Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani

Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera, umemuachia mtu kidogo simu yako kahamisha video, wewe upo makini ila video umemtumia mwenzako mzembe zinaanza kusambaa, n.k.

Sasa vuta taswira ikiwa video yako imemfikia mvujishaji alafu anasema ataitoa baada ya mwezi, hii inaitwa countdown, haya ni mateso makali sana kisaikolojia na hapo bado haijavuja, siku 2 kabla haijavuja huwezi pata usingizi, siku ikivuja utakuwa na wakati mgumu sana my friend, hata kama utajifanya everything is ok.

Unaweza kuzuga kama Lukamba kwamba hakuna kitu kimetokea unaweka picha za kutabasamu na kweli hii mbinu inafanya watu nao wapotezee lakini sio kwa watu wa karibu mnaoheshimiana

Kwa watu wa karibu unakuwa umejishusha sana heshim, watu hawa ni watoto wako, Wazazi wako, ndugu zako, mke wako, watu mnaoheshimiana,

Kwanini ufikirie yote hayo, usifikirie kuwa wameuza game?
 
Back
Top Bottom