Mtu wa kwanza kuumbwa (Adamu) hakuwa mwanaume

Kwanza punguza ukali wa maneno,pili hakuna sehemu ambayo nimejinasibu kuwa naijua biblia.Kimsingi mawazo hayo yakiyoandikwa ni yakwangu ila kama kuna mtu umemsoma naye akasema nilivyosema na jambo la kawaida tu,mana ufanano wa kimtazamo si jambo geni.

Iko hivi,
Neno EL ni neno la kiebrania ambalo kwa kiswahili maana yake ni Mungu.
Neno hilo huweza kukaa mwanzo wa neno au mwisho wa neno ili kumaanisha kitu flani pia.
Mfano
ELia( El- ia)
ELisha( El_isha)
ELohim(EL_ohim)
EmanuEL( ema-nu-EL)
GabriEL( gabri-EL)
MikaEL(mika-EL)

kimsingi mifano iko mingi sana.sasa neno EL likikaa mwanzo wa neno huonyesha uwezo wa Mungu katika kufanya jambo flani,lakini likikaa mwisho humaanisha sifa ya Mungu katika jambo flani.

Sasa kwenye biblia ya kiebrania Mungu aliyehusika na uumbaji,anatambulika kwa jina la ELOHIM.
Rejea mwanzo 1:1 kwa kiebrania ( Bara shit baraad ELohim) hapo nimeandika kama inavyosomeka,mstari huu humaanisha Hapo mwanzo Mungu aliumba.
Sasa katika baadhi ya lugha za wenzetu majina ya vitu huwa na jinsia.
Mfano kwa waspanyora,neno likiishia na A huwakilisha jinsia ya kike na likiishia na O huwakilisha jinsia ya kiume.( Chika bonita/ msichana mrembo,chiko bonito/ mvulana anayevutia)
Hivyo neno ELOHIM ni jina la Mungu ambaye alihusika na uumbaji na lipo kwenye mfumo wa uwingi.( Mungu katika uwingi)"na tuumbe mtu kwa mfano wetu"
Neno hilo ELOHIM hubeba jinsia zote kwani kama lingebeba jinsia ya kiume tu lingetamkwa ELOO na kama lingebeba jinsia ya kike lingetamkwa ELOA ila kwa kuwa linabeba jinsia zote ndo mana hutamkwa ELOHIM.
Sasa katika lugha ya kiswahili tunamapungufu ya kimsamiati mana hatuna neno la kiswahili ambalo humaanisha uwingi wa neno Mungu.
Hivyo basi kwenye uwingi tunaweka Mungu na umoja tunaweka Mungu tu.

Sasa kwakuwa tunaumbwa na Mungu ambaye ndo ELOHIM na yeye anabeba jinsia zote mbili ni wazi hata wakati anaumba hakuumba jinsia moja tu,bali aliumba zote mbili kwa wakati mmoja.
Sasa ukinibishia na kusema kuwa adamu ni mwanaume basi ntakuomba ufafanue mwanzo 5:1_3
Pia naomba usichanganye kati ya uumbaji na hatua za ukuaji.
Mana unapozungumzia utengano kamili wa jinsia,hapo sio uumbaji bali ni hatua za ukuaji tu.
Naomba utumie lugha za staha na wala si za kudhalilisha mana mimi na wewe wote hatujui biblia,ila tunasoma na kujifunza tu.
Unaposema Mungu aliyehusika na uumbaji anaitwa ELIOH,ukimanima kuna Mungu zaudi ya mmoja,mbona tunafundishwa kua Mungu ni mmoja tu?,uko hapa kutopotosha kwa madhumuni yepi?
 
Mwamba anaamini mtu wa kwanza ni wa like siyo. Na mimi na sema mwacheni kila mtu Mwenye kuamini na aamini
 
Tufahamu kwanza sifa ya neno adam,adam sio jina la kiwakilishi mtu kwanza hilo tujue maana unapo sema adam unakuwa umetamka kundi lote la wanyama duniani mpka kuku na hata mijusi,wadudu n.k,hivyo tukirudi kwenye swala la uumbaji tunaweza kugundua kuwa yaliumbwa makundi na makundi ya wadam na kwenye swala la kipi kiliumbwa kabla ya kipi ni ngumu kujua aababu hata milungu au mungu waliokuwa wakiumba walikuwa wenge sasa atujui kama kila kwa upande wao walitoa set ngapi za wadamu na kwa daraja lipi?
 
