Mtu anaefaa kua mke vs mtu unaempenda.

Mtu anaefaa kua mke vs mtu unaempenda.

small house haikwepeki hata mtu akioa mrembo wa dunia

small house haihusiani hapa

mbona watu wana very beautifull wives then wanachukua small house wenye sura ngumu?

ah haya mambo ni magumu sana
Umetumia nguvu nyingi!
Ila nimependa ulivyohitimisha hapo kwenye rangi ya msimbazi.
 
kama unapenda ndoa moyo lazima uweke mbali kidogo aisee! kama unapenda ndoa lakini
smile me nadhani we umenielewa vizuri na tuko wote katika hili.
Hisia hutudanganya sana....
 
...na kwanini umpende mtu ambaye hana sifa unazotaka?? hujui kuwa kuna urafiki (nafasi ya kufahamiana)...uchumba(booking process kama mnafaana) then ndoa??
Chujio, mpaka hapa we tyari unazungumzia habari ya hisia dhidi ya utashi.
ambavyo nilivizungumzia mwanzo, manake kitendo cha ku ingage katika uchunguzi wa mtu kufaa au kutofaa ni kua tyari
una hisia nae, kadri unavyo mchhunguza ujue tyariupo nae na unachotafuta ni confirmation, mwisho wa siku na comfirm kua hafai wakati hisia zishaakomaa....(umeshapenda)...utaoa/olewa!?
 
Mimi 49 hii ipo sana hasa kwa sisi wanaume na wakati fulani ndio chanzo cha kukosa uaminifu. Ila cha msingi ni kuoa mtu unayempenda na anayefaa kuwa mke ingawa ni kitendawili kumpata wa sifa zote mbili.[/QUOTE]
Hi tech, hyo bold ndio iliyofanya pia nikauliza swali hili.
 
small house haikwepeki hata mtu akioa mrembo wa dunia

small house haihusiani hapa

mbona watu wana very beautifull wives then wanachukua small house wenye sura ngumu?

ah haya mambo ni magumu sana

Hizo ni rare cases...............wengi waliooa choices zao wametulia na hata kama anatoka nje basi atacheat responsibly kwasababu bado anampenda mkewe

Ila waliioa anaefaa hata huko kucheat hawaoni hatari kuwaoneshea wake zao maana no feelings ila alitumia akili kumkubali na kuona anafaa
 
Oa anaefaa kua mke au olewa na anaefaa kua mume wako tuuuuuuuuuuu
 
On that note...Na wadada waolewe na wanaowapenda sio kwakuwa mtu ana masters au mahela......
 
oa unayempenda upate furaha na amani maishani,,,,,,,,,,, hata kama ni kwa muda mfupi tu.

mambo yote ni upendo , ukikosekana basi jua hamna ndoa hapo.
 
Hii ni kwa wanawake tu au na wanaune? mtu anafaa kuwa mme hata kama hujampenda? uwiii
 
Mimi 49 hii ipo sana hasa kwa sisi wanaume na wakati fulani ndio chanzo cha kukosa uaminifu. Ila cha msingi ni kuoa mtu unayempenda na anayefaa kuwa mke ingawa ni kitendawili kumpata wa sifa zote mbili.
Tupo tumejaa tele!!
 
moyo hauchagui unaeza mpenda mtu na baadae ukagundua kua hawez kua mume/mke mwema xo hapo lazma utafte wife material
Kwahio unachojaribu kusema unamuoa mtu kwasababu wife material??Huoni kama unajichimbia shimo la kujifukia?Mwanzo wa kutoka nje ya ndoa ndo huo kwasababu huna mapenzi ya dhati na huyo utakayemuita "MKE"...
 


"Mirrors"
Aren't you somethin' to admire?
'Cause your shine is somethin' like a mirror
And I can't help but notice
You reflect in this heart of mine
If you ever feel alone and
The glare makes me hard to find
Just know that I'm always
Parallel on the other side

'Cause with your hand in my hand and a pocket full of soul
I can tell you there's no place we couldn't go
Just put your hand on the glass
I'll be tryin' to pull you through
You just gotta be strong

'Cause I don't wanna lose you now
I'm lookin' right at the other half of me
The vacancy that sat in my heart
Is a space and now you're home
Show me how to fight for now
And I'll tell you, baby, it was easy
Comin' back into you once I figured it out
You were right here all along

It's like you're my mirror
My mirror staring back at me
I couldn't get any bigger
With anyone else beside of me
And now it's clear as this promise
That we're making two reflections into one
'Cause it's like you're my mirror
My mirror staring back at me, staring back at me

Aren't you somethin', an original
'Cause it doesn't seem merely a sample
And I can't help but stare, 'cause
I see truth somewhere in your eyes
I can't ever change without you
You reflect me, I love that about you
And if I could, I would look at us all the time

'Cause with your hand in my hand and a pocket full of soul
I can tell you there's no place we couldn't go
Just put your hand on the glass
I'll be tryin' to pull you through
You just gotta be strong

'Cause I don't wanna lose you now
I'm lookin' right at the other half of me
The vacancy that sat in my heart
Is a space and now you're home
show me how to fight for now
And I'll tell you, baby, it was easy
Comin' back into you once I figured it out
You were right here all along

It's like you're my mirror
My mirror staring back at me
I couldn't get any bigger
With anyone else beside of me
And now it's clear as this promise
That we're making two reflections into one
'Cause it's like you're my mirror
My mirror staring back at me, staring back at me

Yesterday is history
Tomorrow's a mystery
I can see you lookin' back at me
Keep your eyes on me
Baby, keep your eyes on me

'Cause I don't wanna lose you now
I'm lookin' right at the other half of me
The vacancy that sat in my heart
Is a space and now you're home
Show me how to fight for now (please show me, baby)
I'll tell you, baby, it was easy
Comin' back into you once I figured it out
You were right here all along

It's like you're my mirror
My mirror staring back at me
I couldn't get any bigger
With anyone else beside of me
And now it's clear as this promise
That we're making two reflections into one
'Cause it's like you're my mirror
My mirror staring back at me, staring back at me

You are, you are the love of my life [x10]

Now you're the inspiration for this precious song
And I just wanna see your face light up since you put me on
So now I say goodbye to the old me, it's already gone
And I can't wait wait wait wait wait to get you home
Just to let you know, you are

You are, you are the love of my life [x8]

Girl you're my reflection, all I see is you
My reflection, in everything I do
You're my reflection and all I see is you
My reflection, in everything I do
 
Last edited by a moderator:
small house haikwepeki hata mtu akioa mrembo wa dunia

small house haihusiani hapa

mbona watu wana very beautifull wives then wanachukua small house wenye sura ngumu?

ah haya mambo ni magumu sana
Kukiwa na small house then kutakuwa na mapungufu kwenye hio ndoa...Something must be lacking...Naamini kuna chanzo cha kila kitu!!!
 
Kwahio unachojaribu kusema unamuoa mtu kwasababu wife material??Huoni kama unajichimbia shimo la kujifukia?Mwanzo wa kutoka nje ya ndoa ndo huo kwasababu huna mapenzi ya dhati na huyo utakayemuita "MKE"...
nop ndoa ni process if we cn learn to love men cn do z same manake hata ukimuoa huyo unaempenda lakn akawa hakidh vigezo vyakua mke stil mme anaeza toka nje
 
Kupenda na kufaa lazima kuendane...period!!!

Huwezi kusema unamchagua mtu kwa kuwa ni wife material halafu wakati huo huo useme hujampenda...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom