Mtu mweusi: Kiumbe mwenye historia tata

Mtu mweusi: Kiumbe mwenye historia tata

Mkuu vipi kuhusu hawa Moors ambao walitoka North Africa na kuvamia ulaya Spain,Portigal etc na kutawala huko muda mrefu. Hebu weka hizi taarifa sawa kidogo. Wazungu wasije wakawa wanatupiga fix maana inaonekana Mtu mweusi zamani alikkuwa kichwa sana
nafikiri hawa walikuwa ni mchanganyiko wa weusi (berbers) na waarabu. walijenga makao makuu huko Granada na ni kwa mtindo wa kiarabu. kwahiyo sidhani kama tunaweza sema ni weusi.
 
Kama Obama Mweusi basi sisi ni Mikaa kabisa.

-Rangi ya ngozi inaathirika kutokana na mazingira,Rangi nyeusi imetokana na athari za mionzi ya jua na pia kuna kitu kinaitwa Gene-Mutation(Kubadilika kwa genes) hii ni tofauti na evolution.

Ngozi Nyeusi imetokana na genemutation,Tumepigwa na Jua sana mpaka genes zimebadilika.
Na nywele za kipilipili pia ni jua Mkuu?
 
haya mambo ya kubadilika rangi kwa sababu ya climate huwa siyakubali kabisa. Leo hii kuna wamarekani wako kule miaka mingapi na bado ni weusi tiiii, mbona hawabadiliki. Muingiliano wa watu ndio naona unaweza kuwa kiini cha rangi kubadilika.

Wanapozungumzia effects za climate zilizofanya genes zao zbadilike , wanaongelea millions of years na sio karne 2 au 3
 
Mkuu huko unakokwenda sio, hao WAIRAQWA (wamang'ati) unataka kusema ni WAARABU WA IRAQ?
basi ujue Iraq zamani ilikuwa ikiitwa MESOPOTAMIA EMPIRE na jina la IRAQ ni la juzi tu sawa na tanganyika sasa tz
 
Wanapozungumzia effects za climate zilizofanya genes zao zbadilike , wanaongelea millions of years na sio karne 2 au 3
oK TUSEME NI 5M YEARS AGO, KAMA NI MWAFRICA YUKO SAY GERMAN, ATAPATA WAPI MTU MWEUSI MWENZAKE WA KUZAA NAYE ILI ATOE MWEUSI?? MIMI NASEMA HAYA NI MATOKEO YA MTU MWEUSI KUZAA NA MZUNGU NA HAO CHOTARA WAKAZAA NA WAZUNGU NA WAZUNGU NK WALA SIO KUBADILIKA TU NGOZI KIHIVI HIVI.
 
IKUMBUKWE: Jamii ya wanadamu tangu zamani za kale ilikuwa imechanganyikana sana hivyo kuna kipindi watu wa mashariki ya kati walikaa walikaa pamoja chini ya tawala mbali mbali, hivyo muingiliano ulikuwa mkubwa. Hakuna mwanadamu aisyekuwa na damu mchanganyiko katika dunia hii. Kama Waebrania walikaa utumwani Misri kwa miaka 400, Waafrika walitawala Hispania kwa zaidi ya miaka 800, Wakarthago walizaa na Waitalia watoto wengi baada ya Hanibbal kuvamia nchi yao hivyo wakawabaka sana wanawake wa kiitalia, Waajemi walitawala Misri kwa miaka mingi, Wagiriki walitawala Misri kwa miaka mingi sana na ndiyo wakatokea wakina Cleopatra: Na mfano ambao ni hai kabisa ni jinsi ambavyo machotara walitokea Zanzibar kipindi cha Usultani. Hivyo basi duniani nako kuna muingiliano mkubwa sana katika jamii.

Hapa ndipo pana uhakika kuwa hakuna suala la kubadilika rangi kwa sababu ya climate bali kuna kubadilika rangi kwa sababu ya muingiliano.

Naendelea kuamini kuwa mtu mweusi wa Africa akizaa na mwafrica mwenzake atendelea kuzaa mtu mweusi tu vivyo hivyo kwa mjerumani.

Tofauti na hayo ni pale tu mzungu anapozaa na mweusi lazima atokee chotara na uchotara huo utakuwepo kwa kiwango kinachopungua with time kama atazaa watoto na rangi yoyote kati ya mweusi au mweupe.

Mambo mengi ya kihistoria au hata Geolojia hunichanganya yanapokuja kujificha katika kichaka cha "ilitokea miaka Bilioni iliopita"
 
The Name Africa is of African Origins from the Egyptian Word "Afru-ika" or 'Motherland."

