gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Utalipia?Yaani wewe na my swahili..
Basi fungua uzi uanze kunifundisha..
[emoji2320]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalipia?Yaani wewe na my swahili..
Basi fungua uzi uanze kunifundisha..
[emoji2320]
Dada una hoja nzuri ila tatizo kiswahili chako tu ndio hakiko vizuri sana kuweza kufikisha ujumbe kwa usahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sayari gani wewe?Wa Africa hatuthamini uhai wa binaadamu, majuzu tu watoto 6 waliuawa kwa mazingira kama hayo ila hamna reaction kubwa hata kutoka serikalini au kushutushwa kwa aina yoyote Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mayemba hebu tuambie ukweli , tatizo la Njombe ni nini ?NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akanana Rose Mayemba nime kumiss sana.....namba umebadili?NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maiti za hao watoto kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26]
Kwani we mzee una shida gani mbona unatukana watu hovyo toa maoni yako ikiwa waona maoni ya mwenzako si sahihi badala ya kutukana
Huu unyama unaendelea kwa wakinga?. Jamaa wana sifa ya utajiri wa kishirikina.Wakinga watu wa hovyo sana.
Linahitaji umakini na busara sana kwenye kulitatua.Mungu arusaidieTatizo la Njombe,C la kimwili
serikali inakosea Sana! kutumia Mikwara HAKIKA HAWATAFANIKIWA
Huwezi kumdhibiti mtoto kwa 100% ndugu yanguThis has to end, jamani wazazi pia kwa nini wanawaacha watoto wao kutembea peke yao?mimi wanangu wana 6,8,9 ila kila siku ninawapeleka na kuwafuata shule.
hakikaUmaskini wa mtu mweusi ni zaidi ya ule unaoonekana kama vile nyumba za nyasi na kukosa vitu muhimu kama umeme na maji.
Umaskini wetu upo ndani ya nafsi zetu, upo ndani ya roho zetu, ni umaskini mbaya sana, miaka inapita lakini umaskini wetu upo pale pale.
Laana nyingine kuzipata ni rahisi sana, unakwenda kumuua mtoto wa mwenzako kisa upate utajiri!!.
Inaumiza sana sanaInatia huruma sana kuona watoto wanauwawa kirahisi hivyo!polisi watumie weledi kuliko ubabe ili wawanase wahusika!
kwa kweliNgojeni tumalizane na wapinzani Kwanza na kuniimarisha kidola na kidikteta tutaanza kulishughulikia hilo
baada ya kufa wangapi?hapo njombe dawa yenu ni kutuma kile kukosi kazi kilichotumwa kipindi kile kule kibiti
so painfulKutoka Kibiti sasa ni Njombe, halaf lidubwasha flan liko Bungeni Dodoma linadai eti wauaji wasiichezee serikali ya Dr John Pombe Magufuli as if Magufuli ana nini sijui, lkn watoto wanaendelea kuuawa!
NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.