Ngoja niwaweke sawa,

Wakati Mungu anamuumba Adam kumbukeni Ulimwengu huu haukuwa mtupu - bali viumbe wengi walikuwapo hata binadamu wengine walikupo.... Ila mwenyezi Mungu aliona amuumbe mwanadamu mwingine kwa mfano wake ambaye atamtii na kumtukuza...ambaye atampa akili na kufahamu mema na mabaya na kumweka kwenye bustani ya Edeni - sehemu ambayo ilikuwa kashaibariki kwa kila kitu.

Ndipo hapa unaona kuna baadhi ya watu si uzao wa adamu - ni kizazi kilicholaanika !! tumechanganyikana.
 
Kuna nadharia nyingi ambazo zimekuwa zikieleza kuhusu asili ya binadamu.Kwa wakristo,Biblia imeeleza pia kuhusu asili au chimbuko la mwanadamu.
Biblia imeeleza jinsi mtu alivyopatikana tu,ila haikueleza jinsia ya mtu huyo.
Sasa kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana ambao unasema ya kuwa mtu wa kwanza kuumbwa (Adamu) alikuwa ni mwanaume.
Sijajua nadharia hii imetokea wapi au msingi wale au hata lengo lake ni nini,maana Biblia haikuwai kusema kwamba mtu huyo wakwanza kuumbwa ni mwanaume.
Andiko la biblia ambalo lilionesha uumbaji wa kwanza wa mtu ni " NA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU"
Maelezo kuhusi jinsia yakafuata baadae bila kuonyesha kwamba wakwanza kuumbwa alikuwa na jinsia gani.

Nikiwa nafahamu ya kuwa kanuni ya uumbaji wa mungu ni wa vitu viwili viwili,mfano nuru na giza,usiku na mchana,mema na mabaya, mwanamke na mwanaume,ardhi na mbingu nk,nakuwa sina shaka kabisa ya kuwa mtu wa kwanza kuumbwa hakuna mwanaume.

Nawasilisha na baadhi ya mistari ya Biblia ambayo inasapoti maelezo yangu.

WanaJF naomba tusome na kuchambua kwa makini kwani lengo la uzi huu ni kupeana elimu.

Mwanzo 1:26-28
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; WAKATAWALE samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba MTU kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, MWANAUME na MWANAMKE ALIWAUMBA.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Mwanzo 5:1_3
1 Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
2 mwanamume na mwanamke ALIWAUMBA, akawabariki akawaita jina lao ADAMU, siku ile walipoumbwa.
3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.
5 Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa.

Karibuni.

Unachotaka kuelewa utaelewa tu,kaa utulie usicheze cheze wala kujikuna usibonyeze kidude.....
 
Mh binadam wa kwanza si alikua nyani bhana inakuaje tena
 
Kati ya majitu mapumbavuuu hili jamaa nalo ni miongoni mwayo! Huo ujinga wenu mnaolishwa na Ellen G. White na kujidai kudadavua Biblia hauwasaidii hakika. Huwa nachukia sana jitu linapojitokeza na kwenda kunyofoa kijimstari kimoja tu kwenye Biblia na linajidai linaijua kwa undani. Hii tabia mnayo sana nyie Wasabato masalia, kwa nini hujaendelea kwenye mistari inayosema "Mungu akaona si vyema mtu huyu awe peke yake, akamtia usingizi mzito akamnyofoa ubavu wake na kumfanya msaidizi wake ambaye Adam alimwita mwanamke?" Soma hapa chini wewe Zombie na usirudie kututia majaribuni sisi, "huwa hatujaribiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

MWANZO 2:21-25
21 Kwa hiyo Yehova Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa akilala, akachukua ubavu wake mmoja na kisha akafunika nyama mahali pake. 22 Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume.

23 Ndipo huyo mwanamume akasema:

“Mwishowe huyu ni mfupa
wa mifupa yangu
Na nyama
ya nyama yangu.

Huyu ataitwa Mwanamke,
Kwa sababu huyu
alitolewa katika mwanamume.”
24 Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja. 25 Na wote wawili walikuwa uchi, huyo mwanamume na mke wake, lakini hawakuona haya.

