Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
matunda ya kodi zetu kweli masikini tutarisishwa uchawi tu
hahahahahhahaahhahahahahahhaahahhahahaahahah yule binti alidisco sijui hata yuko wapi sijui nae anataka tumuombee yaani trip hii
Ha ha ha1. Ridhwani
2. Salama
3. Miraji
4. Khalfan
5. Khalfa
6. Rashid
7. Mwanaisha
8.
9.
Hua wapo tisa, wawili nimewasahau majina yao! Siku Obama kaja na watoto wake Tanzania, wakati wakuugwa pale JKIA! Jakaya alienda na watoto wake wote! Nahisi Obama aliuliza hawa wanao wote??
bado wengine awajatambulishwa1. Ridhwani
2. Salama
3. Miraji
4. Khalfan
5. Khalfa
6. Rashid
7. Mwanaisha
8.
9.
Hua wapo tisa, wawili nimewasahau majina yao! Siku Obama kaja na watoto wake Tanzania, wakati wakuugwa pale JKIA! Jakaya alienda na watoto wake wote! Nahisi Obama aliuliza hawa wanao wote??
Mzuri kwenye kuendesha ndege au umemtaman in other wayMzurii
Broo naona umetumia TECNO W5 kuposti ujinga huu ujinga.Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ww n zaid yakeMzurii
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
duh hatari sana kwani urubani ni mwaka mmoja au ndio vyeti fakeFamilia ya Jakaya na Familia ya Shehe Mansoor ni marafiki walioshibana! So dogo anaweza kua pale halipi hata cent moja!
Huyu dogo nilimwona Feza ya pale kawe mara ya mwisho mwaka 2016 akiwa mwanafunzi, na mwenzake yule Chodo a.k.
a Khalfa Sasa nawaza kafikaje hadi kua rubani?? Anya way Fweza ndo sabuni ya roho!!
Mungu amjaalie