...
Vile vile nakuasa tena na tena, Only when you think the time is right ndio hapo uumwage mtama, consequenses zake ni kubwa kuliko unavyozifikiria, kati ya Mumeo au mwanao kuna mmoja itamuathiri zaidi kisaikolojia lakini ukweli lazima siku moja uuseme, usiende na 'siri' kaburini.
Kwa kweli sielewi jinsi Mchongoma anavyoweza kuvumilia kuona mtoto analelewa na mtu mwingine...
By the way, naona akina baba wenye watoto wafanye DNA test za watoto wao especially kama hawafananani na baba zao.
...Chief, DNA ndio mwisho wa yote, hata mimi sijafanya DNA test kuthibitisha huyo mtoto ni wangu, lakini without a doubt, "circumstances" zinakubaliana kwa asilimia kubwa kuwa 'raha raha' ile ya siku ile, matokeo yake ndio huyo mtoto,
...na hata kama DNA test itani prove wrong, sitamlaumu 'Kisura' huyo kwa nafasi "alonitunuku" kuwa baba 'mshiriki' kwa huyo mtoto.
"Yeah, it can happen to you!"... haha aa..
...
...na hata kama DNA test itani prove wrong, sitamlaumu 'Kisura' huyo kwa nafasi "alonitunuku" kuwa baba 'mshiriki' kwa huyo mtoto.
"Yeah, it can happen to you!"... haha aa..
Hali kama hii ilimpata mama mmoja aliyekuwa mheshimiwa serikalini, na mume alipojua ndoa ilisambaratika vibaya, hata yule mama alipofariki mume alikataa katakata kumzika kwake (kwa mume, kwa mujibu wa mila zao). Ikabidi azikwe parokiani. Umesoma mengi hapa, najua umetafakari sana, lakini angalia na historia pia.
Na watoto wako kwa shemeji yangu? How far are you certain kuwa ni WAKO?
...mambo yalikuwa kuliko IVF mjomba, kama sio 'carbon copied' basi cloned to the bone!
Hii thread inafunza sana.
Msanii, mimi nilikutana na mtu nikaambiwa ni dada yangu wakati nimeshafika UNIVERISTY MWAKA WA TATU! na tulikutania chuoni. Strange but true na mpaka leo tunaheshimiana na kupendana na kusaidiana pale inapobidi. Life is like that, yaliyopita si ndwele..... Wakati jamaa yangu nakumbuka..wakati wanamzika baba yao..ndo alijitokeza kijana wa miaka 30 kuja kudai haki yake ya urithi....for the first time..na mind you mdingi alikuwa anahudumia kama kawaida kwa siri..baba mlezi hajui..it was soooo sad..but again..we live in imperfect world...
Maindainda swala la kusema au kukaa kimya ni very disturbing. Itakuwaje mtoto akijua hata kama ameshakuwa mtu mzima? I can assure you SIR NI YA MTU MMOJA TUU SI YA WAWILI, na hata hapo ulipo huwezi kuwa na uhakika kama huyo jamaa uliyezaa naye hajawaambia wengine kwamba mtoto uliye naye ni wake? You never know. Angalia pande zote za shillingi. What Iam sure of, trust me, huyo mtoto wako atakuja jua tuu..hata kama hutamwambia wewe. Maana inawezekana kabisa, huyo jamaa yako akawa hata ameshawaambia wanafamilia wake..lakini wakawa wanakulia timing..And huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani in the future? what if he becomes another Obama? Imean weigh vizuri..si rahisi mtu kumuacha mtoto wake eti ana save ndoa yako..akina Mchongoma na Abunuwasi ni akina Musa na Abrahamu of our times..ni wachache mno.
Naomba kukuuliza..huyo mtoto ana umri gani kwa sasa (hata kama huwezi taja umri exactly..kadiria)? kama bado ni mdogo..the earlier you do it the better. After all Iam sure hata wewe bado unalipa na the way you sound..you cant fail to take charge of your own life, if destiny so dictates.......so you can start a new chapter....you wont be the last or the first my dear...
What you did is bad, lakini wewe si wa kwanza wala wa mwisho...piga moyo konde...itakuwa mbaya zaidi kama mtoto akijua ameshakuwa mtu mzima....it may wreck the rest of your future na siku zako za duniani zikawa misery tupu...
Wengi wamequote vitabu vitakatifu..lakini..hivyo vitabu hivyo hivyo...vinakwambia truth shall set you free...ni vema ujitue huo mzigo kuliko kuishi maisha ya kuwa mwoga forever...the guy will say it tuu....I can guarantee you, so deny him that chance and DO IT yourself kabla!
Mama pole sana kwani napenda kukutia moyo uwe tu mkweli kwa mumeo. Mimi haya yalikuta miaka 18 iliyopita baada ya mamsapu wangu kufanya tendo kama lako na akazaa mtoto ambaye kwa kweli ni kijana mzuri sana na mwenye akili sana> Nimemsomesha na hata sasa yuko USA kwenye chuo kikuu huko. Hili pendo lilitokea baada ya mke wangu kunieleza ukweli na kunisihi sana nimfichie hii siri kama mwenzanke kwenye ndoa inayotambulika tulifanya hivyo and now the boy is 21 yrs old. Baadaye nilizunguza na Bilogical father wake kuhusu hili jambo na kuwa kijana anatumia sir yangu. Huyu bwana naye kanishukuru sana na kuniomba hata mtoto asiambiwe yaliyopita yasije yakamfanya akaumia roho. Hivyo kama mumeo ni mtu aliyekomaa kindoa naona hili halitakuwa jambo la ajaabu kwake na bila shaka atalipokea kwa moyo wa kutaka kukusaidia pia maana ni kitu ambacho uanakijutia hadi leo.
Mchongoma,
There is no right time for you to get that child or for that woman to come clean. Msahau endelea na maisha litakalotokea baadae kwa bahati mbaya utalijua huko mbele kwa mbele.
Hello,
Nilitoa habari yangu katika forum hii na kupata maoni mbalimbali kutoka kwenu wadau.
Napenda kuwashukuru wote mliochangia na kunishauri, kwa wale walionipa pole asante sana. Ni kama mtu aliyepata ajali vile kwa hiyo nakubali pole zenu na hata wale waliokuwa wakali kidogo.
Kwa sababu fulani sitaweza kuendelea kuchangia katika hii mada. Ila napenda kuwaeleza msimamo wangu baada ya kupata ushauri wenu.
Msimamo wangu hautokani na sababu hizi hapa chini:
-Kujiona mkosa sana;
-Kwa sababu mimi ni mwanamke;
-Nina woga wa maisha ya baadae;
-Ni selfish na sifikirii wengine, nk
Nimeamua kusema hili kwa sababu tu NAMPENDA MUME WANGU na siwezi kuendelea kumdanganya maisha yote, hivyo NITAMUELEZA ukweli. Hata hivyo nitatazama muda muafaka na nitazingatia ushauri wenu mliotoa wa jinsi ya kuendea jambo hili. Nitakapokuwa tayari, hapo tu ndio nitafanya hivyo na nitaheshimu uamuzi wake atakaoutoa. Sitazamii lolote, Mungu atanisaidia.
Siwezi kuahidi kama nitarudi kuwaeleza matokeo kutokana na mazingira, ila nitajaribu kama itawezekana. Nashauri muwe waangalifu katika maisha yenu, hasa katika mambo kama haya.
ASANTENI SANA.

Itakuwa vizuri utujulishe matokeo ya hili baada ya kumwambia mumeo maana itawasaidia wengine ambao wana majaribu kama haya au siku za usoni wanaweza kuwa katika situation kama yako.