Mtu mweusi: Kiumbe mwenye historia tata

Mtu mweusi: Kiumbe mwenye historia tata

Hata Pharaoh (Firauni) alikuwa Mwafrika tii.......

1014549815216332578.jpg

Nashangaa kabisa lakini leo Farao wanasema alikuwa ana rangi kama ya Arsene Wenger!
 
= mashuhuri

Hata ulivyoi "present" argument yako umeshaziamini na kuzifanya "facts" zile elimu za kujazwa ujinga.

Hususan hapo kwenye "Uarabu".

Nisome vizuri nta "summarize" kuhusu hilo kuwa hata ulivyo li "present" inaonesha hauna "independent way of thinking". Kwanini? ...



1) Uarabuni ni wapi?

Mimi nijuavyo, Tanzania kule Nzega kuna sehemu inaitwa Uarabuni na nna uhakika kama umefika Bujumbura kuna sehemu inaitwa Uarabuni, kama haujafika wapo waliofika na watayakinisha hilo kuwa ni ukweli.

2) Waarabu ni akina nani?

Waarabu ni wote ambao lugha mama kwao ni Kiarabu, si rangi zao wala si eneo wanalotokea.

4) Waarabu asili yao ni wapi?

Mimi nna kila sababu za kuamini kuwa Waarabu asili yao ni Afrika kwa sababu:

Mosi, wengi wao wapo Afrika kuliko bara lolote lingine duniani.

Pili, Kiarabu kinaongewa sana (na watu wengi zaidi) Afrika kuliko bara lingine lolote.

Tatu, jina "Afrika" ni rahisi sana kulihusisha na Kiarabu kuliko lugha nyingine yoyote.

Kabla hatujachambuwa zaidi kwanza tukubaliane kuwa Waarabu ni Waafrika ki asili na si kama ulivyo "present" wewe kama vile hawaeleweki eleweki ni watu wa wenye asili ipi.
Cha kujiuliza hapo ni nani ameweka mipaka ya kujua Africa mwisho wake ni wapi, kwasababu bara la Ulaya, Asia na Africa yameungana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Obama Mweusi basi sisi ni Mikaa kabisa.

-Rangi ya ngozi inaathirika kutokana na mazingira,Rangi nyeusi imetokana na athari za mionzi ya jua na pia kuna kitu kinaitwa Gene-Mutation(Kubadilika kwa genes) hii ni tofauti na evolution.

Ngozi Nyeusi imetokana na genemutation,Tumepigwa na Jua sana mpaka genes zimebadilika.
Je unajua kwamba amerika ya kusini haina tofauti na bara la afrika katika suala la ukali wa jua?? Kwanin iwe Africa tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Pharaoh (Firauni) alikuwa Mwafrika tii.......

1014549815216332578.jpg
Hii picha kutoka Misri ya kale ni ushahidi wa kuwepo watu kwenye rangi tofauti na si weusi peke yao. Hapo unaona weusi ti, weupe (waliovaa kamili, labda kuna ujumbe hapo) na skin tones zingine. Je elimu, maarifa na uongozi enzi zile vilitegemea rangi ya ngozi ya MTU? Sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni dhahiri Adam alikuwa mweusi na waisraeli 'original' ni weusi!
 
At some point hao waarabu unaosema ni waafrika , wamewahi ku admit kwamba wamekuwa located ndani ya bara la afrika kwa bahati mbaya, hiyo ina imply kwamba hata wao wanajiona sio wazawa halisi wa bara hili la mtu mweusi kama tunavyoitwa.
Ni wajinga walionajisiwa kwa nadharia za kipuuzi za race supremacy,sio kila mtu mweusi kokote aliko au mweupe alikuwa mhamiaji kutoka sehemu ambayo jamii fulini inapatikana zaidi,kama asili ni nuhu ni wazi genes za watoto WA nuhu zitakuwa na elements zinazoingiliana japo lazima iwepo dominant ili kuleta utofauti wa ham na ndugu zake so uzao dominant utajiona una haki zaidi.Zaa watoto weupe wengi na mweusi mja au wafupi wengi na mrefu mja utaona wale wengi wanaofanana watajiona sana haki zaidi na kumkandamiza aliyetofauti
 
Ni wajinga walionajisiwa kwa nadharia za kipuuzi za race supremacy,sio kila mtu mweusi kokote aliko au mweupe alikuwa mhamiaji kutoka sehemu ambayo jamii fulini inapatikana zaidi,kama asili ni nuhu ni wazi genes za watoto WA nuhu zitakuwa na elements zinazoingiliana japo lazima iwepo dominant ili kuleta utofauti wa ham na ndugu zake so uzao dominant utajiona una haki zaidi.Zaa watoto weupe wengi na mweusi mja au wafupi wengi na mrefu mja utaona wale wengi wanaofanana watajiona sana haki zaidi na kumkandamiza aliyetofauti
Hahaha kama inaingia akilini hiviiii, ni upuuzi tu wa kiakili lakini siku zote mtu ni mtu tu. Rangi siyo kitu maana wote tunatokana na Nuhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada yako umewasilisha kama vile umetoka kusoma makala za wazungu ukaja na mtazamo wao.

