Fikiria nje ya boksi.Ila sisi nao idara zetu za usalama zinafeli sana yaani unapeleka kikosi kazi kwa mbwembwe? Unampa taarifa muhalifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili acha ushabiki wa kishamba, nani asiyejua kuwa kuna mauji makubwa yanayosimamiwa na watawala wa awamu hii?Kweli kwa akili yako hutofautishi mauaji haya unayaita ni sera? Tatizo ni hilo! Kwamba una matatizo mengine yanayokusumbua, unayaunganisha na mauaji ya binadamu.
Ina maana kuchuna ngozi ilikuwa sera ya awamu ya 4? Kuuwa albino ilikuwa sera ya awamu ya 4? Hebu tujilazimishe kuongeza fikra.
Mungu akulipe sawasawa na kauli zakoMzazi anayeshindwa kumlinda na kumwangalia mwanaye adi watu wabaya wanamteka na yeye asukumwe ndani tuu,
na tiba nayo inatakiwa kuwa ya miujiza hivi hiviTatizo ni letu sote, tunapenda miujiza mno. Kanisani miujiza, kwa waganga miujiza, utasikia kusafisha nyota, pokea baraka, POKEA miujiza, haya mambo yanatufanya tuwe na maisha ya kufikirika.kukuza uume, kunenepesha, miujiza wa ubikira,
wengi tunafikiri hivyo piaHili jambo linavyoonesha lina mizizi mirefu kuliko hata hao waganga. Samahani lakini najaribu kuwaza kwa sauti hivi kama ni mambo ya uganga na utajiri siyo rahisi watu kujiamini kihivyo. Hivyo hao watu ni zaidi ya tunavyowafikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya TISS ni kulinda usalama wa maisha ya watanzania wenyewe wapo bize kuilinda CCM isitowekeNJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania haina Rais,ina RahisiWa Africa hatuthamini uhai wa binaadamu, majuzu tu watoto 6 waliuawa kwa mazingira kama hayo ila hamna reaction kubwa hata kutoka serikalini au kushutushwa kwa aina yoyote Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana Mkuu, Ila Serikali yako hatuwezi kuishauri haya, itasema yenyewe haijashindwa badoDada yangu Rose, kazi za kichunguzi zinahitaji weledi wa hali ya juu sana pamoja na vifaa vya kisasa. Na yanapotokea mauaji kama hayo ndo utajua polisi wetu katika upelelezi wako level gani. Kwa skeli ya 0-10, 10 ikiwa bora kabisa polisi wapelelezi wa hapa bongo kwa huruma sana ningewapa moja. Ukitaka kuja nachomaanisha angalia "true event based documentaries" kama "forensic files", "fbi files", "i almost got away with it" na nyingine nyingi kama hizo.
Waite Scotland Yard, FBI e.t.c uone jinsi watakavyokuwa wamejiandaa... Hichi kinachoendelea huko Njombe sio cha kuita Waziri na kupiga siasa na porojo!!! Mambo yataendelea hivi kila wakati kwa mchezo huu. Kibit, Njombe, Rufiji.... kesho sijui itakuwa wapi!
stupid kabisaKazi ya TISS ni kulinda usalama wa maisha ya watanzania wenyewe wapo bize kuilinda CCM isitoweke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Hawa watu ni stupid Sana, nina hasira nao Sana ile ndege ya Malaysia ingekuwa imebeba serikali yote ya CCM kisha ikatoweka na jiwe likiwemo ingekuwa raha sana,yaani watoto wanauliwa kikatili utadhani tupo Somalia?na mauaji hayakomi,halafu yalivyo mabwege yanawataarifu wauaji mapema ili wakimbie wasikamatwe,***** zenu wote serikali haramu ya CCM
Embezzlement=UTUNDULISSU.Una haki ya kusema haya kwa kuwa Watoto wanao chinjwa kama Kuku ndani ya Nchi yao siyo wako wala wa Ndugu zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni utundulissu.Ni kweli Hawa watu ni stupid Sana, nina hasira nao Sana ile ndege ya Malaysia ingekuwa imebeba serikali yote ya CCM kisha ikatoweka na jiwe likiwemo ingekuwa raha sana,yaani watoto wanauliwa kikatili utadhani tupo Somalia?na mauaji hayakomi,halafu yalivyo mabwege yanawataarifu wauaji mapema ili wakimbie wasikamatwe,***** zenu wote serikali haramu ya CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wanaouawa wazazi wao ni vyama gani au je wana vyama?Namsubiri Tundu Lissu akiwa na Donald Trump pale white house ya marekani, akisema Magufuli encouraged the killing of the kid.
Safari hii aliyeagiza Lissu auawe atakufa yeye jiandaeni kwa hilo nyambafu zenu nyie ma agent wa shetaniAcheni utundulissu.