Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

Inatia simanzi sana hakika.
 
Tatizo kubwa ni kuwa viongozi wetu wanafikiria kutoa hotuba kwa ukali huku umeshupaza shingo na kutoa vitisho kwa wananchi ndio kutasaidia kutokomeza haya matukio (MF. waziri lugola na kamanda wa operation wa polisi). Badala ya kufanya uchunguzi/utafiti wa kina na kujua nini chanzo cha hili tatizo, pia kuwa karibu na wananchi ili kupata habari

Ulitaka watoe hotuba kwa kucheka kwenye jambo kama hili?

Umeambiwa uchunguzi hauendelei?
 
Inasikitisha sana
Si wana mbwa wa polisi
Wawaweke walipokuta mwili.. halafu waanze kunusa miarufu na baada kuifata hata damu ya binti kama ili dondoka dondoka
Hata hao mbwa kunukishwa na kuzungushwa maeneo zaidi hata makazi ya watu
Na mengineyo
 
NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.


Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi

Kwa taarifa zaidi nitawajuza

Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.

my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.



Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Njombe,C la kimwili
serikali inakosea Sana! kutumia Mikwara HAKIKA HAWATAFANIKIWA
 
This has to end, jamani wazazi pia kwa nini wanawaacha watoto wao kutembea peke yao?mimi wanangu wana 6,8,9 ila kila siku ninawapeleka na kuwafuata shule.
 
Umaskini wa mtu mweusi ni zaidi ya ule unaoonekana kama vile nyumba za nyasi na kukosa vitu muhimu kama umeme na maji.

Umaskini wetu upo ndani ya nafsi zetu, upo ndani ya roho zetu, ni umaskini mbaya sana, miaka inapita lakini umaskini wetu upo pale pale.

Laana nyingine kuzipata ni rahisi sana, unakwenda kumuua mtoto wa mwenzako kisa upate utajiri!!.
 
Uchaguzi umekaribia.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Inatia huruma sana kuona watoto wanauwawa kirahisi hivyo!polisi watumie weledi kuliko ubabe ili wawanase wahusika!
 
huu ni mtandao mkubwa watu wa usalama wajichomeke humo kama wateja ama ma supplier wa viungo watawanasa wote....
Tataizo lao wanakwenda wamevaa suti nyeusi na miwani nyeusi, kazi hii ikibidi vaa malapalapa tena jisonde vijijini huko ukapasue mkaa ama bodaboda
 
Ngojeni tumalizane na wapinzani Kwanza na kuniimarisha kidola na kidikteta tutaanza kulishughulikia hilo
 
Back
Top Bottom