Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

Hii ni ngumu labda wawakamate waganga wote
Lazima watawataja wahusika


Au polisi watakamata wasio wahusika na kusema ndio wahusika

Hii ni tofauti na ya kibiti kwani kule ilijulikana kina fulani ndio .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu wa uchunguzi inatakiwa wao wajifanye wafanyabiashara kwa kutembelea baadhi ya waganga na kusikia masharti yao maana huko ndiko chanzo kilipo kwa maeneo ya Njombe na sehemu Jirani nako binadamu ni wanyama nikiona vijana wanaweza kubeba sumu tumboni na kwenda kuuza China ambako ukiksmatwa wanakula kichwa inatakiwa akili ya ziada na si nguvu kujua nani wanaohusika na hayo matukio...
 
Inasikitisha sana kuona haya yanatokea.

Ile approach ya Vick Mtetema ilileta matokeo chanya kwenye kujua chimbuko la kuuawa kwa wenye ulemavu wa ngozi. Naaminj hata hili la Njombe inawezekana.
 
Watanzania na imani za kishirikina, hakuna mafanikio yanayopatikana kwa kumuua binadamu mwenzio, inasikitisha sana
 
Habari mbaya hizi wazazi nao wajitaidi kuwalinda watoto wapunguze kupatiakana kirahisi....
 
Sasa hivi wasiojulikana wanajulikana. Ila kimbembe kwa hawa wanaouwa watoto ndio wasiojulikana full.
 
Namsubiri Tundu Lissu akiwa na Donald Trump pale white house ya marekani, akisema Magufuli encouraged the killing of the kid.
Acha kuleta siasa kwenye mambo ya msingi ongea na ng'amua kama MTU mzima na sio kutuandika utoto huo
Swala tunahitaji usalama wa watt wetu katika mazingira ya njombe na sio uhalo uliotuandikia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.


Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi

Kwa taarifa zaidi nitawajuza

Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.

my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu aturehemu wana Njombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.


Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuwawa tena kijiji cha matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa ucgunguzi

Kwa taarifa zaidi nitawajuza

Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuwawa na kutolewa macho na sehemu za siri.

my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.mh



Sent using Jamii Forums mobile app

Mh watapata tabusa sana.
 
Tatizo kubwa ni kuwa viongozi wetu wanafikiria kutoa hotuba kwa ukali huku umeshupaza shingo na kutoa vitisho kwa wananchi ndio kutasaidia kutokomeza haya matukio (MF. waziri lugola na kamanda wa operation wa polisi). Badala ya kufanya uchunguzi/utafiti wa kina na kujua nini chanzo cha hili tatizo, pia kuwa karibu na wananchi ili kupata habari
 
Back
Top Bottom