Hizo ni rare cases...............wengi waliooa choices zao wametulia na hata kama anatoka nje basi atacheat responsibly kwasababu bado anampenda mkewe
Ila waliioa anaefaa hata huko kucheat hawaoni hatari kuwaoneshea wake zao maana no feelings ila alitumia akili kumkubali na kuona anafaa
ha h aha ha ha ama kweli!
nina uhakika haujaingia kwenye ndoa bado.
but nimeipenda hiyo ya kucheat rensposibly, but yote ni kwamba small house haikwepeki. Piga ua