Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

'On behalf of myself and people of Tanzania' , nakupongeza kwa povu unalolitoa kutetea broken english ya mkulu
Hiyo BROKEN ikoje .... mbona mwashupaza tu shingo hamsemi? .... wewe si ni mtaalamu wa hiyo lugha ya malkia weka ufafanuzi hapa kila mtu aone
 
Ilitakiwa aandikeje??
Kwa kiingereza changu broken naona hiyo sentence haina upungufu.
 
Kupitia hapa Jamii Forum “kisima cha maarifa” nnaamini wasaidizi wake upande wa habari watakuwa wameona na watafanyia kazi haya maoni ni muhimu sana.
 
Hiv kiingereza ndo maendeleo? Hapo angeandika kiswahili tu ingetosha mbona wachina hawajui kiingereza na wanasonga? Wabongo kwa utumwa.
utumwa ni kutokubali kuwa hujui kitu fulani ilhali kila mtu anajua kuwa hujui. unalazimisha kufanya na kwa kuwa hujui namna ya kukifanya basi unakifanya hovyo hovyo na kulitia aibu taifa letu.... huo ni utumwa mkubwa kuliko utumwa mwenyewe
 
Hiyo BROKEN ikoje .... mbona mwashupaza tu shingo hamsemi? .... wewe si ni mtaalamu wa hiyo lugha ya malkia weka ufafanuzi hapa kila mtu aone
On behalf of the people of Tanzania (and me), my deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro.

Hiyo and me inaweza hata kuwa redundant yaani sio muhimu.inaweza kuwepo au isiwepo.
 
Naangalia hotuba ya Nyerere alitembelea marekani mwaka 1963 alianza kwa kusema

"MR PRESIDENT ON BEHALF OF MYSELF"
 
Does “on behalf of myself” make sense?
(majibu ya wazungu hayo hapo chini)

There’s nothing really redundant about the first version either, if you look at it logically. Myself represents one member of the team; the rest of the team represents, well, all the others. So together they are equivalent to the whole team. But if you remove either constituent, they would no longer represent the whole team, so there is no real redundancy; they’re just different ways of saying the same thing. It’s similar to how saying “Scandinavia, Iceland, and Finland” means the same as “the Nordic countries”—neither is really redundant, just differently worded. – Janus Bahs Jacquet Jul 2 at 14:09
(raisi yupo sahihi ila sisi ndo hatujui na tunajifanya tunajua)
Na si tu kujifanya twajua bali ni wabishi tulopitiliza hata kumzidi yule PHARAOH wa biblia
 
Tatizo la Ngosha hata kiswahili ni mgogoro!
 
Naangalia hotuba ya Nyerere alitembelea marekani mwaka 1963 alianza kwa kusema

"MR PRESIDENT ON BEHALF OF MYSELF"
Hata Nyerere alikosea. Hata wenyeji wengi tu wanakosea.
Hapo inatakiwa utumie me.

Twitter ya rais ina makosa kama matatu.
1. Myself inatakiwa iwe me.
2. Ilitakiwa aanze na on behalf of the people of Tanzania
3. Our ni makosa inatakiwa iwe my.
 
On behalf of the people of Tanzania (and me), my deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro.

Hiyo and me inaweza hata kuwa redundant yaani sio muhimu.inaweza kuwepo au isiwepo.
Wako lako ni jema na uko sahihi kisarufi .... lakini bado cjaona makosa ktk phrase ya awali .....

ni sawa na phrase "worry not about me" ... ilivoleta mjadala mahali fulani ikilinganishwa na "not to worry about me"
 
Kwanini kisingetumika kiingereza katika huu uzi ili kuonesha msisitizo wa umuhimu wa kiingereza? Ni wazi Magufuli anaendelea kutumia kiingereza kwa sababu ana amini anaweza,pia yawezekana na wakosoaji humu wakawa nao wanaamini wanajua kiingereza vizuri kumbe isiwe hivyo.

Ushauri wangu Uzi ungejadiliwa kwa kiingereza tu.
 
Wasomi wengi wanapenda kwenda kujiongeza kwenye vyuo vikuu vya nje ya nchi, huyu kaishia humuhumu, nimeshagundua sababu.
 
Wako lako ni jema na uko sahihi kisarufi .... lakini bado cjaona makosa ktk phrase ya awali .....

ni sawa na phrase "worry not about me" ... ilivoleta mjadala mahali fulani ikilinganishwa na "not to worry about me"
Hata hiyo our sympathies ni makosa. Ni my sympathies. On behalf haliendi ni plural. Inayofuata ni singular.

Pia grammar ina taratibu zake. Unapotumia on behalf of huanzi kujitaja wewe. Unamtaja huyo mwingine kisha wewe.
 
duh !
huwezi amini kwamba hii ndio lugha aliyochukulia udaktari wa utomvu wa korosho...
kuna mzungu hapa anasema ni "on my behalf"
si vizuri kuita wengine vilaz.a huenda wewe ukawa ni nanga.
 
Huko sengerema secondary school alikua anatumia lugha gani kufundishia chemistry na mathematics?
 
Lugha Rasmi wapi?Bungeni kiswahili,Mahakamani kiswahili,niambie kenya kiswahili ni lugha rasmi na hawaijui mbona tusiwalaumu na kuwacheka?we unajua kila kitu hongera!
 
Magufuli hajui Kiingereza na hilo halina ubishi ila nina wasiwasi kama hii akaunti ya Twitter huwa yeye ndiye mwandishi. Hii itakuwa inaandikwa na Msigwa au mtu mwingine sababu simuoni Magufuli akikaa na kuanza kutupia mambo humo kwa sababu ya wingi wa hekaheka za kazi yake.

Lakini vyovyote vile iwavyo ni kweli kuna ushamba mwingi sana

Kwahiyo mkuu unamaanisha Magu English hajui na Msigwa nae English hakuna..

Kupatwa kwa Ikulu....
 
Hata hiyo our sympathies ni makosa. Ni my sympathies. On behalf haliendi ni plural. Inayofuata ni singular.

Pia grammar ina taratibu zake. Unapotumia on behalf of huanzi kujitaja wewe. Unamtaja huyo mwingine kisha wewe.
Usiseme seme hovyo bila kutoa uthibitisho.
 
Back
Top Bottom