Ndo maana inashauriwa usioe mwanamke aambaye keshazaa tayari
Na ni kwanini aoe mwanamke ambae ana mtoto,hakuwaona ambao hawana watoto
Mbona wengine wanaoaa mwanamke ambae ana watoto kuanzia wawili na anawasomesha pia kuwalea kama watoto wakee
Ukiona huwezi kua na moyo mpana na roho iliyojaa uchoyo na roho mbayaa dawa ni kuoaa mwanamke ambae hamna mtoto una waachia wanaowezaa
Hiyo ipo na nibahati yake huyo mwanamke, kimaadili wanawake punguzeni kuzaa kabla ya ndoa sio mnazaazaa eti mwanaume atakayekuoa atawatunza watoto wa lijamaa jingine maana akipenda embe apende pia na mwembe. Afadhali kubwa unakuta mwanamke wa miaka 32 kazaa kabla ya ndoa maana alisubiria au wanaume walimhadaa sio unakuta binti wa chini ya miaka 18 kazalia nyumbani kipi kilimfanya azae mapema? Na aliyemzalisha wakati akiwa kwenye umwali yuko wapi? kwanini unze kuwapa mizigo wengine? Sababu mkuu ni wanawake kuanza kupenda kuonjwaonjwa mapema na wanaume wengi matokeo yake wanatengeneza mabakuli na kuja kulalamikia bamia
Ndugu zako ambao ni jinsiaa ya kike wote wameolewaa ndio wakazaa??maana sasa takwimu ni kubwa wanaozaa bila kuolewaa unakuta binti ana miaka 13 au 15 keshazaaa wafanyeje na wanaume ndio wanawaharibu!!!
Mi nadhani ni roho ya mtu ni wachache sana wanaoweza kulea watoto wa wenginee maana wengi wana roho mbaya
Muangalie Mange Kimambi ana mtoto na kaolewaa na mwanaume na wakafunga ndoa na kumchukua mtoto wake kuwahamishia Marekan,na anamtunza sawa na yule mtoto mwingine wa kwake mwanaume
WANAUME ACHENI ROHO MBAYAA

Ni ushauri wa nani huo?
Na wewe kama umezaa nje ya ndoa inakuwaje? Wanaume tusivutie upande wetu tu wote tuna haki sawa! Huyo mtoto atunzwe kama unavyotunza watoto wako. Kumnyanyapaa itakuwa humtendei haki.
maneno alomtolea ayahusiani na ugomvi walokuwa nao, kumlea mtoto aliamua mwenyewe ipo sku atahusisha na vitu alivyoweza kuvifanya kwao mwanamke km ndugu wa mwanamke wanaenda kuwatembelea na jamaa akasaidia sometimes nauli, atazisemea sku1 ktk ugomvi. Najiuliza ina faida gani yeye kutoa msaada kumbe inamuuma c angeacha tangia mwanzo? Msaada anaoutoa kwa mtoto havihusiani kabisa na ugomvi wa mke wake kutokuwajibika
Wakati Unamuoa ulimkuta akiwa na Mtoto Ukakubali kukaa naye SaSa vipi unamruka? huyo mi mtoto Wako tu! So Vumitia utayashinda. huyo mtoto Hana Kosa So hakuna haja ya Kumwonea
Ndo maana inashauriwa usioe mwanamke aambaye keshazaa tayari
Kwanini mkeo hataki mwanae aende kwa baba yake?????
Kama ishu ya kupiga pasi nguo inaleta matatizo yanayomgusa mtoto asiye na hatia, najaribu kutafakari siku atakapogoma kukupashia moto kiporo. Zawadi alizopewa baba mkwe zitahusika walahi.
Hii post yako imepoteza maana na mantiki kwa kumreference Mange, nimekudharau sana.
I see!....
Zezeta mkubwa wewe ni nani alikudanganya wanaume na wanawake wana haki sawa?? Mama yako anaweza kuwa na waume wawili? Je vipi kuhusu baba yako? Anaweza kuwa na mke zaidi ya mmoja au hawezi?