Nilikuwa kwenye daladala
natokea maeneo ya chuo ile nafika karibu na kituo cha apo mlimani city
kwa upande wa ushoto (opposite na mlimani city) kuna iyo restaurant cjui
baa iyo, ndo nikaskia PAA!! ile kutazama dirishani nikamuona mtu KALALA
CHINI damu zinatiririka ndo anahangaika yaani ROHO INAMALIZIA
KUTOKA...ndo nkaskia watu wanasema ni MAJAMBAZI WAMEFANYA YAO.
Hii ni hatari mi naona boda boda zifungiwe kabisa leo asubuh saa kumi nambili wamechomwa boda boda wawili moto njee ya geti yangu baada ya kumkwapua dada kIPOCHI na kukamatwa hapa tabata Liwiti sasa wamezidi mwanangu
uombe escot ya police kwenda bank wkt kuna police wanasaliti jeshi?unaweza kuhisi uko salama kwa ulinzi kumbe wenzio wanakulia ramani.wanakuwa washawasiliana na wazee wa boxer kitambo.kifupi kwa ss hakuna police Bali kuna wasaliti
Yaani mtu wangu wa karibu alikua askari ameacha
kuna siku wana escort pesa benki na mwenzie akamwambia hv waliporudi"unaonaje tupange dili tukisindikza pesa we nipige risasi ya mkono au mguu,then tunaua dereva na mhasibu
we kimbia na pesa baadae ntakutafta unipe changu"
toka siku hyo akawa anamuogopa km ukoma
Hii habari ya kupigwa mtu risasi Mlimani city na majambazi ni kweli au uzushi?
------------------
hivi ungekauka tu aliye msiban akanijibu ungepungukiwa nin? m nimeuliza kwasababu jina lake linafanana na watu wa kwetu nilikuwa nataka jamaa anidhibitishie.usikariri mkuu
Mkuu ujue mm hua naogopa tu kutoa lawama kwa marehemu wanao uwawa kwa kubeba hela kizembe then wanalaumu polisi eti hawafanyi kazi.
Tuwe watu wa kuelewa jamani ingawa kifo kipo tu but wengine tumezidi uzembe. Acheni unafiki watu wengine wanajitakia kufa. Utabebaje 18m kwenye kibahasha dunia ya leo?
Ni mazoea au kujisahau ila vyovyote vile kama mpaka leo hujui ujambazi na hatari ya kubeba hela nyingi ovyo or routinely basi subiri kifo anytime na u silaumu mtu.
Na je hiyo ndo picha yake?