aslay


  1. Barcelona763

    Aslay moto wa kuotea mbali

    Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao Jux Harmonize Baraka da prince, RayVanny timbulo neddy music abdu kiba