Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Kwakipindi kile kasi yangu ilikuwa moderate tofauti na sasa inayoitaji mwalimu-mwalimu match. Hapana sio ndugu yangu na wakati najiunga nilitaka hiyo Fidel ndo iwe ID yangu humu ila moderator akaniambia inatumika tayari so I chose to be identified as fyddell

Kwahiyo sasa wewe ni kama chetah kwa mbio?

Ok kumbe ni hivyo,nilidhani unamahusiano labda ya kindugu na huyo jamaa!
 
hata bib kizee nae alikua mwari so just matter of time!!
 
Muone ulivyo muongo

Yaani unaamua kunichinjia baharini hivi hivi?

Haaaa umejuaje kama nakudanganya.......? Kweli sijui aisee kwa nin nikubanie hyo elimu...nilichokijua nshakisema...
 
1. Mkuu wangu kwa nini iliwekwa kwani?
2. Kwani experience inatokea wapi?
3. Kwani kutoa bikira maana yake ni nini? (si ulizi ukoje)
4. kwani hao wenye uzoefu walianzia wapi labda?
5. Na huo uzoefu unapatikanaje kwani, kwani lazima ubadili wengi ndio upate uzoefu?
6. Kuna connection gani kati ya m/ume na m/ke wakifanya ngono? Je akiwa amekutana kimwili na watu kumi tofauti kuna connection yoyote kati yao? kama ipo nini athari zake? na inaondokaje kama huwa inaondoka??
7. Je ukimtoa Bikira mtu kuna agano lolote? alietoa bikira na mwingine yoyote wana status sawa katika hayo maagano?
Tukishaweza kujibu haya maswali kwa uaminifu ndio faida zake ziliko.

Tumetoka kwenye misingi tunaongozwa na Tamaa/fashion/kukosa uvumilivu/uvivu wa kutumia akili/mkumbo etc

Mkuu hebu funguka utuambie ni kwanini ukute bikra usilalamike
Hebu tupe hizo faida za kuwa na mwanamke bikra ili tuelimike!
 
Hahaaaa hii kesi niliyoinunua uku ni balaa...
Ulikuwa na matarajio makubwa...unaona sasa....vumilia aisee.....

Sasa wewe si unamauzoefu jamani?
Sasa mbona hutaki kunimegea hayo mauzoefu?

Vibaya hivyo!
 
Haaaa umejuaje kama nakudanganya.......? Kweli sijui aisee kwa nin nikubanie hyo elimu...nilichokijua nshakisema...

Hutaki kuniambia kwakuwa hutaki na mimi nijue!
 
aisee..ngoja tuendelee tu kuwasoma wallahi

najiuliza wamejuaje hayo mauzoefu yoteeeee

Hahaaa mamy kuna notes nilikuwa nazo ndo nimezitumia hapa......ila hizo notes hazina nadhalia kwa vitendo....mwe kwa hyo usiogope paroko yuko salama....
 
Sasa wewe si unamauzoefu jamani?
Sasa mbona hutaki kunimegea hayo mauzoefu?

Vibaya hivyo!

Uzoefu wangu nshausema na umeishia hapo....tatizo umetarajia makubwa zaidi kutoka kwangu ndo mana hauamini....mwe
 
1. Mkuu wangu kwa nini iliwekwa kwani?
So,kwa mujibu wako tunakosea kutengeneza barabara kwakuwa hazikuwepo mwanzo?
2. Kwani experience inatokea wapi?
Hata kama inatokana na kujifunza
Je hii inaweza kuwa faida ya mwanamke kuwa na bikra kweli?
3. Kwani maana yake ni nini?
Nini maana yake nini?
4. kwani hao wenye uzoefu walianzia wapi labda?
Waliipata mwanzo wa kuanza kujamiiana
Lakini bado ahielezi faida ya mwanamke mwenye bikra ni ipi
5. Na huo uzoefu unapatikanaje kwani, kwani lazima ubadili wengi ndio upate uzoefu?
Mkuu,kuna uhusiano mkubwa kati ya wengi na uzoefu
6. Kuna connection gani kati ya m/ume na m/ke wakifanya ngono?
Sidhani kama nimeelewa context ya hili swali
Je akiwa amekutana kimwili na watu kumi tofauti kuna connection yoyote kati yao?
Mkuu hii mambo ya connectiona inakujaje?
Nini lengo na mahusiano na hii mada?
kama ipo nini athari zake?
Mkuu,kama kuna connectiona sijui lakini kama ipo inatakiwa wewe uniambie inakujaje na inahisiana vipi na hii mada
Ukishaniambia hivyo ndio uniambie kama ina athari ama hakuna
Halafu uniambie hizo athari ni zipi kama zipo
na inaondokaje kama huwa inaondoka??
Mkuu sijajua kama hii kitu ipo nitatoje jibu la swali hili?
Kikishaweza kujibu haya maswali kwa uaminifu ndio faida zake ziliko.
Nimejibu na bado sijapata majibu
Tumetoka kwenye misingi tunaongozwa na Tamaa/fashion/kukosa uvumilivu/uvivu wa kutumia akili/mkumbo etc
Hili linawezekana
Lakini sidhani kama ni hoja hapa
Hoja ni kama kuna changamoto kwa mtu kuoana na mtu bikra ama la!
 
Eiyer wewe uko kwenye kundi gani? Used au New. Ina maana hujatumika kabisa kweli?

Mkuu kwani hicho ulichokiquote hujakielewa?
Mimi sijawahi kuvua kyupi ya mwanamke kabisa....lol!
 
Hahaaa mamy kuna notes nilikuwa nazo ndo nimezitumia hapa......ila hizo notes hazina nadhalia kwa vitendo....mwe kwa hyo usiogope paroko yuko salama....

Kweli kabisa!!!!!!
 
Back
Top Bottom