Well, Afrika imetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya dunia. Kuanzia kilimo, utabibu hadi muziki.

Swali lako kwa nini tumetofautiana kimaumbile rangi na mambo mengine nadhani jibu la swali hili ni mchanganyiko wa mambo mengi. Tofauti zetu katika genes, vyakula tunakula, mazingira tunayoishi.....pia muda muda unavyozidi jongea utaona tofauti zinazidi kuonekana.
Ni kweli mazingira yanabadili sana muonekano na vinasaba vya mtu,so huenda asili haikuwa rangi nyeusi pure lakini nyeupe ila maxingira ya kijiografia ya jua Kali la Africa yamebadili kila kitu,uthibitisho ni uwepo wa weupe katika kila jamii,pili ukitok MKOANI kwenda dar muonekano unabadilika ghafla.Hitimisho langu Africa haina maana ya mweusi wa rangi Bali asili ya mzazi,rangi ya ngozi has nothing to do with uwezo wa akili by the way we are capable than hao wazungu kama historia inavyoonesha so kwa vile mambo yanabadilika waliokuja take over kwa chuki zao wakafanya kila juhudi kuharibu historia na kupandikiza inferiority complex ambazo ndio zinatutesa hadi kesho
 
Huko Vatican zinapelekwa kwa sababu gani?
Na mweusi unaozungumzwa sio typical kama wa sasa,huu ea sasa umechagizwa na mazingira ya bars Africa,wachunguze watu wa ajemi au Portugal sana rangi Fulani ya asili ya weusi
 
Mkuu vipi kuhusu hawa Moors ambao walitoka North Africa na kuvamia ulaya Spain,Portigal etc na kutawala huko muda mrefu. Hebu weka hizi taarifa sawa kidogo. Wazungu wasije wakawa wanatupiga fix maana inaonekana Mtu mweusi zamani alikkuwa kichwa sana
Of coz make hata ukisoma historia ya wayahudi kwenda utumwani ni wivu kwa ndugu yao,Hitler ni wivu kwa wayahudi na hata kwenye familia akitokea wa kuwazidi wenzie wivu so wivu wa wazungu umetuvuruga aisee tunajifunza ujinga tuu
 
Inasikitisha sana sijui tulikosea wapi mpaka tukakubali watu weupe watutawale na kuharibu mifumo yetu ya maisha
Kimsingi sio kukosea bali enzi yetu imepita,usidhani marekani atakuwa dola kuu milele enzi take pia itapita ataibuka mwingine ,cha msingi hapa turekebishe na kuweka xawa historia yetu sio upuuzi huu wa wazungu wametuvuruga hadi hatuekeweki,tuanzishe kampeni kubwa ya uhamasishaji bara zima ili tuandike historia yetu upya
 
Nadhani
Kuna baadhi ya wachangiaji wanatumia kigezo cha hali ya hewa kuwa ni factor mojawapo ya sisi waafrika kuwa weusi, kwamba tulipigwa sana na jua kiasi kwamba rangi zetu zikabadilika.
Hilo mimi napinga, kwa sababu ukizungumza kigezo cha hali ya hewa utagundua kwamba hapa tanzania kuna baadhi ya maeneo hususani kwa miaka hiyo ya nyuma karibu mwaka mzima ni baridi, kwa mfano maeneo ya lushoto,mafinga,makambako. Sasa kwa nini watu wa huko angalau wasiwe wana rangi ya kizungu kama kigezo mojawapo ni hali ya hewa?
Nadhani hali ya hewa inahitaji century kadhaa ili kubadili vinasaba na weka kwenye akili weusi huu sio typical of our origin ndio maana hata kwenye hayo maeneo wako weupe so z a matter of body resilience,asiye na uhimili mkubwa atabadilika zaidi yaani ni kama vile reaction na side effects ya xawa kwenye mwili wa mtu A na B huwa ni tofauti
 
Back
Top Bottom