Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Hoja ya kipuuzi kabisa. Hatumlaumu kwa kutojua Kijerumani, Kichina au Kijapani. Tunamlaumu kwa kutoimudu lugha yetu rasmi, lugha ya kiingereza. Kwa Tanzania lugha ya Kiingereza ni lugha rasmi, tena mbele ya Kiswahili.

Tutajie wewe ni Rais gani ambaye hajui mojawapo ya lugha rasmi za nchi yake.

Wao Wanajua kiswahili hata broken?Jibu ni hapana,tatizo sisi tunahangaika na lugha ndio maana wakenya wanajidai wamesoma kwa kujua kiingereza tu hata kama hawana taaluma yoyote.Me sikusoma lakini naomba waliosoma kama kuna mtu anaorodha ya maraisi ambao hawajui hata neno moja la kiingereza awaorodheshe hapa.Wale ambao huwa wanaongea kikwao wanatraslentiwa!Wakati nipo form three nilikuwa nauwezo wa kumkosoa mwalimu wangu wa Geography,alikuwa hajui tenses na muda wa kuzitumia,lakini kitu muhimu alikuwa anatufundisha ili tuelewe Geograhy sio English.Na alikuwa trained teacher.
 
Na anayesikuliza na kuangalia clouds fm na TV mda ambao alitukataza sisi tusiangalie bunge ni raisi wa Zambia eeh@Massenbern@

Jitoe ufahamu tu mkuu wa hapo uhuru fm nakufahamu sana wewe !
 
Hivi wale kina Greyson Msigwa ,buhohela na Jannif Hanniu kazi zao nini ?
mbona wakati wa mwinyi mwenye kadiploma tu haya hatukuyasikia .
kuchamba kwingi ndo hivoo.......... sawa na ujuaji uliopitiliza wa kujifanya mahiri kila mahali
 
Mwenzake Trump alisema "Fidel Castro is dead", Baba yetu atunyooshaye angepiga simu tuu kuliko kujaza kumbukumbu mtandaoni zitamwumiza nafsi
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Wala sijaona kosa lolote la kisarufi katika hiyo "phrase" ..... mwataka kuaminisha watu kuwa nyie ni wataalamu na mlobobea haswa katika "lugha ya malkia" but you're quite wrong ....

Narudia kutoa msimamo wangu ...."THE PHRASE IS CORRECT GRAMMATICALLY" .... usiwe wabeba mambo juu juu. Make sure you ENRICH yourself FULLY before bringing your CRITICISM
 
Ilitakiwa iweje kwa mfano!?
English is not our language, principally message is sent and delivered.
Viongozi wengi tu wa nchi ambazo haziongei kiingereza, wanakiongea kwa kuungaunga.
Akiongea Magu watu mapovu yanawajaa.
Ambaye hajaelewa nini kimeandikwa kwenye hiyo tweet anyoshe mkono!
[emoji12][emoji12]
 
Honestly nashangaa sana jinsi rais Magufuli anavojitutumua kuzungumza hii lugha ya malkia.

Kwani ni dhambi kutoitumia?? atumie lugha anayoiweza .

Mana anajidhalilisha yeye na watanzania wote kwa ujumla
 
Tatizo la kumpeleka mtu kwenye nafasi wakati alikua anajaribu tu, jitu bishi kama limelogwa vile, af hivi Ras Sumba ameacha kutoa ile kozi yake ya miezi 3 ambayo ukishindwa kuelewa bora ukazaliwe ulaya? Au awe anatumia Ginger
 
Ilitakiwa iweje kwa mfano!?
English is not our language, principally message is sent and delivered.
Viongozi wengi tu wa nchi ambazo haziongei kiingereza, wanakiongea kwa kuungaunga.
Akiongea Magu watu mapovu yanawajaa.
Ambaye hajaelewa nini kimeandikwa kwenye hiyo tweet anyoshe mkono!
[emoji12][emoji12]
Nina wasiwasi Na wewe ujui hii lugha ndo maana unasema asiyeelewa nan..
 
Wala sijaona kosa lolote la kisarufi katika hiyo "phrase" ..... mwataka kuaminisha watu kuwa nyie ni wataalamu na mlobobea haswa katika "lugha ya malkia" but you're quite wrong ....

Narudia kutoa msimamo wangu ...."THE PHRASE IS CORRECT GRAMMATICALLY" .... usiwe wabeba mambo juu juu. Make sure you ENRICH yourself FULLY before bringing your CRITICISM
'On behalf of myself and people of Tanzania' , nakupongeza kwa povu unalolitoa kutetea broken english ya mkulu
 
Hiv kiingereza ndo maendeleo? Hapo angeandika kiswahili tu ingetosha mbona wachina hawajui kiingereza na wanasonga? Wabongo kwa utumwa.
Haitarajiwi Rais anayetoka common wealth asijue English
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130

Kwa sisi walimu wa lugha tunasema hivi ON BEHALF OF MYSELF hii kitu ni makosa kwa sabubu neno OF kwenye hiyo structure ni PREPOSITION. Cku zote preposition inafuatiwa na NOUN au sometimes objective pronoun eg them, me , him, her, him etc. Sasa huwez kusema ON BEHALF OF MYSELF kwa sababu neno MYSELF co objective pronoun bal ni reflexive pronoun. Kwa hyo muundo sahih ni ON BEHALF OF ME AND...........
 
Back
Top Bottom