Mtuhumiwa Rodrick Wilbroad Shio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtuhumiwa Rodrick Wilbroad Shio

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by maishapopote, Sep 15, 2012.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
  Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?
   
 2. m

  mikogo Senior Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ishu sio amefanya uhalifu gani saidia kama unaweza apatikane aende kuwajibika na tuhuma zake.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona hilo jina la kati lina "ring a bell".
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,468
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  wewe sijui wawshwa na nini
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hilo jina hali "ring a bell" kwako?
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kuna kitu amekalia ndo kinamsumbua
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,468
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Because I got ''BALLS'' and not ''BELLS'' like you.....and they ain't ringing you know!!
   
 8. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni noma
   
 9. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  d u mean he/she got BELLS?
   
 10. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  kakalia nn mkuu....
   
 11. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kujua kiasi alichoiba ni rahisi. Sasa kusanya magazeti yote yaliyomchapisha na nenda kawaulize wenye magazeti gharama ya tangazo. Ukishapata zidisha kwa siku zilizotangazwa, ukipata jibu hiyo ni asilimia 1 ya kiasi alichoiba. Hapo fanya cross multiplication kisha utajua.

  Sihitaji kujua zaidi, kama umefurahia msaada wangu okay, namalizia supu unajua tena jana Ijumaa night niliifanya mambo.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Oooh, thats all? just non ringing balls and not bells, pity.
   
 13. z

  zamlock JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  niliwapigia simu waseme hiyo zawadi nono inatoka vp? Ili tusaidie kupatikana kwake wakasema nenda polisi utapata huyo zawadi nikawatupa
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kitu, i mean kiti
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Lina "ring a bell" au sio?
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  He means his balls are not ringing. Pity.

  Kwi kwi kwi teh teh teh.
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  si ndo wewe mwenyewe?!, tueleze umefanya nini.
   
 18. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  kama mtu akiwa na hasira za karibu au mbali....anaweza kukuua....kwa makusudi au bahati mbaya..unajua kukera mzee
   
 19. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  ningekua mimi ningekua naandikia hii post guatemala...na sio sinza...
   
 20. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Waliobiwa ndio wanajua haswa kiais jamaa alichokomba lazima itakuwa mamilioni mengi ndio maana laki 4 hizo si kitu kwao kwa sasa...wanahakikisha jamaa anasomeka akilini mwa watu ili akionekana tu akamatwe!
   
Loading...