Kwa hiyo soma hiyo mistari uelewe, usipende kusoma Biblia kiji-mstari kimoja na kujidai kwamba unaifahamu!
Tatizo wewe pia unatumia biblia ya Mashahidi wa Yehova.
 
illogical
 
Kwanza punguza ukali wa maneno,pili hakuna sehemu ambayo nimejinasibu kuwa naijua biblia.Kimsingi mawazo hayo yakiyoandikwa ni yakwangu ila kama kuna mtu umemsoma naye akasema nilivyosema na jambo la kawaida tu,mana ufanano wa kimtazamo si jambo geni.

Iko hivi,
Neno EL ni neno la kiebrania ambalo kwa kiswahili maana yake ni Mungu.
Neno hilo huweza kukaa mwanzo wa neno au mwisho wa neno ili kumaanisha kitu flani pia.
Mfano
ELia( El- ia)
ELisha( El_isha)
ELohim(EL_ohim)
EmanuEL( ema-nu-EL)
GabriEL( gabri-EL)
MikaEL(mika-EL)

kimsingi mifano iko mingi sana.sasa neno EL likikaa mwanzo wa neno huonyesha uwezo wa Mungu katika kufanya jambo flani,lakini likikaa mwisho humaanisha sifa ya Mungu katika jambo flani.

Sasa kwenye biblia ya kiebrania Mungu aliyehusika na uumbaji,anatambulika kwa jina la ELOHIM.
Rejea mwanzo 1:1 kwa kiebrania ( Bara shit baraad ELohim) hapo nimeandika kama inavyosomeka,mstari huu humaanisha Hapo mwanzo Mungu aliumba.
Sasa katika baadhi ya lugha za wenzetu majina ya vitu huwa na jinsia.
Mfano kwa waspanyora,neno likiishia na A huwakilisha jinsia ya kike na likiishia na O huwakilisha jinsia ya kiume.( Chika bonita/ msichana mrembo,chiko bonito/ mvulana anayevutia)
Hivyo neno ELOHIM ni jina la Mungu ambaye alihusika na uumbaji na lipo kwenye mfumo wa uwingi.( Mungu katika uwingi)"na tuumbe mtu kwa mfano wetu"
Neno hilo ELOHIM hubeba jinsia zote kwani kama lingebeba jinsia ya kiume tu lingetamkwa ELOO na kama lingebeba jinsia ya kike lingetamkwa ELOA ila kwa kuwa linabeba jinsia zote ndo mana hutamkwa ELOHIM.
Sasa katika lugha ya kiswahili tunamapungufu ya kimsamiati mana hatuna neno la kiswahili ambalo humaanisha uwingi wa neno Mungu.
Hivyo basi kwenye uwingi tunaweka Mungu na umoja tunaweka Mungu tu.

Sasa kwakuwa tunaumbwa na Mungu ambaye ndo ELOHIM na yeye anabeba jinsia zote mbili ni wazi hata wakati anaumba hakuumba jinsia moja tu,bali aliumba zote mbili kwa wakati mmoja.
Sasa ukinibishia na kusema kuwa adamu ni mwanaume basi ntakuomba ufafanue mwanzo 5:1_3
Pia naomba usichanganye kati ya uumbaji na hatua za ukuaji.
Mana unapozungumzia utengano kamili wa jinsia,hapo sio uumbaji bali ni hatua za ukuaji tu.
Naomba utumie lugha za staha na wala si za kudhalilisha mana mimi na wewe wote hatujui biblia,ila tunasoma na kujifunza tu.
Unauliza wingi wa MUNGU kwani kuna MUNGU wangapi?! MUNGU anayetambulika kwenye biblia ni mmoja, sasa kama ni mmoja automatically hakuna wingi. Pia neno mungu lina wingi katika kiswahili, mungu=miungu.
 