Africanus...The name signifies that the person named himself After Africa. One thing is certain, Greek and Latin have Egyptian linguistic influences although both are Indo-European languages. Besides, the term "Indo" comes from "India," the word "India" came from the Arabs, who pointed out that Kush, a son of Ham had two sons, "Hind," and "Sind." Hind of Kush established a culture in India, Sind of Kush established a culture in the Arabian region. Nimrod established in parts of Mesopotamia.

Re: Africa named after a Roman General?

Porojo hizo.

Waegypt lugha yako ni Kiarabu na ssijasikia Kiarabu cha "Afru-ika".

The nearest ni kama nilivyoeleza huko juu na ina make a lot of sense kwa mwenye kufikiri japo kiduchu.
 
Porojo hizo.

Waegypt lugha yako ni Kiarabu na ssijasikia Kiarabu cha "Afru-ika".

The nearest ni kama nilivyoeleza huko juu na ina make a lot of sense kwa mwenye kufikiri japo kiduchu.
Waarabu ni watu wa Misri kwa asili?
acha jazba mwarabu koko
 
Waarabu ni watu wa Misri kwa asili?
acha jazba mwarabu koko

Waarabu ni wa bara la Afrika karibia lote kuanzia Kaskazini hadi Kusini.

Unafikiri maana ya "Shaka" Zulu ni nini?

Chaka = Sheikh

hayo niliyokuwekea nyekundu yote ni maneno ya Kiarabu au yanatokana na Kiarabu. Na wewe pia una Uarabu kwa asilimia nyingi tu.
 
duuu...huwa unawaita wenzio wajinga,sikuwa fikiria una ujinga wa post-doctorate,kwa hiyo lugha ikitumia ikikopa maneno kutoka lugh nyingine inawafanya watumiaji wa lugha hiyo wa asili ya ile lugh iliyokopwa,hata Kingereza kimekopa kutoka Kilatini na lugha zingine,kwa hiyo Waingereza ni Walatini.................mweeeh!
 
Atakuwa amehitimu degree ya juu kabisa ya ujinga, ndio kinachompa ujasiri wa kutambua ujinga wa wengine.
 
Kama Obama Mweusi basi sisi ni Mikaa kabisa.

-Rangi ya ngozi inaathirika kutokana na mazingira,Rangi nyeusi imetokana na athari za mionzi ya jua na pia kuna kitu kinaitwa Gene-Mutation(Kubadilika kwa genes) hii ni tofauti na evolution.

Ngozi Nyeusi imetokana na genemutation,Tumepigwa na Jua sana mpaka genes zimebadilika.
Umesomeka. na tunaendelea kupigwa na jua mpaka tukome. Mwishoni kabisa tutakuwa majivu
 
Kuna Watu humu hata siwaelewi hasa huyu bibi faiza foxy.nmejitahidi Kwel kumuelewa lakin wap!
 
Porojo hizo.

Waegypt lugha yako ni Kiarabu na ssijasikia Kiarabu cha "Afru-ika".

The nearest ni kama nilivyoeleza huko juu na ina make a lot of sense kwa mwenye kufikiri japo kiduchu.
We nae muongo muongo
 
Bado unarudia "mweusi", nimesema; Uarabu si rangi ya mtu, uarabu ni lugha.

Sasa sijuwi ni nani alikujaza ujinga kuhusu Waarabu kuwa si weusi pia.
Uzungu ni nini?, Wazawa wa UAE ni watu wa aina gani?
 
Jina la Afrika "simply" linatokana na na neno/jina la Kiarabu "Afrit" (the hideous one). Hiyo ni nearest terminology kuliko kutoka lugha nyingine yeyote ya Afrika au duniani.

Majina ya sehemu na au mahala, nchi, bara, hayatolewi kama unavyompa jina mwanao. Majina hutegemea umaarufu, muonekano wa sehemu, lugha iliyotumika na hata

Ujinga umejazwa wewe kuaminishwa kuwa Mwafrika ni mtu mweusi pekee, kuaminishwa kuwa Mwarabu ni mtu mweupe, kuaminishwa kuwa Mwarabu si Mwafrika, kuaminishwa kuwa mtu mweusi ni duni, kuaminishwa Mwarabu ni mtu mbaya sana.

Hayo yote ni ujinga uliojazwa lakini hujitambui.

Cha kushangaza hata anapochorwa shetani anachorwa mweusi kama vile weusi ni kitu kibaya.

Mimi nnajaribu kukutoa ujinga uliojazwa, nisome kwa makini.
Napenda sana jinsi gani unavyotetea theory yako, but kitu ki1 ulichopungukiwa kama critical thinker ni empathy, sio kila mtu anafuata unaloliamini wewe, jifunze kufikiria/ kuchambua mawazo ya wapinzani kabla ya kutoa hoja yako.
 
Duhhhh na ni ngumu kuelewa uhalisia wa Africa maana tumeandikiwa na wao wazungu na tukakaririshwa huko mashuleni wacha twende hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom