Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Tutakubaliana na wewe kama wale watumishi waliofukuzwa kazi kwa kupimwa kwa makaratasi watarudishwa kazini..

Yani watanzania sijui mna nini.. Mtaunga mkono kitu lakini kikitaka kuwagusa wapendwa wenu mnaanza kukilaani.

 
Nimesoma. Nina MA/MASTERS MBILI.NA SASA NAFANYA PHD. IT IS OUT OF MY PILOT RESEARCH.
Kama una masters halafu unaandika vitu vya kijinga namna hii basi hiyo ELIMU yako haina msaada kwa taifa! Unafikri serikali ilikuwa njinga kuleta mchakato wa uhakiki wa vyeti? Mtu apewe kazi kulingana na ELIMU yake kwa kutumia vyeti halali, sheria ni msumeno wacha Daudi A. Bashite naye umkate!
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kwahiyo wewe unapinga juhudi za mtukufu rais wetu mtakatifu Yohana ma drinks youssuph padlocks ya kuhakiki vyeti? Unataka kutwambia alikurupuka?hakutafakari? Kwahiyo hata PhD yake hauithamini? Ngoja niweke vocha nimpigie Daud na sirus waje wakuite muonane katikati ndo utajua
 
Huu ukuda mnao jiongelesha sijui mmetumwa na bashite.

Kama elimu haina umuhimu kwenye ajira tufanye sasa kufuta shule zote. Na ukiwa unaenda kuomba kazi. Kpmo cha elmu ktlewe.
 
Nimesoma. Nina MA/MASTERS MBILI.NA SASA NAFANYA PHD. IT IS OUT OF MY PILOT RESEARCH.
Kama kweli umesoma, nikwambie ukweli wewe.ni.miongoni kwa wasomi mizigo. Walioendelea kwa sasa wanauza Elimu kama bidhaa. Nina wasiwasi na shule yako
 
Vyeti kwanza, mbona kuna walimu, madaktari, nk wapo vizuri ktk kazi zao lakini uhakiki uliwaondoa kisa vyeti.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Baada ya kugundua ni kweli mnakuja na utetezi hafifu ku justify wizi wake wa cheti.

Unachotaka kutuambia ni sawa na kusema tunachotaka ni maendeleo haijalishi tunayapata vipi hata kwa serikali kuuza madawa ya kulevya.

Kugushi cheti ni kosa la jinai hatuwezi kuwa na watendaji wasio waadilifu eti kwa vile tu ni wachapakazi.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.

Wewe hujui hata cv maana yake nini. Kweli wengine mnaenda Shule kucheza na kukua
 
Ndiyo, lakini mtu hawezi kuachwa kwa kufoji vyeti. Tatizo sio kufeli, tatizo ni udanganyifu, vilaza wanajifanya hawaelewi utofauti huu.

Kuua tajiri ukamuibia pesa na kuzigawa kwa maskini haikusafishi, wewe ni mhalifu tu, sawa na aliyeua tajiri kwa manufaa yake. Ndiyo maana ya the end doesn't justify the means. Hata kama mtu anapiga kazi, swala la udanganyifu level ile ni kosa kubwa lazima tupige kelele.

Alafu usikae unasema mtu hapimwi kwa vyeti, we utataka mtu awe profesa huku alipata Div IV? Au GPA second class? Tuache utani, kuna muda performance ya darasani ina maana kubwa sana.
Mkuu unajua hili taifa lina wajinga wengi sana, na actually kutokana na ukweli huo haishangazi kuwa leo mtu yeyote anaweza kuibuka kutafuta uongozi wa kisiasa. Ni mpumbavu tu yule anayeweza kuleta hoja kama hii hapa wakati watu wanahoji tuhuma nzito za udanganyifu wa kielimu! Taifa hili lina vilaza wengi kiasi kwamba hata hawawezi KUONA uhalifu unaodaiwa kufanywa na Bashite. Kwa kuwa viongozi wa nchi wanafahamu kuwa wanaongoza vilaza ndio maana leo Bashite bado yuko ofisini,lakini kwa nchi ambayo wananchi wake wanajitambua leo Bashite asingekuwa ofisini wallah!
 
Nina wasiwasi na shule ya mleta post, elimu, elimu, elimu, elimu, kama kweli na elimu kiwango cha uzamili, basi shuleni alikwenda kuhudhuria na kukaririshwa, arudi darasani ajue/afundishwe kwanini elimu ni muhimu. Kwanini ushahidi wa kuwa una elimu hiyo unahitajika
 
Hata madaktari,waalimu, mapolisi na watafiti wote wapimwe kwa actions bwana sio makaratasi..... Makaratasi ya kazi gani sasa... Yani hata wauguzi ni mwendo wa actions tu...... WTF citizens!!

Shangaa mtu anatumia makaratasi ya mwingine..... Ya nini sasa....

Only in TZ
Pole sana ila nahisi unacheo kikubwa ila huna elimu. Na nyie ndio mlioua viwanda vya JK Nyerere kwa hizo hizo ACTIONS zenu badala ya KNOWLEDGE.
tutolee mawazo ya kipumbavu haya katika kizazi hiki.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Bashite unazidi kujiaibisha, kila siku unaanzisha uzi wa kutusahaulisha. Weka vyeti mezani mzee wa fa fa fa .
 
Back
Top Bottom