Nichangie kile nnachofaham japo nitazunguka wadau:-

Ulimwengu Huu ulikuepo toka binadam hakuepo wala hata kutabirika atakuja kuepo.
Ndege,wanyama,miti na mazingira mfano wa hivyo vilikuepo.
Wakati huo mtawala wa vilivyomo kimazingira ya ulimwengu ulikua unatawaliwa na Majini.
Majina walikua wakiishi kama ilivyo binadam wa hivi sasa ,na katik umbwaji wao Mungu mlezi wa huu ulimwengu aliwasomea risala waje watawale kila kilichomo kama ilivyo kwa Binadam.
Baada ya miaka mingi sana,majini waliasi na wakaanza kumwaga damu kwa maana walizulumiana,kuchinjana na matukio mengine ambayo si mazur na haya kua maagizo ya mungu muumba huu ulimwengu.
Vita au dhambi iliyokua kifanywa na hao majini ndio ili mfany mungu achukizwe na kizazi chote cha majini.
Mungu muumba ulimwengu aliitisha mkutano (shura)kwa malaika wote na kuaambia nataka nitengeze /kuumba Mtu ambae ni Binadam/Adam.
Malaika kwa mungu hawana pingamizi yani sio wabishi niwatiifu walisikia,kumalizika kwa huo mkutano Mungu aliamrisha jeshi la malaika lika fyeke kizaz chote cha majini.
Baada ya kumaliza agizo la kufyeka hicho kizazi walirudi kwa Boss wao kuleta mrejesho Boss akasema kuna kiumbe mmekiacha rudini mkamalize msiache hata .
Walirudi kusaka majini popote walipo,tukumbuke majin ktk uumbaji wao wamepewa uwezo mkubwa sana wanauwezo wa kujibadilisha kua chochote sasa ktk hizo purukushani wapo waliokimbilia chini ya bahari,mapangoni ,miti mikubwa na mfano wa hivyo.
Awamu hiyo walivyorudi ndio wakampata MTOTO wa jini ametelekezwa na wazazi wake na analia sana jeshi la malaika walio tumwa wakaanza kubishana ,kuna aliekua anadai auwauwe na kuna alisema hana hatia huyu hajui kitu bado mchanga sana Walibishana mpaka kufikia muafaka na kiongozi wao mkuu kua wambebe wampeleke kwa boss wa ulimwengu (mungu)”dah yalikua makosa makubwa sana ila mungu alikua na kusudio lake”

Safari mpaka kwa boss wa ulimwengu (mungu)
Kabla hata kabla malaika hao hawaja zungumza chochote aliwaambia yani huyo MTOTO yani wajini wange muua ingekua poa na hata hivi mulivyomuacha ni sawa pia

Tumbuke kua jeshi la hao malaika walikua watano (1)mpuliza parabanda siku ya mwish
(2)wa motoni
(3)wa peponi
(4)mjumbe wa mitume/mwalimu wa mitume
(5)Mtoa roho
Baada ya hiyo mission ndio wakavikwa hayo majukum kua watakua akina
..................................................................

Baada zoezi zima kuisha,ulimwengu ulijaa damu kwa maana ulikua mchafu mno,kwa baraka zake mungu kuusafisha ulimwengu uwe msafi ili nyesha mvua kubwa mno siku 40 likapiga jua mno siku 40 ardhi ikawa tupu haina wa kuitwala kila tu kinajiendea kinavyojua chenyew yan kama wanyaman ,ndge nk

Mungu bhana akaitisha mkutano kwa Mara nyingn wa wale malaika wakuu waliokwenda kufanya ile mission kuwaambia ile ahadi ya kumtengeneza yule Adam imewaadia sasa nataka niwatume mukaniletee vifaa kazi yani UDONGO.

Wale malaika wakuu waliagizwa kila mmoja aende pande moja la ulimwengu/DUNIA kwa pande kuu nne za dunia na mmoja katikat ya ulimwengu /DUNIA

Hili zoezi wakati linafanyika ardhi ilikua inalia sana lakini Hakuna malaika alie jali haaa huyu mtoa roho.
Adam alitengenezwa na kuachwa kalala miaka NA miaka.

