Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
NJOMBE WAMEUA MTOTO TENA.
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kuna mtoto ameuawa tena kijiji cha Matembwe Jimbo la Lupembe na timu ya ulinzi na usalama ya Mkoa imehamia huko usiku wa Leo kwa uchunguzi
Kwa taarifa zaidi nitawajuza
Updates
Huyu mtoto anaitwa Rachel, Ni mtoto wa miaka nane.
Alipotea majira ya mchana, walimtafuta Bila mafanikio mpaka ilipofika jioni waliukuta mwili wake msituni akiwa ameuawa na kutolewa macho na sehemu za siri.
my take
Hawa wauaji ni watu majasiri sana, pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya ndani kuwepo hapa siku za hivi karibuni na kukemea kwa nguvu na kuahidi watakiona na mtema kuni watakaokamatwa Bado Bila uoga wanaendelea kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app