raphaelpol
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 207
- 132
Ya mkosaji[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]matunda ya kodi zetu kweli masikini tutarisishwa uchawi tu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ya mkosaji[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]matunda ya kodi zetu kweli masikini tutarisishwa uchawi tu
Naomba kujuzwa Aircraft Maintainance Engineering...Naona inatolewa pale NIT ila ada yake sikutaman kuiangalia mara mbiliView attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Unataka kufahamu nini ndugu?Naomba kujuzwa Aircraft Maintainance Engineering...Naona inatolewa pale NIT ila ada yake sikutaman kuiangalia mara mbili
Sent from my XT925 using JamiiForums mobile app
Upo vizuri nimependaView attachment 538554

Nataka kufahamu kama kusoma hyo koz ndo kuwa Engineer wa ndege au inahusiana na vitu gan kuhusiana na ndegeUnataka kufahamu nini ndugu?
Khalfani mdogo bado Hawezi akawa rubani kwa muda mfupi hivi urubani ni miaka 7 uwe full hyo kiki bwana huyu dogo msaniiView attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Hata baba yake ni "mtamu" si unaona miaka 60 na kitu lakini bado uso mwororo hana hata ndevu! ahahhahahaMzurii
kama alivyotoboa MaguNakumbuka mwaka flani lecturer mmoja Muhaya wa Engineering pale CoET, UDSM katika kuuza chai class, alitwambia hivi ''wakati watoto/wadogo zenu huko vijijini wanachezea mavi ya mbuzi, wanangu wapo wanacheza na keyboard za laptops saa hizi .Then unategemea mwanao aje amtawale mwanangu? nevaaaa!!''
Mwenye nacho atakuwa one step ahead siku zote. Ni ''watoto wa wakulima'' wachache tu wanaoweza kutoboa kwa kudra za mwenyezi Mungu, subhana wa Taala!
Kujua kingereza na akili timamu tu, maana mchizi wangu alipata zero form 4 akaenda somea urubani now anazipaisha bila tabuIli kuwa rubani, unatakiwa uwe na sifa gani?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kujua kingereza na akili timamu tu, maana mchizi wangu alipata zero form 4 akaenda somea urubani now anazipaisha bila tabu
Unataka ajirengeshe Mara ngap ndio ujue kajirengeshaHuchelewi kujilengesha!!
Ndio!!Japo hapo awali hata vijana waliosoma Mechanical Engineering then wanaenda kusoma "Modules" tofauti mpaka kufuzu.Nataka kufahamu kama kusoma hyo koz ndo kuwa Engineer wa ndege au inahusiana na vitu gan kuhusiana na ndege