Mtuhumiwa Rodrick Wilbroad Shio

Mmenikumbusha mbali sana na hii kitu: Jina la kati "ku -ring a bell" na "hofu ya mwandishi kuandika hilo jina la kati in full". A fear, which inadvertently turned out to be true. Hii ndiyo JF-a heterogeneous population of benevolent and wacky misfits . Lesson. TII hisia zako.!!!
inaitwa harnesing of chance...?
 
Huyu Jamaa mi nimesoma nae Old Moshi mwaka 2005. Jamaa alikuwa baunsa kama jambazi fulani..ila sina uhakika maana yeye alikuwa anaitwa RODRICK SHIO
 
huyu jamaa ameuza sura gazetini na kwenye TV vibaya mno........Shio kajifungia zake kiboshooo anapata mbege taratibu kwenye nyumba ya udongo.....balali-style....mtamsikia kwenye bomba tu...huyu mchaga atakuwa na IQ kubwa kweli........kawashinda mapolisi wote?.......watangaze reward ya million kama 100 hivi muone kama hajapatikana,watu tuna njaa.
 
yanini kumchoma kijana wa watu,
mihela mingapi inaibwa nchi hii na watu wanakula bata
kama kawaida mtaani, sembuse huyo alowaibia akina mthung u.
 
Back
Top Bottom