Hao wenye uzoefu wanakuwa wamepata wapi kama hawakufundishwa, kwanini usiwe miongoni mwa walimu ili na wengine wajivunie kupata wenye uzoefu kama wewe unavyofurahia.
Hakuna uzoefu kwenye real love ila with satanic love ipo. Love is fresh and tender haijui experince wala history husahau yote na kuridhika.