Msanii kaka ukimwi unatafuta mwenyewe...
Hii ni kesi ngumu kiasi ...
Ifuatayo inaweza kuwa majibu ya kesi yako...
Habari insikitisha na inahuzunisha.
Anyway, katika mafundisho ya mtume Muhammad (SAW) mtoto ni wa baba mwenye ndoa (MTOTO NI WA KITANDA) na mzinzi hana lake (MZINZI AKALE MAWE), kapoteza nguvu zake na muda wake na siku ya kiama atakuja kuadhibiwa na mola wake. Usijihisi unyonge, kata mawasiliano na huyo mtu kabisa, na akiendelea kukufuata fuata, tumia njia zote za halali kumzuia kwani anataka kukuvurugia maisha yako.
Imetulia sana hii...
La mwisho ni kuwa usimwambie mumeo, isipokuwa kama hakuna namna nyingine ya kuficha maovu ambayo yamepita. Nasema hivi kwa sababu mbili: Kwanza ni kuwa Mungu hapendi kutangaza / kueneza habari za maovu, isipokuwa kama unafanya hivyo ili kudai haki yako (Rejea 4:148). Sababu ya pili ni kuwa hatujui nini reaction ya huyo jamaa kama utamweleza habari kama hizo. Anaweza kuamua kukuuwa, hivyo utakuwa umejisababishia kifo au maangamizi, Jambo ambalo; again, ni haramu.
Mie sio Muislam lakini nimeguswa sana...na nakubaliana na mshauri 100%
Naomba Admin/Mods abadilishe Title iwe NIMEZINI NIKIWA NDANI YA NDOA...NIFANYEJE?
Msanii kaka ukimwi unatafuta mwenyewe...
Hii ni kesi ngumu kiasi ...
Ifuatayo inaweza kuwa majibu ya kesi yako...
Habari insikitisha na inahuzunisha.
Ningependa kusema yafuatayo kwa dada yetu. Nami ninasema haya kama muislamu, lakini kama mhusika si muislamu, basi ningemshauri aende kwa viongozi wa dini yake, au katika taasisi za kijamii zinazohusika na maswala ya kusaidia kina mama wenye matatizo ya ndoa, akapatiwe ushauri nasaha.
Anyway, katika mafundisho ya mtume Muhammad (SAW) mtoto ni wa baba mwenye ndoa (MTOTO NI WA KITANDA) na mzinzi hana lake (MZINZI AKALE MAWE), kapoteza nguvu zake na muda wake na siku ya kiama atakuja kuadhibiwa na mola wake. Usijihisi unyonge, kata mawasiliano na huyo mtu kabisa, na akiendelea kukufuata fuata, tumia njia zote za halali kumzuia kwani anataka kukuvurugia maisha yako.
Pamoja na kuwa nimesema hayo kuna maswala mawili matatu:
Swala la kwanza ni la uzinzi na kutunza hesima ya ndoa. Kesi ya dada yetu huyu ni Case Study nzuri za athari ya mambo kama haya na inaweza ikampelekea mtu katika Dilemma na Stress ambazo hazina ufumbuzi sahihi. Ushauri wangu katika hili ni kuwa TUBU kwa mola wako, jiwekee ahadi ya kweli ya kutorudia tena, huku ukiendelea kujuta kwa yale uliyoyafanya.
Kuhusu mumeo, jitahidi kumfanyia mema mengi sana, ili kujenga mazingira ya kuwa hata kama atajua kwa namna yoyote basi atakuwa tayari kukusamehe. Pia jitahidi kuwafanyia mema familia ya mumeo kwani katika jamii zetu za kiafrika (familia) nao pia wana mchango wao katika usalama na ufanisi wa maisha ya ndoa.
La mwisho ni kuwa usimwambie mumeo, isipokuwa kama hakuna namna nyingine ya kuficha maovu ambayo yamepita. Nasema hivi kwa sababu mbili: Kwanza ni kuwa Mungu hapendi kutangaza / kueneza habari za maovu, isipokuwa kama unafanya hivyo ili kudai haki yako (Rejea 4:148). Sababu ya pili ni kuwa hatujui nini reaction ya huyo jamaa kama utamweleza habari kama hizo. Anaweza kuamua kukuuwa, hivyo utakuwa umejisababishia kifo au maangamizi, Jambo ambalo; again, ni haramu.
Binafsi kama jambo kama hili litanitokea, my WORST possible reaction will be to divorce the woman, and let her free.
hio nimeona kaka mmoja mwenye maarifa ya DINI ya Kiislam akijaribu kutoa ushauri wake, ukiona Haukutoshi, basi tafuta wengine...
Wewe Azimio weweee, usitafute matatizo, shauri yako, pamoja na kusema kuwa uko simple, sijui kama kuna mwanamme simple katika kujua kuwa mkeo amefanyausaliti huu. Siwezi kutoa details zingine za mtoto, sorry.
Wewe Azimio weweee, usitafute matatizo, shauri yako, pamoja na kusema kuwa uko simple, sijui kama kuna mwanamme simple katika kujua kuwa mkeo amefanyausaliti huu. Siwezi kutoa details zingine za mtoto, sorry.
It happenned that I was at a wrong place with a wrong guy and it happenned. Si tabia yangu na wala sikujidhania kwamba siku moja naweza kuisaliti ndoa yangu.
