Hilo ndio tatizo mkuu la hizi kazi!Unazeekea shuleniHiki ndo kilimkuta mpwa wangu, alisoma maintenance ya mandege Fulani, basi Yale madege kampuni yake ikapata dhahama ya kibiashara yakafungiwa Yale madege, ikabidi akasome tena upya, kaja kumaliza uzee huu hapa
...exactly...engineer wa ndege ni real deal....na pilot ni mere driver....by the way..huyu dogo kapata attachment etihad na si ajira per se...anyways ni vema huyu anaefanya hivi kuliko kutegemea spoon feeding toka kwa mkulu jk..kwa hili jk hajakosea kama baba...View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Umeambiwa JK hadi anaingia ikulu hakuna mtoto aliyesoma ulaya, sio baada ya kuwa ikulu. Yaani jk toka mbunge hadi waziri hakusomesha mtoto ulaya kaja kusomesha baada ya kuingia ikuluHivi unachobisha ni nini? 2006 Ridhwan alikua UK anafanya LLM kama ulikua hujui maana ya LLM ni Masters ya Law.
Hakika...Kijana anahitaji kupongezwa...exactly...engineer wa ndege ni real deal....na pilot ni mere driver....by the way..huyu dogo kapata attachment etihad na si ajira per se...anyways ni vema huyu anaefanya hivi kuliko kutegemea spoon feeding toka kwa mkulu jk..kwa hili jk hajakosea kama baba...
Nami natakata timu ya footballNdio uzuli wa kuwa na watoto wengi ....kisha ukawamudu kuwapa elimu .....yule rubani....huyu lawyer huyo Doctor
ndio kwani wewe huwa unawazaga nini?Mnawazaga ngono tuu
Hili jibu limenichekeshandio kwani wewe huwa unawazaga nini?
Mpuuzi huyu! Ndo wazinzi wenyewe hao..Hili jibu limenichekesha
Frankly speaking...sikujuwa kama una wivu na kiroho kukuuma mpaka line yako ya mwisho ilipohitimisha kikichokusukuma kuandika gazeti hilo ni WIVU TUU wala si lolote si chochote.View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Wewe usie na wivu tuelezee m@m@ clareFrankly speaking...sikujuwa kama una wivu na kiroho kukuuma mpaka line yako ya mwisho ilipohitimisha kikichokusukuma kuandika gazeti hilo ni WIVU TUU wala si lolote si chochote.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Sawa!!Sio lazima tukubaliane kila kitu...Frankly speaking...sikujuwa kama una wivu na kiroho kukuuma mpaka line yako ya mwisho ilipohitimisha kikichokusukuma kuandika gazeti hilo ni WIVU TUU wala si lolote si chochote.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
mi ndio nipo nasoma nae chuo cha upilotNilisoma nae Kibaha High School
hao wakenya 1000 ni pilots ama flight attendants?Hivi hili taifa lililogwa na nani? Khalfan kupata contact etihad Airways, huku umegeuka topic, ss kwa taarifa yenu hakuna shirika la ndege dunian linaloprovide employment kwa nchi za Africa km Etihad, wakenya peke yao wapo zaid ya elf 1000, Rwanda ndo usiseme, Ethiopia, Sudan likewise, hapo hatujaongelea magharib wala Kaskazin, ebu leten hoja za msingi bhana.....tuachen ulimbuken
Na Mkihitaj source nitawapa....
Hahahahahaaaa umetisha kaka....ila udreva wa ndege huwezi linganisha na corolla ndugu....kichwa lazima kiwe tinamu buanaView attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Hivi ma pilot wa ndege kubwa Tanzania wanakunja kiasi gani kihalali?mi ndio nipo nasoma nae chuo cha upilot
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app