Kweli umelonga,sisi wote hakuna anayeshindwaga....si vizuri lakini!Poleni wana ndoa.kwa hilo naona na kuhisia kuna shida kubwa kwenye ndoa yako.nayo ni jeuri ww ni jeuri na mkeo pia.mtoto hana kosa.jiulize angekuwa wako na mkeo amnyanyase ungejisikiaje.
Wanaume wengine wavivu kupiga tu pasi nayo ni kazii
Kama humpendi mtoto wangu hata mie kuna vitu sitovifanya kwa ukamilifu,inauma sana kuona mwanao kabaguliwaaa.inaonyeshaa kuna vitu ushamuonyeshea huyo mkeo kwa mtoto wakee
Jamani uchungu unaumaaa mnoo hata ukizaa bogaa utalipenda mpaka kufa kwako
Mama shughuli zangu niko bize mno, naamka saa 11 alfajiri, narudi nimechoka nimepigika, na ndio maana nikapata hasira kwa nini nipige pasi mwenywe ingawa we unaona sio kazi ngumu.
Hilo swali kamwulize mamako! Mavi kubwa wewe!!
According to dini ya kiislamu: Mtoto wa mkeo ni mtoto wako, na anastahili malezi yote kutoka kwako including mirathi.
Mtoto wa mumeo (kama wewe ni mwanamke) SIO mtoto wako na hatambuliki kisheria.
Mimi kwanza nikushauri kuhusu ndoa yako. Kwenye ndoa kama ilivyo kwenye uhusiano wowote "Revenge" ni kitu kibaya na matunda yake ni lazima uhusiano uvunjike. Atakataa kukupigia pasi, utakataa kumpa mtoto pocket money, atakununia na wewe utamnunia, kisha atakunyima unyumba na wewe utatoka nje...ukitoka na yeye anatoka. Sasa huko nje kuna atakayerudi na mimba na mwingine hiv...Kuna atakayekolea hatimaye divorce proceedings zikaanza na mtatengeneza watoto wa kambo watakaoenda kusababisha majanga kwenye ndoa nyingine. Now tell me, Where r we heading?
Never ever ever think of doing something bad to a person to counter for something bad done to u unless u want an enemy out of them.
Kingine, Kama wewe ni baba wa ukweli kabisa. Huyo mtoto ulitakiwa uwapatanishe hao wazazi wake na mtoto akalelewe full na baba-haijalishi utatumia mbinu gani kufanikisha hilo. Baba yake akimkataa wewe kama kichwa cha nyumba unatakiwa kumchukua under ur wing. Anakuwa mwanao jukumu lako kabisa kama hao wengine.
Kataa kuwa baba wa kushikiza, mkeo anajifanyia tu maamuzi yake na mtoto analipiwa na ndugu za mkeo. Mwishowe mtoto akuletee dharau uone kama utaweza kuwa baba hapo nyumbani! Tena unamtumia kumtisha mkeo? Thats too low man!
ah mtt anatakw akueshm kam baba yk mlez na c vngn
Napenda wenye ufahamu wanisaidie kuhusu hili.
Nina mke wangu wa ndoa ambaye kabla sijamuoa nilimkuta na mtoto wa kiume wa miaka mitatu, mtoto huyo sasa hivi mkubwa na ameingia form one sekondari.
Mtoto huyu ana baba yake ambaye ni mtu mwenye uwezo mkubwa tu, lakini kutokana na jeuri ya mama yake (mke wangu) hataki kumshirikisha mtoto upande wa babake kwa jambo lolote, yaani hataki hata mtoto ajue kuna babake. Ada ya shule silipi mimi ila mjomba wa mtoto yaani kaka wa mke wangu.
Chakula, mavazi, uniform, nauli ya kwenda shule ya boarding na matumizi ya shule vyote natoa mimi.
Katika kukorofishana baada ya yeye kukataa kunipigia pasi nguo zangu kwa madai kupiga pasi ni option tu hufanyika akipenda yeye sio lazima na mimi nikamjibu ku supply education materials kwa mwanao ni option tu sio lazima kwani mtoto huyo ana baba yake aliye hai , labda asingekuwa naye (amekufa) ndo ingekuwa lazima!
Niliongeza kuwa wajibu wangu kwa mtoto wake huyo ni kumpa chakula ale na kumpa malazi alale tu na sio vitu vingine.
Swali langu sheria inasemaje kuhusu wajibu wetu kwetu sisi akina baba wenye watoto wa aina hii?
yan ningekuwa mimi nisingeongea chochote ningekuwa naondoka asbuhi cjanyoosha naingia kwenye gari naondoka na jion narud zmenyooka vzuri. Siku nikiona vp narud nimebadilisha nguo kabisa. Angepata adabu
Umekosea kumhusisha mtoto. Epuka kujibizana na mwanamke ndani ya ndoa. ukiona umemwambia hajakuelewa fanya kwa vitendo kimyakimya.
Jamani naomba tu nivunje mbavu zangu hapaa jf rahaa sanaa
\Napenda wenye ufahamu wanisaidie kuhusu hili.