Hawezi jibu, ashaenda lumumba kuchukua buku 7 yakeHivi yule aliyesomewa mashtaka pale muhimbili anatokea ufipa?
Amefanana sana na Mamaake...hongera kwake !
Kasoma masters lini? unaambiwa hadi anaingia ikulu, kumbuka ikulu aliingia 2005Acha uongo, Ridhwani kasoma Masters wapi kama sio UK?
Wakati fulani alikuwa Hull UniversityKasoma masters lini? unaambiwa hadi anaingia ikulu, kumbuka ikulu aliingia 2005
Hiyo course ya aircraft maintenance engineering inapatukana chuo gani hapa tz ukiacha NIT? Na Ada yao ni shilingi ngapiNdio!!Japo hapo awali hata vijana waliosoma Mechanical Engineering then wanaenda kusoma "Modules" tofauti mpaka kufuzu.
Na kumbuka Uhandisi wa ndege,ni kusoma maisha,maana sio ukisomea uhandisi wa ndege basi kila ndege unashika.
Unatakiwa upate "Rating" ya aina za ndege,unaweza kwenda ukasoma "modules" za Airbus 320 huyo hawezi kugusa Boeing 738
barafu uko alwayz ahead of things ktk info uwepo wako ni fumbua macho kwa wengiView attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Mkuu kwa Tz sina hakika kwa sasa,hapo awali mashirika ya ndege yalikuwa yanachukua vijana ama kutoka sekondari au kutoka vyuo vya ufundi kama DIT,MITS nk na kuwapeleka katika "Maintanance Facilities" ya kampuni kubwa za ndege ili wapate ujuzi.Hiyo course ya aircraft maintenance engineering inapatukana chuo gani hapa tz ukiacha NIT? Na Ada yao ni shilingi ngapi
Hater!View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Unaoneka Una weledi wa kutosha kwenye sekta hii, hongera sana kutujuza mkuu.View attachment 538554

Asante Mkuu maelezo mujarabu kabisaMkuu kwa Tz sina hakika kwa sasa,hapo awali mashirika ya ndege yalikuwa yanachukua vijana ama kutoka sekondari au kutoka vyuo vya ufundi kama DIT,MITS nk na kuwapeleka katika "Maintanance Facilities" ya kampuni kubwa za ndege ili wapate ujuzi.
PW aliwahi chukua vijana toka DIT na kuwapeleka France ilipo kampuni ya utengenezaji wa ndege za ATR ambazo ndio nyingi zinamilikiwa na PRECISION AIR ili wajifunze,KLM Line Maintanance hapa Tz huchukua vijana toka vyuo vya ufundi wenye uweledi wa Mechanical na kuwapeleka Amsterdam kujifunza "Modules" mbalimbali.
ATCL hufanya hivyo pia.Kuwa na chuo cha Aircraft Maintanance wakati huna ndege za kutengeneza ni kujilisha upepo.Jambo hili huwezekana kwa ufanisi katika nchi yanye shirika na lenge lenye nguvu na linalo-operate kwa ufasaha.
Bila shaka nimejibu swali lako japo kwa kiasi
Kwamba ninachukia huyo mtoto kuwa Etihad!?Hater!
Hiki ndo kilimkuta mpwa wangu, alisoma maintenance ya mandege Fulani, basi Yale madege kampuni yake ikapata dhahama ya kibiashara yakafungiwa Yale madege, ikabidi akasome tena upya, kaja kumaliza uzee huu hapaNdio!!Japo hapo awali hata vijana waliosoma Mechanical Engineering then wanaenda kusoma "Modules" tofauti mpaka kufuzu.
Na kumbuka Uhandisi wa ndege,ni kusoma maisha,maana sio ukisomea uhandisi wa ndege basi kila ndege unashika.
Unatakiwa upate "Rating" ya aina za ndege,unaweza kwenda ukasoma "modules" za Airbus 320 huyo hawezi kugusa Boeing 738
Kasoma masters lini? unaambiwa hadi anaingia ikulu, kumbuka ikulu aliingia 2005
Yah sure,JK amejitahidi kusomesha wanae na wao pls wasimuangushe,JK ni baba bora.Afanye kazi kwa bidii. Wenzetu wanaangalia perfomance issue ya kuwa mtoto wa fulani is non of thier bussness
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Mnawazaga ngono tuuMzurii