Huyo baba mwenye mtoto ana mke, simpendi kimapenzi na wala hatuhusiani tena, ikiwa ni pamoja na kuwa hajawahi kumtunza mtoto huyu ingawa anaweza. Sikutaka afanye hivyo. Tatizo ni kuna wakati fulani aliwahi kusema kuwa atakuja kumchukua mtoto wake siku moja, kivipi sijui. Naona ana fujo maana sioni uwezekano wa jambo hili labda avunje ndoa yangu kwanza. Sio kutokana na sababu hii ila kwa muda mrefu tangu nikiwa na mimba ile nimetaka kumwambia mume wangu ukweli lakini nimeshindwa. Maisha ya masikitiko na kuwaza jamani naona nashindwa na nataka nimwambie ukweli na atoe hukumu yake.
Naomba mnishauri hasa wanaume- ingekuwa wewe ungefanyaje? Nimwambie au niache?
...................MSANII,
Kuhusu kutafuta mke aliyeachika aliyezaa nje ya ndoa - kweli wewe ni msanii!
Pia naelewa risks za kutoa taarifa hii ya ufisadi wangu (siku hizi kila kitu ni ufisadi hata neno limepoteza maana yake)!
Mzee na biological father (jina la heshima alilopewa kuliko yote humu ndani)wanasoma JF? Sijui.......... I reserve my comments.
Mimi sitaki ushauri wa mwelekeo fulani. Kwa asilimia kubwa nimeshapata picha ya nini nitafanya au sitafanya, ila jimwageni zaidi naendelea kujipanga zaidi.
Nadhani tukibadilisha title tutapoteza mwelekeo. Ukisema title iwe - NIMETOKA NJE YA NDOA NIFANYEJE - majibu yatakuwa ni kuhusu kitendo na sio ufanyeje baada ya kitendo na matunda ya kitendo kutokea. Msibadili tafadhali.
Nimegundua kuwa si wanawake tu wanabezwa kwa jambo kama langu. Mfano majina aliyopewa huyo jamaa ni kama - JIZI, JAMBAZI, TAAHIRA, MWIZI, TRESPASSER. inaonyesha mambo haya hayakubaliki hata kama yanafanyika.
Tuendelee kidogo, nadhani tunakaribia mwisho. Nimefurahi kusikia kuwa kuna wanaojifunza kutokana na hii story.
Please nijibu maswali yangu haya
1.Sasa nini unataka iwe hatma ya mtoto wako na wewe?
2.Unatamani nini kitokee ili ukae na mwanao?
3. Waweza kufanya nini ili ukae na mwanao?
4. Una hisia gani juu ya huyo mwanamke, maisha yake au ndoa yake - toa hisia zozote nzuri au mbaya.
5. Tell me more about that emptiness feeling that you have.
...
...nishajibu hapo juu...labda kwa kuongezea ni MAMA wa mtoto atoke clean juu ya hili, the ball is on her hands. She's a nice lady, she doesnt deserve another 'heartbraker' eti tu sababu mtoto keshakuwa mkubwa, sasa nataka mtoto wangu. Nitakuwa nahatarisha ndoa yake kama sio maisha yake/yao. Definately hawa wawili (Mume, mtoto) watakuwa hurt kutokana na ukweli huo, ndio maana nikasema Only when the time is right...! rmbr; It takes a man to be a father, inawezekana huyo mume ni Baba na mume mbora kuliko mimi!
...Sitalazimisha hili jambo litokezee, ila nitajitahidi kwa kadri ya uwezo wangu kuhakikisha najua maendeleo ya huyo mtoto,na kila inapobidi kusaidia maendeleo yake bila kuathiri malezi yake. Mama yake pekee ndie nilomwachia uamuzi wa mwisho, akiamua kutoa utambulisho rasmi, na mtoto akiamua kuishi na mimi woow, furaha yangu itakuwa imekamilika!...
...She deserves the best, najua anaishi maisha ya kimtego mtego, sawa na kushikilia bomu ambalo tayari lishanyofolewa pin, wakati wowote likipata mtikisiko litalipuka. So long as nishamhakikishia I wont interfere,na assurance yakuwa 'only when the time is right'!,
... emotional consequenses zinatisha, watu wanachinjana kwa haya mambo, hayahitaji papara... Ila namhrumia siku ukweli ukija julikana, ingawa nitajitahidi kadri iwezekanavyo kumhakikishia mtoto kuwa (in a nutshell) "lisilobudi hutendwa"!
...hard to explain, ni sawa na missing link kwenye jig saw, ...pengine ni kwasababu pia na watoto wa jinsia moja , na huyo ni jinsia tofauti...Strange but true!, ...birthdays, homeworks, jinsi anavyokua, maongezi yake, tabia zake, udhaifu wake, so many things ambazo unajua wanao walivyo, lakini somewhere in the oblivion kuna mmoja usomjua lakini wakati huo huo "najiandaa" kupambana na maswali yake iwapo kuna siku nitakuja kutana naye, kufahamiana naye na kumjua jinsi alivyo!
I hope sijaku distract sana kwenye ukweli, labda unafikiria huyo mwanaume mwingine (kama mimi) atakuwa anafikiria nini, Kumbuka, hatuko sawa, japo kuna mambo yatashabihiana.
Vile vile nakuasa tena na tena, Only when you think the time is right ndio hapo uumwage mtama, consequenses zake ni kubwa kuliko unavyozifikiria, kati ya Mumeo au mwanao kuna mmoja itamuathiri zaidi kisaikolojia lakini ukweli lazima siku moja uuseme, usiende na 'siri' kaburini.