Mtoto wa kitanga anahitajika!!

Mimi mwenzenu natafuta mchumba wa kuoa kiukweli na experience yangu inaonyesha watoto wa kitanga na wachache wa pwani wametulia kwenye majambozi,

Mhh? Kweli wee ni Mzee wa Fiksi! juzijuzi hapa umekuja na story ukiwafagilia watoto wa kisauzi na mayowe yao wanayopiga! Mi nikajua utabeba mtoto wa bondeni ili uendelee kufaidi mayowe! Sasa mbona hujaweka 'mayowe' kama moja ya sifa mkuu?
 
Jamani, toka nimeweka hii thread sijapata walau dalali ya kujitokeza naona watu tu wanapiga vijembe na wengine ndo hawa wameamua kuniharibia kabisa. Sasa mambo ya tigo humu ndani yamekujaje kama sio kuletea visa? Mimi mwenzenu natafuta mchumba wa kuoa kiukweli na experience yangu inaonyesha watoto wa kitanga na wachache wa pwani wametulia kwenye majambozi, sitaki kuoa afu nirudi tena kwenye kudonoa donoa.

Sasa nyie mnafikiri wakipitia hizo comments zenu atapata picha gani eeh..tuache masihara jamani na wale mlionipa ahadi za kunipa contact mbona jua lachwa sioni kitu, moyo sultani jamani vya kutamani sitaki tena. Mtu asijiridhishe na anchokipenda...tabia ya tigo mi sijawahi kabisa kuifanya labda nyie mnaosema, mimi mtoto wa kiislam safi kabisa, na punde ntafufua mkeka wangu nianze swala tano. NARUDIA TUSICHAFUANE MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA AU MWENYE SIFA AJITOKEZE.

Basi samahani boss ..kama wewe si mchimba choo niwie radhi mkuu..
 
Si ufunge safari uende Tanga/Zenji/Kilwa ukawatongoze vizuri ebo!
 
fiksiman unajikosha tu,
kama kweli unataka binti wa kitanga nenda kwa watanga ukajichagulie mwenyewe, unadhani kuna swala anayemkimbilia simba?

nakumbuka wakati ukiwa mdogo wakati nasaka mke niliwajibika kuingia ktk mbuga husika kisha nikaopoa swala wangu swaaafi nikajibebea na sasa ninaye miaka kibao sasa. do the same dogo
 
ila ile kigezo cha makalio kimenistua mtima wangu sana. ah wacha nipitepite uswahilini hata nikisikia harufu ya septik itakuwa kama ugoro vile.
 
naona ndugu yangu fidel yupo 'emirate-stadium' yaani UWANJA WA NYUMBANI
 
naona ndugu yangu fidel yupo 'emirate-stadium' yaani UWANJA WA NYUMBANI

kwi kwi kwi mkuu umejuaje? mi hapo kwenye kigezo cha mfadhaiko ndo kimenikonga sana jamaa akipata wengi aniache kitonga sio mbaya.
 
Jamani kwenda Tanga anahitaji visa? Tena watoto wa kule hawana makuu nakumbuka kipindi kile unahonga 10,000/= msambaa anaenda kukuletea change yako (5000) unamuuliza vipi anasema mbona raha tumepeana wote?
 
kama kweli unania tembelea MuslimMatch.com | As'salaamu Alaykum kuna akina dada wazuri sana wa ki zanziber na kitanga na kimombasa, sharti tu uwe muislam kweli. Ushauri kama kweli wewe ni muislam hayo yakutaja viungo vya mchumba hadharani kama ndio sifa si uislam.
 
Mambo ya nyuma ya pazia au chini ya paa uwizi mtupu..hata hivyo kuna binti wa kisilamu muda wa kama wiki 2 au 3 zilizopita alikuwa akitafuta bilali , no i meant mchumba msilamu ..sasa kijana fiksiman, tuma CV
 
lol
ngoja nikahakikishe mwenyewe hehe

Ukahakikishe kama wapo wa kizanziber au kama yale mambo yanapatikana? Hahaha msanii usijichanganye ukapeleka usanii kwenye jumba la sanaa.
 
Nenda Lamu babu huko Utakoma mwenyewe!wachimba****wanatembea na vichupa vya****kuchukua hisia kila wakati ana nusa!
 
Ukahakikishe kama wapo wa kizanziber au kama yale mambo yanapatikana? Hahaha msanii usijichanganye ukapeleka usanii kwenye jumba la sanaa.
najihakikishia vyote vyote maana nasikia kuna watoto wa kizenji ambao bado bikra ila huko kusikotajika washeharibika, sijui ni kweli au la, ila dawa ni kuhakiki kwanza.
 
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.

- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada

Hii kali ya huyu jamaa,sijui nikuulize maswali,nawe je hujawahi kugusa watoto wa watu?Maana kama unataka wa dizaini hiyo hakikisha nawe hujagusa watoto wa watu,isije ikawa umeshaharibu wengi.
 
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.

- awe anatokea maeneo ya Tanga, Zanzibar au Kilwa

- Awe mweupe na mrefu wastani asizidi cm 160

- awe mwembamba wastani yaani si mnene wala mwembamba

- Awe na makalio makubwa yasivunje rekodi yaani yawe dizaini ya kijungu fulani. yakitokeza sana ni sifa ya ziada

- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada

- Ajue kupika hasa wali wa nazi

- Elimu inategemea na sifa za hapo juu, hata kama amemaliza darasa la saba sio tatizo, nitamwendeleza mwenyewe.

Zipo sifa binafsi ambazo nisingependa niziweke hadharani ila kiufupi awe mshiriki mzuri katika mechi zote za ndani. maombi yenye picha yatajibiwa haraka.

Tafadhali tuwasiliane kwa private JF message.

Yupo mtoto mmoja wa Kitanga ana sifa zote hizo kasoro bikra (nilishakula kama mara tatu siku za nyuma kidogo). Je, atakufaa?

Tafadhali jibu ili nikupe mawasiliano.
 
hahaha kashaija naona unatafuta mtu wa kushea nae gharama za kutunza nyumba ndogo hatimaye.
ah urafiki wa kweli huo, kitu kizuri shurti ushee na mwenzio ati!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom