Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

Inawezekana, inategemea umewajengea mazingira gani na umewapa malezi gani, mimi wanangu asubuhi wanachukuliwa na school bus mlangoni na wanarudishwa hadi mlangoni, wakiingia ndani geti linafungwa kama ni kucheza ni hukohuko ndani ya geti, nikiwa na muda natoka nao na siwaachi hata sekunde, kanisani nkaa nao siti moja yaani full kuwakaba na nyumbani hawazururi kiukweli hata kama ni dukani lazima wafatane na mtu mzima, unless kama mtekaji ataingia ndani ya geti ila kumchunga mtoto ni wajibu wa mzazi jamani na shuleni walimu wawe makini mtoto asitoke nje ya geti la shulel
Huwezi kumdhibiti mtoto kwa 100% ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yanaonyesha udhaifu wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, vimejikita zaidi katika kupambana na wanasiasa wa upinzani na kusahau jukumu lao la msingi, kulinda raia na mali zao. Kwa ujumla ni kushindwa kwa uongozi mzima wa serikali
Not true not fair assessment. Serial killers wako sehemu zote Duniani. Watu wa aina hii ni sawa na terrorists. Hawana la kupoteza na wameshajiamini wao ni watu wa kufa na kupona. Kinachoweza kulaumiwa hapa ni sababu ambayo inaonekana ni ushirikina. Kwa nini tufikie kiwango hicho? Ilikuwa Mbeya na ngozi za binadamu, Ikawa kanda ya ziwa na albino na sasa tena Njombe. Watu wakauza hata watoto, waume, wake zao albino! Kuzuiya hiyo siyo polisi tu.

Ninachoomba kwa wakati huu atakayethibitika, atiwe kitanzi. Ni aibu kwamba waliokamatwa na ngozi za binadamu au mauaji ya albino, hukumu zao hazikutangazwa sana ili kukomesha mitindo hiyo. Kinachofahamika ni kwamba kuna uhusiano na chaguzi za kisiasa. Tunapata wansiasa walio na akili mbovu kiasi hiki cha kutegemea mauaji tukliamini watatuondolea matatizo yetu ya maendeleo, Never!!!
 
Tangu awamu hii iingie marakani tumeanza kuona na kuzoea utamaduni wa mauaji with impunity, Maitii zinaokotwa kwenye viroba, watu wanapotea, wanatekwa, wanamiminiwa risasi mchana kweupe nk na hakuna hatua zinazochukuliwa. Hili la njombe ni muendelezo wa wa sera mpya na hakuna namna ya kutofautisha mauaji. Yote ni ushetani mpya
 
Hii ni ushirikina %100 na huu ushirika mganga au waganga wanaoutumia viungo vya watoto wako maeneo hayo hayo kama wangekuwa mbali basi hii disaster ingesambaa! So hao ambao ni kazi yao wangekamata wote ambao ni waganga waanzie hapo! Lkn kuna watu walikamatwa kwa nini iendelee! Why rpc bado yupo tuu?
 
Tangu awamu hii iingie marakani tumeanza kuona na kuzoea utamaduni wa mauaji with impunity, Maitii zinaokotwa kwenye viroba, watu wanapotea, wanatekwa, wanamiminiwa risasi mchana kweupe nk na hakuna hatua zinazochukuliwa. Hili la njombe ni muendelezo wa wa sera mpya na hakuna namna ya kutofautisha mauaji. Yote ni ushetani mpya
Kweli kwa akili yako hutofautishi mauaji haya unayaita ni sera? Tatizo ni hilo! Kwamba una matatizo mengine yanayokusumbua, unayaunganisha na mauaji ya binadamu.

Ina maana kuchuna ngozi ilikuwa sera ya awamu ya 4? Kuuwa albino ilikuwa sera ya awamu ya 4? Hebu tujilazimishe kuongeza fikra.
 
Ndo maana mimi bado nasisitiza Watanzania tunatakiwa kuwa kitu kimoja tushikamane tuache kusema huyu ni wa chadema na huyu ni wa CCM kwani wabaya wa nchi yetu wanapitia humo, na kikubwa zaidi tutengeneze AJIRA ili vijana wengi wajiliwe cause mtu asiyekuwa na Kazi ya kumwingizia kipato cha kuendeshea maisha yake ni RAHISI sana kutenda vitendo kama ambavyo vinavyotokea Njombe kwa kuahidiwa vihela vidogo na ama matajiri au aina yoyote ya watu wenye uhitaji na vitu vinavyochukuliwa kwenye miili ya watoto wanaouawa. Siasa za kukomoana tuziache tuwe kitu kimoja
 
Kweli kwa akili yako hutofautishi mauaji haya unayaita ni sera? Tatizo ni hilo! Kwamba una matatizo mengine yanayokusumbua, unayaunganisha na mauaji ya binadamu.

Ina maana kuchuna ngozi ilikuwa sera ya awamu ya 4? Kuuwa albino ilikuwa sera ya awamu ya 4? Hebu tujilazimishe kuongeza fikra.
mbona hamtoi majibu ya kina juu ya mauaji haya, msidandie hoja, kila mtu anawaza ajuavyo kutokana na namna Serikali inavyowajibika kwenye suala hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom