= mashuhuri
Hata ulivyoi "present" argument yako umeshaziamini na kuzifanya "facts" zile elimu za kujazwa ujinga.
Hususan hapo kwenye "Uarabu".
Nisome vizuri nta "summarize" kuhusu hilo kuwa hata ulivyo li "present" inaonesha hauna "independent way of thinking". Kwanini? ...
1) Uarabuni ni wapi?
Mimi nijuavyo, Tanzania kule Nzega kuna sehemu inaitwa Uarabuni na nna uhakika kama umefika Bujumbura kuna sehemu inaitwa Uarabuni, kama haujafika wapo waliofika na watayakinisha hilo kuwa ni ukweli.
2) Waarabu ni akina nani?
Waarabu ni wote ambao lugha mama kwao ni Kiarabu, si rangi zao wala si eneo wanalotokea.
4) Waarabu asili yao ni wapi?
Mimi nna kila sababu za kuamini kuwa Waarabu asili yao ni Afrika kwa sababu:
Mosi, wengi wao wapo Afrika kuliko bara lolote lingine duniani.
Pili, Kiarabu kinaongewa sana (na watu wengi zaidi) Afrika kuliko bara lingine lolote.
Tatu, jina "Afrika" ni rahisi sana kulihusisha na Kiarabu kuliko lugha nyingine yoyote.
Kabla hatujachambuwa zaidi kwanza tukubaliane kuwa Waarabu ni Waafrika ki asili na si kama ulivyo "present" wewe kama vile hawaeleweki eleweki ni watu wa wenye asili ipi.