Mtu anaefaa kua mke vs mtu unaempenda.

Mtu anaefaa kua mke vs mtu unaempenda.

nop ndoa ni process if we cn learn to love men cn do z same manake hata ukimuoa huyo unaempenda lakn akawa hakidh vigezo vyakua mke stil mme anaeza toka nje
Ndio kama mtu umempenda kwa namna moja au nyingine amekidhi vigezo unavyovitaka kutoka kwa mke au mume?Kama unachagua wife material ni kama vile uone kitu "QUALITY" nzurii dukani ukinunue kwasababu ya quality na nembo lakini hujakipenda..utakuwa na ufahari wa kukivaa hicho kitu kweli?
 
Hebu wafunde hao maana naona wengi hukosea hapo...

Mwisho wa siku huwafanya wake zao au waume zao vinyago vya mpapure...kutwa kucha kutaka kuwasitiri
 
Ndio maana wengine wanaanza kuzungumzia ndoa za mikataba. Mnapiga miaka mitatu ikikatika mnakaa chini kuamua kama kutakuwa na extension ya mkataba au kila mtu anachukua 50 zake. Shuhudia sasa kama katika hiyo miaka mitatu kuna mtoto/watoto waliopatikana ndani ya ndoa jinsi watakavyoteseka.

Hii Taasisi ni ngumu aisee!!!
 
Last edited by a moderator:

there are usually systems in place kuhakikisha watoto wanapata matunzo/stability after divorce. kama mzazi m1 yuko 'unfit' kulea, then other gets full custody; and child protection services wanaweza kufanya 'surprise visits' kuangalia watoto wakoje
 
Ni rahisi mno kusema hivyo lakini ukweli ni kwamba ndoa inapovunjika kama kuna watoto mara nyingi sana wao ndio wanaopata mateso makubwa sana. Nimeyashuhudia hayo ya watoto kuteseka mara nyingi tu.

there are usually systems in place kuhakikisha watoto wanapata matunzo/stability after divorce. kama mzazi m1 yuko 'unfit' kulea, then other gets full custody; and child protection services wanaweza kufanya 'surprise visits' kuangalia watoto wakoje
 
Hahaha! mkuu unapenda binti ambaye unajua kabisa hana sifa za kua mke, sasa umempenda vipi? huyo umetamani tu ufaidi siku mbili tatu upotezee... maana upendo hauji ovyoovyo, unampenda mtu ambaye anaendana na kile unachokitaka, we jitu halina sifa za kua wife, mchunaji, hana mipango ya future, au mchafu, hahaha hiyo lust hiyo
 
Ndio maana wengine wanaanza kuzungumzia ndoa za mikataba. Mnapiga miaka mitatu ikikatika mnakaa chini kuamua kama kutakuwa na extension ya mkataba au kila mtu anachukua 50 zake. Shuhudia sasa kama katika hiyo miaka mitatu kuna mtoto/watoto waliopatikana ndani ya ndoa jinsi watakavyoteseka.

Mmmmhhhh... Mie ndoa za mkataba HAPANA NO... Ni kupingana na Mpango wa Mungu aiseee!!?
 
Last edited by a moderator:
Siku zote hata kama mlikuwa mnapendana mwisho wa siku mkiishi kutakuwa na dalili za kuchokana ambapo zinahitaji uvumilivu wa hali ya juu
 
Ndio kama mtu umempenda kwa namna moja au nyingine amekidhi vigezo unavyovitaka kutoka kwa mke au mume?Kama unachagua wife material ni kama vile uone kitu "QUALITY" nzurii dukani ukinunue kwasababu ya quality na nembo lakini hujakipenda..utakuwa na ufahari wa kukivaa hicho kitu kweli?
thea uv a point
 
Hizi si za kila mtu, kuna baadhi labda wanaweza kuzikubali kwa kutilia maanani divorce rate kila mahali duniani ambayo inazidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha, na wengine wakasema mie ndoa ya mkataba siitaki. Na hazijaanza rasmi watu wanazizungumzia tu kutokana na wengi kuon azile ndoa za kuishi pamoja miaka 20, 30, 50 na kuendelea siku hizi ni nadra sana, labda miaka ya usoni zitakuwepo lakini kwa sasa sijasikia nchi yoyote ile duniani ambayo kuna ndoa za mikataba.

Mmmmhhhh... Mie ndoa za mkataba HAPANA NO... Ni kupingana na Mpango wa Mungu aiseee!!?
 
Mi nimegundua moyo ni mdanganyifu sana .. Oa anaefaa kuwa mke au olewa na anaefaa kuwa mume! Moyo ni zoazoa sana!

Smile that is qualitative thinking,nafikiri huu ni ufunuo toka kwa BWANA. You must be a wife material.
 
Unaempenda kwa dhati.toka moyoni mwako na pia afaaye kuwa mke.vyote viwili lazima viendane
 
hivyo vyote vinategemeana ukiacha kimoja tu utakuwa umejiharibia ktk kuoa au kuolewa
 
Wakuu wa janv,
Mimi nina kaswali ambako kwakweli hunitatiza.
Kabla sijauliza naomba niweke marital status yangu kua ni single, na
niongeze kua sina mtu yeyoye in target kwa sasa. Lakini niseme pia kua,
hua natamani siku moja niwe na mke na watoto na nilee familia yangu.
Swali lenyewe: Hivi tunatakiwa kuowa mtu unaempenda au mtu unaeona anafaa kua mke?
naamini sio kila unaempenda anaweza akawa mke, lakini pia sio kila anefaa kua mke utampenda.
Naombeni jibu.

hivi kweli mtu unampenda mtu huyo mtu amekua mama yako kweli daaahh..mimi nampenda mama yangu tu...
 
nakubaliana na mtoa mada. unaweza kumpenda mtu na akawa mzuri wa sura + umbo ila asiwe mke mzuri.....
 
1383364022845.jpg
 
obviously ukimpata unaeweza kuishi nae ndani yake kunaharufu ya upendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom