Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
basi baba punguza hasiraYani na bado watoto wanazidi kuuliwa..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] Yani inauma sana.. Watu hawa wakishikwa Wanyongweeee tuu mamaee zaooo na me ningekuwa rais nasaini wanyongwee hadharanii mbwa haoo... Yani daah balaa gani hilii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wapuuzi kuwashika ni ishu ndogo sanaa... Na kunyongaa kabisaahapo njombe dawa yenu ni kutuma kile kukosi kazi kilichotumwa kipindi kile kule kibiti
Kutoka Kibiti sasa ni Njombe, halaf lidubwasha flan liko Bungeni Dodoma linadai eti wauaji wasiichezee serikali ya Dr John Pombe Magufuli as if Magufuli ana nini sijui, lkn watoto wanaendelea kuuawa!NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka Kibiti sasa ni Njombe, halaf lidubwasha flan liko Bungeni Dodoma linadai eti wauaji wasiichezee serikali ya Dr John Pombe Magufuli as if Magufuli ana nini sijui, lkn watoto wanaendelea kuuawa!
Siasa mbaya sanaIla sisi nao idara zetu za usalama zinafeli sana yaani unapeleka kikosi kazi kwa mbwembwe? Unampa taarifa muhalifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda huu unyama na uhuni umepangwa Purposely ku divert attention ya TALNamsubiri Tundu Lissu akiwa na Donald Trump pale white house ya marekani, akisema Magufuli encouraged the killing of the kid.
Namsubiri Tundu Lissu akiwa na Donald Trump pale white house ya marekani, akisema Magufuli encouraged the killing of the kid.
Sio kila kitu anaweza kuzuia
Sijui ni hizi chaguzi zinazokaribia dah inatia uchungu sana ujueNJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada una hoja nzuri ila tatizo kiswahili chako tu ndio hakiko vizuri sana kuweza kufikisha ujumbe kwa usahihiInasikitisha sana
Si wana mbwa wa polisi
Wawaweke walipokuta mwili.. halafu waanze kunusa miarufu na baada kuifata hata damu ya binti kama ili dondoka dondoka
Hata hao mbwa kunukishwa na kuzungushwa maeneo zaidi hata makazi ya watu
Na mengineyo
Usijibu wajinga kama huyu.unasoma unapita mkuu
Dada una hoja nzuri ila tatizo kiswahili chako tu ndio hakiko vizuri sana kuweza kufikisha ujumbe kwa usahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
a walioua albino ni matajiri wapi hakuna uhusiano wa utajiri na uchawi mawazo ya kipumbavu kama haya ndiyo yanazalisha vitu vya kipumbavu.umewahiona mtu hafanyi kazi yoyote achilia mbali wakabaji na majambazi wanaopora wakawa matajiri.tuache kuwa na mawazo yaliyo kufa ni dhana potofu kuhusianisha uchawi na utajiri,uchawi na siasa ni wangapi wamefanikiwa kwa ushirikina timu zetu wachezaji wanaruka kuta kila siku lakini mwisho wa game kipigo.we must show the world that we are cuvilised by telling.the world that wealth has nothing to do with withchcraft instead of supporting stupid ideasHao wanaoua ndio wale wenye maghorofa hapo karikaoo huku wanatembea na ndara zilizotoboka,!
Wakinga na wabena ni wapumbavu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upubavu wa kiwango cha lamiNamsubiri Tundu Lissu akiwa na Donald Trump pale white house ya marekani, akisema Magufuli encouraged the killing of the kid.