Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

jamaa hawa wanaokuwa karibu na raisi nao jipu kabiasa, suti wanamshonea kubwa, post zake ndo kama hivyoo, hata Hawazipitii,,,

*acha tuwakilishwe kimataifa kwa kila kitu hats kwa post kama hizoo Tanzania.wrote in broken tuu*
 
Kujua kingereza kwa rais wa nchi yetu ni jambo la muhimu na lazima kwasababu tunategemea asome,kutafsiri na asign mikata ya kimataifa iliyoandikwa kitaalam,sasa kama hata kutuma pole kwa kingereza in tatizo,mbona asign mikataba mibovu sana.
 
'On behalf of myself and people of Tanzania' , nakupongeza kwa povu unalolitoa kutetea broken english ya mkulu
Si ueleze hapo hiyo broken English iko wapi? .... mbona mwang'ang'ana tu BROKEN pasi na kufafanua ....

Though I'm a Tanzanian citizen born in Tanzania English is like my first language. I know about A to Z of it .... NJOONI NA UFAFANUZI KISARUFI .. HOW WRONG THE PHRASE IS
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Does “on behalf of myself” make sense?
(majibu ya wazungu hayo hapo chini)

There’s nothing really redundant about the first version either, if you look at it logically. Myself represents one member of the team; the rest of the team represents, well, all the others. So together they are equivalent to the whole team. But if you remove either constituent, they would no longer represent the whole team, so there is no real redundancy; they’re just different ways of saying the same thing. It’s similar to how saying “Scandinavia, Iceland, and Finland” means the same as “the Nordic countries”—neither is really redundant, just differently worded. – Janus Bahs Jacquet Jul 2 at 14:09
(raisi yupo sahihi ila sisi ndo hatujui na tunajifanya tunajua)
 
Wao Wanajua kiswahili hata broken?Jibu ni hapana,tatizo sisi tunahangaika na lugha ndio maana wakenya wanajidai wamesoma kwa kujua kiingereza tu hata kama hawana taaluma yoyote.Me sikusoma lakini naomba waliosoma kama kuna mtu anaorodha ya maraisi ambao hawajui hata neno moja la kiingereza awaorodheshe hapa.Wale ambao huwa wanaongea kikwao wanatraslentiwa!Wakati nipo form three nilikuwa nauwezo wa kumkosoa mwalimu wangu wa Geography,alikuwa hajui tenses na muda wa kuzitumia,lakini kitu muhimu alikuwa anatufundisha ili tuelewe Geograhy sio English.Na alikuwa trained teacher.
Kama aliona hajui angeandika kwa kiswahili au angeandikiwa na sio kukurupuka
 
Wao Wanajua kiswahili hata broken?Jibu ni hapana,tatizo sisi tunahangaika na lugha ndio maana wakenya wanajidai wamesoma kwa kujua kiingereza tu hata kama hawana taaluma yoyote.Me sikusoma lakini naomba waliosoma kama kuna mtu anaorodha ya maraisi ambao hawajui hata neno moja la kiingereza awaorodheshe hapa.Wale ambao huwa wanaongea kikwao wanatraslentiwa!Wakati nipo form three nilikuwa nauwezo wa kumkosoa mwalimu wangu wa Geography,alikuwa hajui tenses na muda wa kuzitumia,lakini kitu muhimu alikuwa anatufundisha ili tuelewe Geograhy sio English.Na alikuwa trained teacher.
sasa basi si angeandika kwa lugha anayoimudu vizuri ambayo ni kiswahili?
 
Does “on behalf of myself” make sense?
(majibu ya wazungu hayo hapo chini)

There’s nothing really redundant about the first version either, if you look at it logically. Myself represents one member of the team; the rest of the team represents, well, all the others. So together they are equivalent to the whole team. But if you remove either constituent, they would no longer represent the whole team, so there is no real redundancy; they’re just different ways of saying the same thing. It’s similar to how saying “Scandinavia, Iceland, and Finland” means the same as “the Nordic countries”—neither is really redundant, just differently worded. – Janus Bahs Jacquet Jul 2 at 14:09
(raisi yupo sahihi ila sisi ndo hatujui na tunajifanya tunajua)
Hawa bavichaa wazungu koko hawatakuelewa. Wameshikilia upuuzi wao tu.
 
Siwezi kumlaumu JPM kutokujua English. Nitamlaumu Nyerere kwa kubadilisha mtaala wetu wa elimu. Mtaala wa kikoloni ulikua mtaala mzuri kuliko tulionao sasa.
Mwanafunzi alikua anafundishwa kwa kiswahili darasa la kwanza na la pili tu,kuanzia la 3 wanafundishwa english na kuendelea mpaka Chuo Kikuu.
Mnashangaa Kikwete kuwa na English nzuri ni kutokana na mtaala waliotumia,uliwapa uwezo wa kujifunza hiyo lugha mapema sana.
 
Ubinafsi mwingine,unatia aibu taifa.elimu za kuunga unga ndio shida.
 
Ukijipa kazi ama ukikubali kufanya kazi ya kumshambulia Rais wa nchi yako ujue ni sawa na kujipa kazi ama kukubali kazi ya kumshambulia Baba yako Mzazi.
Ndugu zangu JPM ni Rais wetu sote na analiongoza taifa letu. Kwa nafasi yake anaweza kuamua kulivuruga taifa na wote tukaharibikiwa lakini yeye kachagua kutolivuruga.
Kumshambulia Kiongozi wa nchi kwa jambo hili ni utovu wa nidhamu wa kupigiwa mfano na ni kujenga Taifa lisilojitambua. Tukatae utumwa huu na tushikamane pamoja.
 
Mke wake Janeth ni Mwal. Amsaidie mumewe if at all atathubutu!!!!
Usijekuta naye ni wale wa UPE. Nimeanza kuwa na mashaka na family nambari one baada ya kusikia hata yule wa UDOM aliyekuwa anapelekwa chuo na V8 na kupata Milo yote sawasawa pamoja na kuwezeshwa kila kitu ame disco wakati wapo watoto wanashindia vitumbua viwili, vifaa vya kusomea Shida nk lakini wanafaulu.
Hamtaki kusema tuu, lakini hii inaonyesha familia hiyo hawako bright ila wanalazinisha mambo tuu
 
Hivi first lady alikuwa akifundisha somo gani? I'm thinking she maybe fluent in English and he might just be too proud to ask for her assistance.
 
Back
Top Bottom