MTOTO WA JINI.
Wakati zile harakat za kuchukua udogo maswala ya mungu anasema nataka niumbe kiongozi kule duniani huyu MTOTO alikua anasikia na anaweza kuwaza na wivu kua nao aliachiwa na mungu mwenyew alimnyima kutojisaidia yan haja kubwa na ndogo kwaiyo basi MTOTO huyu wa kijini aliifaham vizuri pepo malaika anawajua vilivyo hakuna ambacho mungu alimnyima huko mbinguni kukijua.
MTOTO huyu alipewa wivu,wakati mungu anasema nataka niumbe kiongoz akili ya huyu MTOTO wa kijini ilikua inawaza kua kizazi chake ndio kinachotakikana kuja kuongoza tena. Bila kufikir Dhama ya kizazi kile ndio basi tena

Akawa na shauku kubwa sana mpaka mara nyingine anaenda alikolazwa adamu kumchunguza kama niwa namana gani mbona mungu anampendelea sifa nying sana akiwa na malaika!!
Anazama mpaka katk mwili au dongo lake ,jini huyu alikua mdadisi na mjuzi na elimu yake ilikua ya juu zaidi tumbuke alikua anaipata moja kwa moja Kutoka kwa malaika waliokua wanapewa maagizo na mungu hasa huyu mkufunzi wa mitume.

ADAMU KAMA BINADAM

Siku ikawadia malaika woote wakaamrishwa kuja kumpa heshima huyu kiumbe kipya.
Malaika kwa mungu hawana kipingamiza walivyoumbwa tu wao ni kumtii mungu tu na malaika niwengi kuliko Binadam wote wa vizazi tunavyovijua sisi.

Ktk kumpa heshima Binadam,JINI huyu alikua anajielew ,wivu ,chuki na mambo mengine yakutaka kupendelea yalimjaa sana kwa maana hiyo Hakua na wazo wala mpango wa kumpa heshima Binadam huyu ADAMU.

Zoezi liliendelea kumpa heshima zake binadam adam ila JINI huyu hakufanya chochote,Kwa maana tu alikaidi amri ya mungu na aliasi.

Ikapita kipindi flani adam alikua pekeake kwa mapenz /busara yake mungu ndio akafanya ubavu wa huyu adam atoke mwanamke

Lamda niishie hapo....
 
Ukakasi wangu upo kwa wanaosema mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mwanaume,mana maandiko yanaonyesha ni mwanamke na mwanaume na wala si mwanaume tu.
....Hujanukuu Kifungu Chochote cha Biblia kinachoonyesha kuwa Binadamu wa Kwanza Kuumbwa alikuwa ni Mwanamke!
Naona unajikanyagakanyaga tu!

Nukuu hapa kifungu cha Biblia kinachokuaminisha kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa ni Mwanamke!
Ama sivyo, Huna Hoja.
 
Kati ya majitu mapumbavuuu hili jamaa nalo ni miongoni mwayo! Huo ujinga wenu mnaolishwa na Ellen G. White na kujidai kudadavua Biblia hauwasaidii hakika. Huwa nachukia sana jitu linapojitokeza na kwenda kunyofoa kijimstari kimoja tu kwenye Biblia na linajidai linaijua kwa undani. Hii tabia mnayo sana nyie Wasabato masalia, kwa nini hujaendelea kwenye mistari inayosema "Mungu akaona si vyema mtu huyu awe peke yake, akamtia usingizi mzito akamnyofoa ubavu wake na kumfanya msaidizi wake ambaye Adam alimwita mwanamke?" Soma hapa chini wewe Zombie na usirudie kututia majaribuni sisi, "huwa hatujaribiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

MWANZO 2:21-25
21 Kwa hiyo Yehova Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa akilala, akachukua ubavu wake mmoja na kisha akafunika nyama mahali pake. 22 Na Yehova Mungu akaufanya ubavu ambao alikuwa ameuchukua kutoka kwa mwanamume kuwa mwanamke na kumleta kwa huyo mwanamume.

23 Ndipo huyo mwanamume akasema:

“Mwishowe huyu ni mfupa
wa mifupa yangu
Na nyama
ya nyama yangu.

Huyu ataitwa Mwanamke,
Kwa sababu huyu
alitolewa katika mwanamume.”
24 Hiyo ndiyo sababu mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja. 25 Na wote wawili walikuwa uchi, huyo mwanamume na mke wake, lakini hawakuona haya.

Kwa hiyo soma hiyo mistari uelewe, usipende kusoma Biblia kiji-mstari kimoja na kujidai kwamba unaifahamu!
Sasa Mwanzo 1:27 na hiyo Mwanzo 2:21-25 ipi ilianza kuandikwa. Tuanze na ipi tuishie na ipi
 
Back
Top Bottom