Bonnie1974
JF-Expert Member
- Mar 19, 2008
- 407
- 17
Mkulu hiyo hapo imenifanya nipate picha kama vile unamCROSS EXAMINE mshtakiwa.Kama ni mimi ungeweza kuniambia .... Isingekuwa ni big deal.
I am different charater on this palnet.
Ungekuwa na maswali machache tu ya kunijibu ili kutegeneza hii issue.
Ni uwuzi, tena uwazi kabisa kabisa..ungekuokoa...But dont do this to ua husband...maana mimi naye inawezekana tunatofautiana sana.
Lakini kwanza ..tell me all this very HONESTLY...hata kama ukisikia kufa...Just tell it as it was....Jibu kama mimi ni mume wako!
Was you forced into the act?
What really drove you to that ..Chap?
Ulikuwa fully aware when you went with him?
Unafikiri mimi ningetakiwa nifanye nini ... ili usiende naye ..hapa nina maana there was ..weakness in my part ndio maana..ukapata hiyo nafasi.
Na
Kabala sijaendelea..?
Ilikuwaje Baba wa mtoto akajua kuwa una mtoto naye?
Did you tell him?
Why?
Ulivyomuabia ..didi you fill Highhh..yaani ulikuwa unajisikai vizuri..yaani kama umemkomesha mumeo .....kitu kama hicho..just be very frankly...
Let me get all this answers before you get my advice...!
I am sure all will be very fine..if this is true..story..!
Mkulu unafaa zaidi kuwa Lawyer kama siyo Lawyer.
Nimeipenda.
Respect.