Mtoto wa kitanga anahitajika!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa kitanga anahitajika!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fiksiman, May 4, 2009.

 1. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.

  - awe anatokea maeneo ya Tanga, Zanzibar au Kilwa

  - Awe mweupe na mrefu wastani asizidi cm 160

  - awe mwembamba wastani yaani si mnene wala mwembamba

  - Awe na makalio makubwa yasivunje rekodi yaani yawe dizaini ya kijungu fulani. yakitokeza sana ni sifa ya ziada

  - Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada

  - Ajue kupika hasa wali wa nazi

  - Elimu inategemea na sifa za hapo juu, hata kama amemaliza darasa la saba sio tatizo, nitamwendeleza mwenyewe.

  Zipo sifa binafsi ambazo nisingependa niziweke hadharani ila kiufupi awe mshiriki mzuri katika mechi zote za ndani. maombi yenye picha yatajibiwa haraka.

  Tafadhali tuwasiliane kwa private JF message.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  May 4, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Eh?

  Makubwa haya!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  jamvi limeingiliwa..lol
   
 4. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  wafitini wameanza....
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  mambo hayo!
  Wakati watu wamegubikwa na simanzi kuhusu hatma ya nchi..kuna wengine hawana hata habari wanajinafasi tu kwa raha zao!

  Haya wenye sifa- tajwa changamkieni tenda hiyo.
   
 6. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Bibie hujaitwa huku kama simanzi kuna mahala pake pa kuzionyesha, tafadhali usinifukuzie mawindo....
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Olalalalaaaah mzee wa tiGo huyu! Anazuga tu
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hehehehe
  ila kumbuka ukishampata useme hadharani maana sie wawindaji endelevu tunapenda sana kuwinda kundi lililotibuliwa.
  ila nakushauri wapitishe kwangu (TBS) niwakague mmoja mmoja kama watakufaa au la.
   
 9. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  we naona umedhamilia kuniharibia mpango wangu....au unafikiri belinda atakuja humu nini hahaha!!!
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...fiksiman, inaonyesha huyo binti wa kitanga mwenye sifa hizo tayari unamfahamu sema keshawahiwa!

  Ukijapata mwingine mwenye sifa kama hizo una uhakika "hutomlinganisha" na tabia za huyo wa mwanzo? :)

  Note; nimeweka msisitizo kwenye sifa na tabia!
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Nakutakia mafanikio sana kaka.... ilikuwa ni remark tu.
  Nitakutumia contacts za wawili wenye hizo sifa ia sijui kuhusu tabia.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dada WOS wee jitose kama sifa zina karaibia!
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  naona anavijaribu vishawishi
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  mie ninae mwandani wangu tayari.... sihitaji kaka.....
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unataka ambaye hajamaliza darasa la saba:)?
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  May 4, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mwenzangu mbona u mbaguzi ina maana sie wamakonde hututaki eh?
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Taib sheikh..hawa ndio wachimba choo wenyewe..lol

  Hadith za wachimba vyoo zinanikumbusha mnamo mwaka ulopita kuna siku natoka jobu nakutana na bwana mdogo mmoja ..anaanza kurahirahi. Ikabidi nimpeleke kwenye grosari ya karibu aoshe koo lake ili anieleze vyema yepi yalomsibu. Kijana anaanza kutoa mchozi. Namuuliza kulikoni only to the saddest and disgusting of the stories kujua kuwa his manhood imepata infection, na further akadai hana ela kwani daktari amemwambia inabidi apigwe bomba kusafishwa. Niliposikia tu hivyo nikajua ni walewale.

  The bottom line ni kuwa lets obey the nature..and don"t try to get xtra clever..
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...loh! hata mimi ningekuwa dakitari mbona hao "wazamia lulu" wangenikoma! niki imagine hilo bomba 'wanalopigwa' naona kama ile pampu ya baiskeli :)
   
 19. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamani, toka nimeweka hii thread sijapata walau dalali ya kujitokeza naona watu tu wanapiga vijembe na wengine ndo hawa wameamua kuniharibia kabisa. Sasa mambo ya tigo humu ndani yamekujaje kama sio kuletea visa? Mimi mwenzenu natafuta mchumba wa kuoa kiukweli na experience yangu inaonyesha watoto wa kitanga na wachache wa pwani wametulia kwenye majambozi, sitaki kuoa afu nirudi tena kwenye kudonoa donoa.

  Sasa nyie mnafikiri wakipitia hizo comments zenu atapata picha gani eeh..tuache masihara jamani na wale mlionipa ahadi za kunipa contact mbona jua lachwa sioni kitu, moyo sultani jamani vya kutamani sitaki tena. Mtu asijiridhishe na anchokipenda...tabia ya tigo mi sijawahi kabisa kuifanya labda nyie mnaosema, mimi mtoto wa kiislam safi kabisa, na punde ntafufua mkeka wangu nianze swala tano. NARUDIA TUSICHAFUANE MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA AU MWENYE SIFA AJITOKEZE.
   
 20. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sifa zimetulia. Heri ktk yote...inshallah.
   
Loading...