mke wa sasa, si anaishi na ana abdalah? au mke wake ni nani? mimi najua mke wa pius msekwa ni anna abdalah......na sina uhakika kama ana abdalah anaye hata mtoto mmoja tu wa pius msekwa. I HOPE, SIO SADAKA HII, hao viongozi wengi wanakuwa na madudu mengi na yakianza kuwatafuna watoto wao (bila wao kujipendea) yanawamaliza kabisa. dawa yao ni kuwaendea kwa misukule kule Kawe tu, ndo aibu yao! ita Julius hadi arudi.
Mzee yule hana maana. nilishawahi kwenda nyumbani kwake kule Dodoma kipindi yuko speaker, nikaona anaishi na anna abdalah....
R.I.P Julius!ni historia ndefu u will never understand t in one day,hakumjali bibi kwa lolote mpaka kifo kilipomkuta,wala wanae hakuwajali tena,wamelelewa na bibi na kusomeshwa na bibi tu.
Ndio maana wenye Busara walisema mapema acheni maisha binafsi yasijadiliwe kwa viongozi wa Tanzania.
Mkiendelea kujadiliana hapa hakuna atakaempenda Mzee Msekwa....Mama yao akina Julius (RIP),David na Ayoub (RIP) alifariki akiwa na kinyongo kikubwa kuhusu Mzee Msekwa.Huyu Spika wa zamani aliachana na mkewe wa ndoa muda mrefu na kutaka kuoa kanisani huko Ukerewe kitu ambacho Mwalimu Nyerere alikataa kabisa,walijaribu kupindisha taratibu na kutaka kwenda kwenye ndoa ya kanisani.
Mzee Msekwa amemuoa Mama Anna Abdalah kwa ndoa ya kiserikali,na Viongozi hao hawana watoto katika ndoa yao,wameoana mwishoni mwa miaka ya 80.Msekwa kamuoa Mama Anna ambaye tayari alikuwa na watoto 5 (Lazzy,Nyemi,Mwanate,Datsun na Rehema) aliozaa na wanaume 4 tofauti.Mzee Msekwa alikuwa na watoto wawili Julius (RIP) na David ambao Mama yao pia ni marehem
Mwenyewzi Mungu amlaze pema peponi Julius.Mateso manyanyaso na vurugu hizi za duniani alizoshuhudia ni vyema apumzike na kuachana nazo,sote tumuombee mapumziko mema!.
Mzee Msekwa hajatutendea haki majirani zake wa Mlalakuwa Savei. Hawa watoto wamekulia pale na wameujenga ule mji vizuri tu. Kuhamishia msiba Oyesterbay ni kwa vile mama yao alishafariki. Au anataka akina JK wahudhurie kirahisi? Pearl rudisheni msiba Mlalakuwa.
pearl unachosema ni kweli
marehem julius nimesoma nae na ninajua kisa kizima kwa nini yule mzee hakumpenda yule mama yao kina julius (soma post no 22)
yule mzee ana matatizo sana yaani tena sana, huyu mke wa sasa sijui kampa nini
Mkuu yale makorogesheni ya Savei, na parking hamna, misafara itapitaje? Anyway, pamoja na yote yaliyotokea, Julius bado ni mwanae na kama baba anaweza kuamua msiba uwe wapi. Pia tusisahau Mlalakuwa pia ni nyumbani kwake Msekwa, kwa hiyo nani hapo unaona ana nguvu zaidi ya kusema msiba uwekwe wapi. Suala hili si muhimu kwa sasa, wajua ukifa hata uzikwe baharini ni kwamba utakuwa umezikwa tu. But its so sad that he left us now than later.
Hiyo jamani umekosa neno lake la kilugha!. Vipi bhozyo!.Uncle Poleni sana
Nilidhani Mazishi yatafanyia kule home Ukerewe Nansio,(enitoga abhajo sika bhukerebe wao??)
Jamani mwana weswa amafwa,
Mbhe kukutyo, Julias chirabhugangana eyoooo!
RIP
Samahani Pearl... Marehemu amefariki akiwa na umri gani...???
Hiyo jamani umekosa neno lake la kilugha!. Vipi bhozyo!.
we jua kafariki,kilichomuua wakitakia nini jaman?
R I P JULIUS
POLE KWA FAMILIA
Ndio maana wenye Busara walisema mapema acheni maisha binafsi yasijadiliwe kwa viongozi wa Tanzania.
Mkiendelea kujadiliana hapa hakuna atakaempenda Mzee Msekwa....Mama yao akina Julius (RIP),David na Ayoub (RIP) alifariki akiwa na kinyongo kikubwa kuhusu Mzee Msekwa.Huyu Spika wa zamani aliachana na mkewe wa ndoa muda mrefu na kutaka kuoa kanisani huko Ukerewe kitu ambacho Mwalimu Nyerere alikataa kabisa,walijaribu kupindisha taratibu na kutaka kwenda kwenye ndoa ya kanisani.
Mzee Msekwa amemuoa Mama Anna Abdalah kwa ndoa ya kiserikali,na Viongozi hao hawana watoto katika ndoa yao,wameoana mwishoni mwa miaka ya 80.Msekwa kamuoa Mama Anna ambaye tayari alikuwa na watoto 5 (Lazzy,Nyemi,Mwanate,Datsun na Rehema) aliozaa na wanaume 4 tofauti.Mzee Msekwa alikuwa na watoto wawili Julius (RIP) na David ambao Mama yao pia ni marehemu.
Mwenyewzi Mungu amlaze pema peponi Julius.Mateso manyanyaso na vurugu hizi za duniani alizoshuhudia ni vyema apumzike na kuachana nazo,sote tumuombee mapumziko mema!.