Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Hongera Khalfan piga kazi . The survival for the fittest.
 
Angekuja huku kuendesha vipangaboi vyetu huo ndiyo uzalendo, hahahaha amekimbia ubabaishaji wetu, hongera Kijana wetu
Haki ya mungu kama angekuja hapa kwetu hakiki watu wange chonga sana or mara mtoto wa mkubwa huyo mara kujuana bora amebaki huko huko

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Duh raha safi

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka mwaka flani lecturer mmoja Muhaya wa Engineering pale CoET, UDSM katika kuuza chai class, alitwambia hivi ''wakati watoto/wadogo zenu huko vijijini wanachezea mavi ya mbuzi, wanangu wapo wanacheza na keyboard za laptops saa hizi .Then unategemea mwanao aje amtawale mwanangu? nevaaaa!!''

Mwenye nacho atakuwa one step ahead siku zote. Ni ''watoto wa wakulima'' wachache tu wanaoweza kutoboa kwa kudra za mwenyezi Mungu, subhana wa Taala!
 
View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu
Dah....mkuu umetisha asee kwa hiz nondo nimecheka sana et sio familia ya facebook....naskia pia mtoto wa CDF wa sasa nae ni rubani

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mimi nafahamu yule wa zamani,wa sasa sifahamu
 
Natamani hii kazi ya urubani hvi hapa arusha kuna chuo na kama kipo ni sh ngapi? nataka nikivuna maharage yangu nianze mdogo mdgo

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu
..Mimi nimemshangaa huyo aliyeripoti twitter kumuita dogo captain.. nadhani amedhania tu kuwa rubani yeyote hata ambaye bado yupo shule anaweza kuwa captain ila kiuhalisia sivyo kabisa. tatizo watu wana ripoti vitu bila kujua undani wa haya mambo..
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwani hili la kichama au binafsi !! Bora ungesema watoto wa mbowe ... !!

Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hii inaitwa kudandia treni kwa mbele au kukalia ndonga ilopakwa mafuta,acha kihedemswede dogo
 
Back
Top Bottom