khahahahahahaaa mapenzi yamekua tishio sana, yaani inabidii uwe mjasiriamali hadi kwene mapenzi!hivi kweli mtu unampenda mtu huyo mtu amekua mama yako kweli daaahh..mimi nampenda mama yangu tu...
Huko si kupenda ni kutaamani mtu unayempenda hata kujiuliza uliza juu yake hutapata muda huo!Mimi49, kupenda ni hisia, huja popote na wakati wowote na ziko huru, tunatakiwa
kuzi kontrol kwa kutumia utashi pale tunapoona hazipo sahihi.
inawezekana ukavutiwa na mtu lakii ukagundua hana sifa unazotaka.
Hueleweki wewe.... sentensi zako zinapingana!!! fikiria umeandika nini kwanza... tangu lini mke awe ni mtu usiyempenda?Wakuu wa janv,
Mimi nina kaswali ambako kwakweli hunitatiza.
Kabla sijauliza naomba niweke marital status yangu kua ni single, na
niongeze kua sina mtu yeyoye in target kwa sasa. Lakini niseme pia kua,
hua natamani siku moja niwe na mke na watoto na nilee familia yangu.
Swali lenyewe: Hivi tunatakiwa kuowa mtu unaempenda au mtu unaeona anafaa kua mke?
naamini sio kila unaempenda anaweza akawa mke, lakini pia sio kila anefaa kua mke utampenda.
Naombeni jibu.
Swali lenyewe: Hivi tunatakiwa kuowa mtu unaempenda au mtu unaeona anafaa kua mke?
naamini sio kila unaempenda anaweza akawa mke, lakini pia sio kila anefaa kua mke utampenda
There you go....Huko si kupenda ni kutaamani mtu unayempenda hata kujiuliza uliza juu yake hutapata muda huo!
back to topic:
mtu akiwa na sifa za kuwa mke moja kwa moja umependa hizo sifa alizo nazo na ndio kumpenda yeye mwenyewe nje na hapo ni kutaamani!
sasa huyo unaye mpenda hujui kama sifa alizo nazo ndio zinakuvutia ila anakosa baadhi ya sifa unaona hafai kuwa mke!
Ukitafuta mfanya kazi utaangalia mtu mwenye sifa na kazi husika lakini kama ni mke ni lazima utafute mtu mwenye sifa za kuwa mke!
mengine mbwembwe ndugu yangu unaweza kuoa mtu kwa mvuto wa muonekano wake kwako kesho anapata ajari kile ulicho kipenda kwake kinaondoka utamuacha? mapenzi ni uvumilivu asikudanganye mtu leo unamuona mtu unavutiwa naye kesho unakutana na mwenye uzuri zaidi yake ukikosa uvumilivu unamtongoza huyo anaye mzidi uzuri!
be smart kwenye ndoa mapenzi huchuja pema hujapema ukipema si pema tena! ni bora kuoa mtu mwenye sifa za kuwa mke maana changa moto za ndoa zitapungua sana!
Mi nimegundua moyo ni mdanganyifu sana .. Oa anaefaa kuwa mke au olewa na anaefaa kuwa mume! Moyo ni zoazoa sana!
Mpendwa Tasia.... Ukamilifu ni wa Mwzi/Mungu !! kikwetu ni hivi:- Waifu wa kuchagua ni kama TIKITI !! na wife unaempenda ni kama UMRI !! hivyo binaadamu anakasoro zake na upungufu wake. maisha ya ndoa ni GIVE and TAKE....Wakuu wa janv,
Mimi nina kaswali ambako kwakweli hunitatiza.
Kabla sijauliza naomba niweke marital status yangu kua ni single, na
niongeze kua sina mtu yeyoye in target kwa sasa. Lakini niseme pia kua,
hua natamani siku moja niwe na mke na watoto na nilee familia yangu.
Swali lenyewe: Hivi tunatakiwa kuowa mtu unaempenda au mtu unaeona anafaa kua mke?
naamini sio kila unaempenda anaweza akawa mke, lakini pia sio kila anefaa kua mke utampenda.
Naombeni jibu.
Ukweli ni kua kuna watu wengi sana amabao hatuna wake/waume na hata wale wenye wake/waume wana maswali/chanagamoto ningi zinazofanana juu ya kufanya maamuzi sahihi ya kupata Mwenza.A very interesting thread
Afro-Arabica nakushukuru.Mpendwa Tasia.... Ukamilifu ni wa Mwzi/Mungu !! kikwetu ni hivi:- Waifu wa kuchagua ni kama TIKITI !! na wife unaempenda ni kama UMRI !! hivyo binaadamu anakasoro zake na upungufu wake. maisha ya ndoa ni GIVE and TAKE....
Wewe usiwe bakhili kwake naye asiwe bakhali kwako.
Kila la heri and good luck maisha goes on !!
Angalia hyo re bolded vizuri. hapa sisi hatumzungumzii "wife material" kwa ajili ya mtu mwingine bali sisi wenyewe.Hivi hili la wife material na asiye wife material linatoka wapi,wife material kwako anaweza asiwe wife material kwa mwingine,halafu hii kitu huwa siielewi wife material anatakiwa kuwaje? "women speaks different language as men do, Understanding your spouse language makes a marriage more meaningful" Bhaaasi hakuna cha wife material hapo,hata angekuwa mzuri namna gani lakini mkielewana na kupendana ataweza kuvumilia katika mapito yote maana faraja yake utakuwa wewe,halafu watu wamekariri sasa eti wife material anakuwa na sura ngumu who told yuuu? mwisho utakayempenda a yeye akathamini huo upendo wako huyo ndo wa kuoa maana anakuelewa vizuri ukiwa na furaha na yeye anakuwa na furaha and vice versa.
mkuu hii thread imechangiwa had page ya 4 sasa, wewetu ndio umeandika kua sijaeleweka.Hueleweki wewe.... sentensi zako zinapingana!!! fikiria umeandika nini kwanza... tangu lini mke awe ni mtu usiyempenda?
Dr. DD.. Mbona kawaida imefahamika, Mke anapendeka lakini baada ya muda na mazoea huwapo na mabadilko ya muda, Vishawishi vingi hujitokeza maishani !! japo kuwa penzi limeduwaa lakini ulimwengu haupo shwari vivutivo na majukumuuHueleweki wewe.... sentensi zako zinapingana!!! fikiria umeandika nini kwanza... tangu lini mke awe ni mtu usiyempenda?
suppose umeoa 'wife material' halafu akaja mdada 'mrembo zaidi', utamuacha aende zake au utamfanya small house?Huko si kupenda ni kutaamani mtu unayempenda hata kujiuliza uliza juu yake hutapata muda huo!