Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
my dia tumejitahidi kwa hali na mali lkn babu kakataa,kina uncle waligoma sana wakasema wanataka msiba uingie japo mlalakuwa zen upelekwe huko obay,kiukweli yeye ni baba jina tu hakuna cha ziada.hatunasababu kumwaangaisha marehem apumzike kwa amani tu.
Pearl, hilo ndilo jambo la msingi kwa sasa. Ni jambo zuri kuachana na tofauti za kifamilia wakati wa majonzi. Kitu kama hicho husababisha majonzi zaidi kwa waombolezaji. Kwa vile Baba kaamua basi ni vuzuri kuwa pamoja (bila kujali mtakutana wapi) na kumsindikiza mpendwa wenu.
Poleni sana na Mungu awape nguvu. Again RIP to Julius.