill, smooth music playing in the background...

Ni ether nasoma kitu, na journal ama nafanya kitu creative....

Ni naweza kuja kulala saa 11 kabisa weekend hii dogo.
 
Am not a club person.. Sipendelei kelele kabisa. Nipo nimechill, smooth music playing in the background...

Ni ether nasoma kitu, na journal ama nafanya kitu creative....

Ni naweza kuja kulala saa 11 kabisa weekend hii dogo.
We ni bishooo sana kijana🤣🤣🤣 SIPATI picha wanao ishi na wewe nadhani ni watu wenye bahati sana kuishi na mtu kama wewe mana ni happy all time kijana🍾
 
We ni bishooo sana kijana🤣🤣🤣 SIPATI picha wanao ishi na wewe nadhani ni watu wenye bahati sana kuishi na mtu kama wewe mana ni happy all time kijana🍾
Really? That's well..

Ofcourse mimi huwa sinaga baya kabisa, hata kama mtu anichukize vipi, au anichukie vipi mimi sita angalia yeye bali nitacheki ni kipi kinacho sababishwa awe namna ile, then Nita move past it. Maisha ni simple dogo
 
Really? That's well..

Ofcourse mimi huwa sinaga baya kabisa, hata kama mtu anichukize vipi, au anichukie vipi mimi sita angalia yeye bali nitacheki ni kipi kinacho sababishwa awe namna ile, then Nita move past it. Maisha ni simple dogo
Nakukubali kijana, ni mtu ambae ukiwa nae karibu basi maisha yanakua marefu sana na matamu mkuu
 
Nakukubali kijana, ni mtu ambae ukiwa nae karibu basi maisha yanakua marefu sana na matamu mkuu
Hakika, ila mpka uwe na akili...

Ukiwa mtu wa mambo ya kiwaki, walahi hatuwezi kuishi kishkaji mimi huwa nasema makavu bila chenga.

So kama haupendi ukweli utakimbia mwenyewe, tu... I've a small social group, ila watu hunikubali coz huwa siachi wakiwa na negative vibes kabisa.
 
Alaf wanawake wa lindi, wanapenda sana kufanya mapenzi..

Na wanatukana matusi ya nje nje bila hiya a kabisa
 
Back
Top Bottom