Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

wote sawa. nlowatoa bikra sahv wanapiga game vibaya sana. hata safari za masafa wanapiga bila shaka
 
mie najua kwa wanawake you can tell imimekua used,mungu wa ajabu and never fair kwa wanaume huwezi kutell km imeenda mileage...ingekuwa vipi dushelele lingekuwa linalegea ngozi baada ya kutumika????,nadhani wengi wenu mngashika adabu maana mngebaki km sufi :shocked::bored:
 
Yote...kama hajui mapenzi...mchovu...ana maumbile tofauti na uliyoyatarajia......yani uvumilie yote ambayo yatakwenda kinyume na matarajio yako...

Na hilo ndo linawafanya mnakuwa mafisi. Ukipata mwenye experience ya watu mia mbili kabla ya wewe, hata kinyaa hupati!? Kujiheshim ndo mpango mzima, kama used, tafuta used mwenzio.
 
Na hilo ndo linawafanya mnakuwa mafisi. Ukipata mwenye experience ya watu mia mbili kabla ya wewe, hata kinyaa hupati!? Kujiheshim ndo mpango mzima, kama used, tafuta used mwenzio.

Ok....asante
 
Asante sana, siku hizi watu tunachukilia mambo kwa wepesi sana. Tunasikiliza kwa macho na kufikiria kwa masikio.


Kutokana na mafundisho ya neno la Mungu niliyofundishwa ni kuwa pale damu inapotoka wakati wa kufanya ngono kwa mara ya kwanza (kubikiri) hilo ni agano kati ya hao watu wawili yaani mwanaume na mwanamke.
 
ndio.. but huwa wanakuja kujuta baada ya kukosa mwanamke bikra!!
9k=
kwani unatunza bikira ili upate bikira? if so its nonsense
 
mie najua kwa wanawake you can tell imimekua used,mungu wa ajabu and never fair kwa wanaume huwezi kutell km imeenda mileage...ingekuwa vipi dushelele lingekuwa linalegea ngozi baada ya kutumika????,nadhani wengi wenu mngashika adabu maana mngebaki km sufi :shocked::bored:
Au ingekuwa inaisha kama chaki sijui kama kuna watu wangekuwa nazo.
 
unafikiri kwa nini makazini wanawema wanahitaji mwenye experience either miaka mitatu au mitano??? Hawataki mambo ya on job training???
 
iko hivi used ama experienced hawezi mtaka ambae not used as kuna vitu atakuwa ana lack prepartio before sex na kumuandaa mwenza wako so very possible atakuwa hamffikishi au kumtosheleza mwenza wake,na pia kutoweza kucheza mechi ya dk tisini ,kipindi kimoja tu atakuwa hoi so mtu ambae amezoea mambo kama hayo kwa kweli akimpata mtu kama huyu lazima aone kero,thats how it is.
 
nimekuelewa sana mkuu mpaka nimepitiliza na nimependa sana ufafanuzi wako wa kina.
Ni vizuri zaidi ikkiwa wote ni sealed sababu mta explore kwa pamoja na kujua your pleasures huku wote mkigain momentum sambamba
ikiwa mmoja tu ni learner wakati mwenzake ni kungwi tayari shida inakuja sababu keshazoea kupata vitu vya raha kwa flani bila klazimika kutoa maelezo mengi so atabaki kwenye ndoa sababu ya ile status tu inayompatia ya kua mama flani au mume wa flani lakini mambo ya raha anajua atayapata kuleee
hata wakiwa wazoedu wawili bado inaeza isiwe suluhisho sababu humo ndani kila mtu na mauzoefu ya aina yake kwa mfano ( hii mifano nasema japo ni vitu ambavyo sivipendi kabisa lakini vipo duniani huku) binti kazoea raha kamili ni jamaa zake wanapoenda chuvini sasa kakutana na mzoefu Eiyer ambaye the idea tu ya kwenda uvinza inakaribia kumtapisha hapo sidhani kama exp ya eiyer itakua na msaada sana..., au jamaa kashozea kilele cha raha ni bj na huku mwenzake Karucee ameandaa mbinu kama kumi hivi za kuavoidi tu hilo zoezi hapo napo exp ya Karucee haina msaada sana au mtu alozea pande zote iwe jamaa anapga kotekote au binti kazoea kumaliziwa na section B huku mwenzake hilo jambo ni abomination napo exp zao hazina msaada lakini mkiwa wote mnaanza mtapata exp za raha zinazoendana.
I repeat sealed ndio pango mzima ila ni ngumu tu kuzikuta..., mind u ukiwa umepania sana wakakushtukia wanakuekea za guan zhou unajisifu kumbe pembeni wanakucheka tu so heri turidhike tu na what the soko in our lifetime has to offer na kujitahidi kupata watakaokua sahihi kuanzia sasa onwards
Cc: Lara1 aliyebadilika japo mtazamo tu (kivue kiatu from her was rally amazing)
 
Back
Top Bottom