Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

Unaendelea na mahitimisho yasiyofaa

Kwanini tu usifikirie kuwa huyo jamaa alifikia hivyo baada ya kuchishwa na karaha za mkewe kwa sababu ameshasema kuwa ana tabia ya ukorofi?

Basi mi nimshauri kua kama mjomba anamsomeshaa mtoto basi amshaur mkewe amrudishee mtoto aishi kwa bibi au kwa mjomba wake au wampeleke boarding kabisaa akirudi likizo apitilizee kwa mjomba wakee
 
hata wanawake waliozaa wanahaki ya kuolewa cha msingi ni kukubaliana kila kitu kabla halafu swala la kupigiwa pasi tu linataka kukuuumiza kichwa wenzio tuna lundo la mambo kibao hatufanyiwi na wake zetu ila tupo tu,please muombe msamaha mkeo na mambo yenu myamalize nyie wenyewe bila kuconnect na mtoto
 
Wanasheriaa waje wachambue hiyo sheria ya kuoaa mke ambae ana mtoto
 
Basi mi nimshauri kua kama mjomba anamsomeshaa mtoto basi amshaur mkewe amrudishee mtoto aishi kwa bibi au kwa mjomba wake au wampeleke boarding kabisaa akirudi likizo apitilizee kwa mjomba wakee

Unadhani tatizo ni mtoto?

Ndio maana nikakumbia unafikiri kimakosa sana

Tatizo sio mtoto ni mwanamke mwenyewe,wanawake wenye watoto mara nyingi hawajiamini sana likitokea tatizo kidogo tu wanakimbilia kudai watoto wao hawapendwi bila kujitazama wao wenyewe!!
 
Unadhani tatizo ni mtoto?

Ndio maana nikakumbia unafikiri kimakosa sana

Tatizo sio mtoto ni mwanamke mwenyewe,wanawake wenye watoto mara nyingi hawajiamini sana likitokea tatizo kidogo tu wanakimbilia kudai watoto wao hawapendwi bila kujitazama wao wenyewe!!

Kama tatizo ni mwanamke umeona alichomjibu yeyee huyi mletaa madaa
 
Kamanda njoo huku kwetu Nyichoka, Serengeti tukufundishe kwa Kikurya nini cha kumfanya mkeo akigoma kukunyooshea nguo. Maumivu ya kichwa huanza taratibu, kuna siku atakunyima kikubwa zaidi. Njoo upate tution kamanda, wiki moja tu ananyooka kiasi cha kunyoosha nguo kabla na baada ya kufua, chezea mang'ana weye...
 
Navojua mimi nivema matatizo yakufate sio kuyafata kamawaweza ni bora uoe asonamtoto ,ila kwa kuwa mapenzi sio kuchagua nazi wawezajikuta umejaa kwa mzazi cha msingi ujue unapooa mwanamke unachukua shida na raha zake,kama aliemzalisha hana uwezo au hataki unadhani atakuwa mpenziwako na amani wa kwako wako st marys wake st kayumba ,do it for her not the public.
 
Siku mkeo akikunyina papuchi utamsimangia waZazi wake...,,

Shangaa na wewe yaan hata siku anyimwaa anaweza muambiaa unaninyimaa kisa mtoto wakol
Alitakiwaa adeal na mwanamkee sio kuingizaa swalaa mtoto na kusomesha mtoto anasaidiwaa
 
Huyo mwanamke hatareeee ....mhudumie tu mtt asee uslipze
 
Sheria inasemaje kuhusu kuoa mwanamke alie na mtoto?????

Mimi sio mwanasheria lakini nijuavyo ni kuwa kabla hamjaoana ni bora mkajadiliana kuhusu malezi ya watoto waliopo
Yaani kama mwanaume ana watoto ni bora mkalijadili hili namna ya kuwalea
Au kama mwanamke nae ana watoto ni vivyo hivyo .......!!!!!!!
 
Ukipenda boga upende na ua lake.

Hilo la kukupigia pasi kweli ni option na halimuhusu mwanamke. Hivi mkeo akufulie akupigie pasi? hiyo mikono si inakuwa kama jiwe? hata akikushika si kama umeshikwa na mwanamme mwenzio.

AlhamduliLlah Namshukuru Allah kwa kunipa Gozi langu, Faiza mie sijui kufua wala kupiga pasi, kupika mpaka niwe nnahamu ya kupika, Wallahi hata chai napikiwa natengewa. AlhamduliLlah.

Hivi nyie mnaowa wanawake wawapigie pasi? Mie mume wangu haniruhusu kabisa, mpaka kufuli ananinunulia za disposable na zile inazobidi ziwepo za kufuliwa ananifulia mume wangu. Naomba Allah aniwekee Gozi langu maana siku ntakayofua hata henkachifu basi mikono itachubuka.
 
Iko hivi;
Huyo mtoto utamgharamia sana lakini mwisho wa siku ni lazima atamtafuta baba yake; hata ufanye nini hilo ni lazima litakuja kukutokea;

upande wa mkeo, hiyo jeuri anayoipata pana kitu hapo kati; unaweza kukuta anakula kwako na kwa huyo baba mtoto wake; si zaidi sana hata hao watoto wengine wapo wako na wa mwenzio;

Kama utapenda ongea na wazee ambao ni lazima watahakikisha kuwa huyo mtoto anakabidhiwa kwa baba yake mzazi ambaye naye anawajibu wa kukurejeshea walao sehemu ya gharama ulizokwisha kutumia kwa ajili ya mtoto wake.

............. Pole lakini.
 
wadau swali la msingi la mleta mada lipo ktk msimamo wa kisheria japo uzi upo MMU (pengne kimakosa, ama ameona ndipo kunawatu wengi) hivyo tujikite kwenye sheria na hayo mengne yawe nyongeza.
 
Katika kukorofishana baada ya yeye kukataa kunipigia pasi nguo zangu kwa madai kupiga pasi ni option tu hufanyika akipenda yeye sio lazima na mimi nikamjibu ku supply education materials kwa mwanao ni option tu sio lazima kwani mtoto huyo ana baba yake aliye hai , labda asingekuwa naye (amekufa) ndo ingekuwa lazima!

Pole sana. Huyo mke ni "kiboko".
 
Back
Top Bottom