Mtoto wa Pius Msekwa afariki!

Mtoto wa Pius Msekwa afariki!

Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.

huyu mzee msekwa ana matatizo, kwa nini hakuuhudhuria mazishi
namkumbuka mkewe aloyefunga nae ndoa mara ya kwanza kabisa na badae msekwa akamkataa kisa eti wazazi wake ndo walimchagulia, akashtaki kanisani(RC)kuwa hakuwa chaguo lake isipokuwa wazaz walimtafutia na alipotoka ulaya akakuta mke hivyo kumuoa baadae ndo akaja na madai hayo kuwa sio chaguo lake ila la wazaz
kesi ilichukua mda mrefu sana maana kanisa lilishindwa na kuifoward kesi Vatikani kwa baba Mtakatifu, papa akatuma wataalamu wachunguzi baadeye vatikani ikaamua ndoa Ivunjwe ndo akamuoa huyu mke wa sasa sijui anaitwa nani vile...

bby the way pole juliusi nakukumbua toka tulipokuwa shule..RIP bro
 
Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.

Marehemu Ayoub hakuwa mwanae wa kuzaa ingawa hiyo isingekuwa sababu ya kutohudhuria msiba ule. Mzee Msekwa amejichanganya sana kimaisha kama tulivyo wengi. Tumwache azike mwanae kwanza.
 
Sio wakati mzuri kuzungumzia maisha binafisi ya mtu wakati akiwa na majonzi. Huu ni wakati wa kuwafariji wafiwa na kumwomba MUNGU aiweke roho ya marehem JULIUS mahali pema peponi
 
Inna lillah wa inna illahi llaji un, jina la allaah lihimidiwe
 
Sio wakati mzuri kuzungumzia maisha binafisi ya mtu wakati akiwa na majonzi. Huu ni wakati wa kuwafariji wafiwa na kumwomba MUNGU aiweke roho ya marehem JULIUS mahali pema peponi

Wakati mzuri wa mtu kujirekebisha ni pale anapokuwa na machungu....hivi mlitaka aambiwe wakati wa aharusi ya mwanawe?akilia harusini je?
 
nadhani ungeenda moja kwa moja oyesterbay maana mlalakuwa kutakuwa na ndu watakaoingia leo na kesho kutoka iringa.
Mzee Msekwa hajatutendea haki majirani zake wa Mlalakuwa Savei. Hawa watoto wamekulia pale na wameujenga ule mji vizuri tu. Kuhamishia msiba Oyesterbay ni kwa vile mama yao alishafariki. Au anataka akina JK wahudhurie kirahisi? Pearl rudisheni msiba Mlalakuwa.
 
Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.

Kwa sababu hatujui sababu za yeye Mzee Msekwa kutohudhuria mazishi ya Ayoub, basi tusimhukumu huenda ikawa alikuwa na sababu nzito. Nasikitika kwamba ile nyumba katika kipindi cha miaka minne hivi imepata misiba mizito mitatu (Ayoub, Mama na Julius). Pole Mzee Msekwa, Jacob na wote wanaohusika (including Pearl wa JF).
 
my dia tumejitahidi kwa hali na mali lkn babu kakataa,kina uncle waligoma sana wakasema wanataka msiba uingie japo mlalakuwa zen upelekwe huko obay,kiukweli yeye ni baba jina tu hakuna cha ziada.hatunasababu kumwaangaisha marehem apumzike kwa amani tu.
Mzee Msekwa hajatutendea haki majirani zake wa Mlalakuwa Savei. Hawa watoto wamekulia pale na wameujenga ule mji vizuri tu. Kuhamishia msiba Oyerstabay ni kwa vile mama yao alishafariki. Au anataka akina JK wahudhurie kirahisi? Pearl rudisheni msiba Mlalakuwa.
 
With due respect, WILDCARD msiba hata ukiwa Moshi unaweza kwenda tu, kwani mpaka uwe jirani ma kwako? Huenda wana sababu zao. Kumbuka ile nyumba alikuwa anaishi mama, sasa hayupo, unadhani nyumba ikiachwa kwa muda ni rahisi kuja kukaa kufanyia msiba humo? Hata hivyo Julius ni mwanae wa kumzaa. Tuacheni siasa jamani, tuwape pole na tushiriki nao.
 
my dia tumejitahidi kwa hali na mali lkn babu kakataa,kina uncle waligoma sana wakasema wanataka msiba uingie japo mlalakuwa zen upelekwe huko obay,kiukweli yeye ni baba jina tu hakuna cha ziada.hatunasababu kumwaangaisha marehem apumzike kwa amani tu.

Hapo penye bluu pamenisikitisha sana. Kuna maswali ninayo ila si muda wake.
 
nyumba hile kwa sasa anakaa mamdogo na kina uncle walisema aandae taratibu zote za mazishi gafla tu babu akasema msiba upelekwe obay
With due respect, WILDCARD msiba hata ukiwa Moshi unaweza kwenda tu, kwani mpaka uwe jirani ma kwako? Huenda wana sababu zao. Kumbuka ile nyumba alikuwa anaishi mama, sasa hayupo, unadhani nyumba ikiachwa kwa muda ni rahisi kuja kukaa kufanyia msiba humo? Hata hivyo Julius ni mwanae wa kumzaa. Tuacheni siasa jamani, tuwape pole na tushiriki nao.
 
ni historia ndefu u will never understand t in one day,hakumjali bibi kwa lolote mpaka kifo kilipomkuta,wala wanae hakuwajali tena,wamelelewa na bibi na kusomeshwa na bibi tu.
Hapo penye bluu pamenisikitisha sana. Kuna maswali ninayo ila si muda wake.
 
With due respect, WILDCARD msiba hata ukiwa Moshi unaweza kwenda tu, kwani mpaka uwe jirani ma kwako? Huenda wana sababu zao. Kumbuka ile nyumba alikuwa anaishi mama, sasa hayupo, unadhani nyumba ikiachwa kwa muda ni rahisi kuja kukaa kufanyia msiba humo? Hata hivyo Julius ni mwanae wa kumzaa. Tuacheni siasa jamani, tuwape pole na tushiriki nao.
Chupaku,
Pale ndio nyumbani kwao. Ndipo wamekulia na sio mbali sana na O'bay. Tunajifunza jambo moja tu hapa. Kuandika WOSIA.
 
pearl unachosema ni kweli

marehem julius nimesoma nae na ninajua kisa kizima kwa nini yule mzee hakumpenda yule mama yao kina julius (soma post no 22)

yule mzee ana matatizo sana yaani tena sana, huyu mke wa sasa sijui kampa nini
 
Poleni wafiwa.

"Ndiyo maana wenye hekima walisema, maisha binafsi yaachwe pembeni kwenye siasa"
 
Back
Top Bottom