Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,359
Ngoja ngoja, hapa moja moja!
...
Case yako inafall under family law.
Kwa kuanzia tu, unapaswa utambue nini maana ya family:
Family is not limited to father, mother and children!
Eg: ukiishi pamoja na ndugu zako tu bila mke wala watoto hiyo ni family according to family law of Tz!
...
Ngoja nispecify!
Huyo mtoto wa mkeo ni part of ur family kwa sababu mbili:
1 ni mtoto wa mkeo!
2 mnaishi pamoja!
Wewe na mkeo kisheria mnajulikana kama ni mtu mmoja! Na ndio sababu wife and husband are not bound to provide any evidence against other!
Kwa maana hiyo, mtoto wako ni wake na mtoto wake ni wako, however watoto wa hivyo wanakua excluded kwenye kurithi tu!
Hata hivyo unaweza ukamrithisha kwa kumuadopt or by will!
...
As that is a family, head of family (ambae ni wewe) unakuwa bound to provide ALL necessary service to your family, includes DUTY OF CARE! So any legal loss itakayotokea ktk familia yako, inayotokana na wewe kushindwa jukumu lako (duty of care) utawajibishwa!
...
Hayo maneno yote yanamaana ya kuwa, unawajibu wa kumuhudumia huyo mtoto na wala sio option kama ufikiriavyo!!!
...
Kwa upande wa pili mkeo kutokupigia pasi ni kosa kiutamaduni, kidini na hata kiutu (moral) but sio kosa kisheria (statutory law) hiyo inamaana hauwezi hata kumfungulia kesi kwa issue hiyo!
...
Huu ni ushauri wangu kwako:
hudumia mtoto wenu na wala usihudumie hivyo ili upigiwe pasi!
Huyo mkeo hajitambui, na dawa yake ni kumtafutia mke wa pili if possible!
If not, washirikishe wazazi/walezi wake juu ya hilo tatizo!
...
For sure, mapenzi hayataki ushindani!!!